Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Hivi unapotaka kuzaa na kidume au hata yule uliyezaa naye au yule ambaye ungependa kufunga naye pingu za milele au yule ambaye sasa hivi unatesa naye....lol..................sifa ipi huwa kwako ndiyo iko kwenye mstari wa mbele?

a) Mbegu zake za kiume waziona bora kutokana na siha yake na hivyo kuashiria watoto wako watakuwa kama yeye?

Mjadala wa ziada kuhusiana na ubora wa mbegu za kiume bofya hapa
Healthy sperms key to a healthy foetus


b) Anafanana na wewe na kwa vile hujiona kwenye kioo chako hakuna kama wewe basi hapo unaona hujakalia kuti kavu..lol


c) Vijisenti vyake vinajitosheleza vikikuashiria ya kuwa wewe na uzao wako hamtakumbana na vijishida vya hapa na pale.......................ukiona hivyo basi unatia tiki tu......................mbele kwa mbele mengineyo utajaza mbele ya safari.

d) Kabila au dini unaona maelewano yatakuwa hayana simile............

e) Umri wake kakuzidi kwa hiyo unaona anajua mengi kukuzidi na hivyo kuwepo maelewano.............

f) Mlisoma wote au ni jirani yako au ni childhood sweetheart............kwa hiyo unaona bora zimwi likujualo halikuli likakwisha and that is what makes you tick............................kama una mengineyo zaidi usihofu funguka tu...............

michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
 
Sasa we Rutashubanyuma, kama hii sredi ni maalum kwa ladies mbona sasa umeni-tag?

Mi ni MWANAUME bana, for Christ's sake!

Asprin na wewe tena? Hizi pupa za kutosoma na kutoa maoni umezianza lini?

michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom