Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

nivea mimi ni mwanaumme na sijawahi kuzaa sasa itakuwaje usema tumezaa na kijike?

Mtaani kila nipitapo wadada wanafurahia kusema wamezalishwa ila mkiingia JF mnataka nasi tuwe tumezaa..............bado naona kuzalishwa ndiyo iko mahali pake...............kuzaa ni ile siku unayojifungua....................hata kam akidume yuko pale kukupa sapoti sidhani kama mtakuwa mmezaa wote.....................kukuzalisha ni kujaza ile mimba................au napo utasema mmejazana mimba wakati mbebaji ni mmoja tu...............huu usawa utatufikisha kwenye mkanganyiko mkubwa................................

hata hivyo mbona hoja ya msingi hujaifanyia kazi..........ninasubiria...........
Rutashubanyuma du umeiharibu siku yangu leo jamani mbona hiyo lugha mbaya .MIMI NINA MUME MWENYE SIFA NINAZOZITAKA NILIPITA TU KUREKEBISHA LUGHA ,fanya hivi kama unajiona hiyo lugha yako imekamilika na iko sahihi hebu muulize mama yako eti mama ni sahihi kusema hivi utapata jibu sahihi alafu kama uko naye mwangalie usoni.
 
Hivi unapotaka kuzaa na kidume au hata yule uliyezaa naye au yule ambaye ungependa kufunga naye pingu za milele au yule ambaye sasa hivi unatesa naye....lol..................sifa ipi huwa kwako ndiyo iko kwenye mstari wa mbele?

a) Mbegu zake za kiume waziona bora kutokana na siha yake na hivyo kuashiria watoto wako watakuwa kama yeye?




b) Anafanana na wewe na kwa vile hujiona kwenye kioo chako hakuna kama wewe basi hapo unaona hujakalia kuti kavu..lol


c) Vijisenti vyake vinajitosheleza vikikuashiria ya kuwa wewe na uzao wako hamtakumbana na vijishida vya hapa na pale.......................ukiona hivyo basi unatia tiki tu......................mbele kwa mbele mengineyo utajaza mbele ya safari.

d) Kabila au dini unaona maelewano yatakuwa hayana simile............

e) Umri wake kakuzidi kwa hiyo unaona anajua mengi kukuzidi na hivyo kuwepo maelewano.............

f) Mlisoma wote au ni jirani yako au ni childhood sweetheart............kwa hiyo unaona bora zimwi likujualo halikuli likakwisha and that is what makes you tick............................kama una mengineyo zaidi usihofu funguka tu...............

michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................

Unanishtua.
Mkuu mimi wa kiume.
 
1-Asiwe na weak sperm maana zitaishia kufa nje kutokana na joto kali.
2-Awe na IQ ya kueleweka, hii ni kupunguza uongezekaji wa vilaza
3-Hawana maradhi ya kuridhi hasa yale ya ukichaa/kifafa na mengineyo
3-Pleaseing appearance.

Natural selection at work.... Understandable, MadameX.
 
kidume ambaye ningekuwa na nafasi ya kuzaa tena ningechagua yule ambaye sera zetu zinaendana kwa wakati huo, na ambaye anauwezo wa kuzalisha kwa maana mbegu zake zinaweza kupenya na kuleta mimba.... mambo ya sura umbo pesa akili ni maajaliwa! na mfumo huo ndi niliotumia wkt namchagua huyu nilienae mwaka wa 22 huu na maisha yako poa tu.

Unajua wkt mwingine huwa nafananisha hawa waume kama matoleo ya magari, wakati huooooo yawezekana 504 ndio yalikua magari ya kifahari, lakini kubali tu kuwa leo kuna aina nyingine zinazotamba kwenye chati na 504 yako haina thamani, kwa hiyo ukitaka kuchagua sifa za mwanamume wa kuzaa nae unaweza ukajikuta kuna sifa mpya za wanaume zimeibuka hata ukatamani kubadili mume/mtu wa kuzaa nae...
 
Trend inabadilika, chunguza.

Wanatafuta wenye hela kwa manufaa binafsi, wanachagua vipanga kuwapa ujauzito.

For Pregnancy, Men with Brain Forever!
Sio kila mtu anaangalia pesa, wengine wanaangalia u hansome basiii haa haaa haaa
 
kwahiyo wamesema wanapenda kuzalishwa na mwanaume gani? mwenye dushelele kubwa na ndefu kama yangu?
 
Back
Top Bottom