Unajua kutongozaa?

Mie yule,
nimeamua ku-renew statement
maana kasahau naona

acha tumsaidie
mie nilimwelewa siku nyingiii
kuanzia kwenye usupastaa

Hehehehehe, sasa sijui atazuga mpaka lini.Maana mhusika nae kama haoni vile.
 
nampa one week
hii sasa natoa altimatam
asipofanya tukio?!

i will be charged and convicted na m.o.l.le.s.t.l.i.n.g big boys

Hehehehehe, sasa sijui atazuga mpaka lini.Maana mhusika nae kama haoni vile.
 
ha ha ha, muunganiko wangu na wako ni kuanzia kwenye pua kuja juu kwenye nywele

huku kwingine acha tuendelee kupiga featuring na wasanii wa kulipwa

Kongosho ma dia..wewe ni fest ledi wangu. Hawa wengine ni wasaidizi tu
 
nampa one week
hii sasa natoa altimatam
asipofanya tukio?!

i will be charged and convicted na m.o.l.le.s.t.l.i.n.g big boys
Acha tabia mbaya wewe.

Binti kashindwa kutongoza anaishia kujipitisha pitisha tu. . . embu msaidie kufikisha ujumbe!!
 
Hivi nina tabia mbaya eeh?
Ntajirekebisha baada ya yeye kujirekebisha

Acha tabia mbaya wewe.

Binti kashindwa kutongoza anaishia kujipitisha pitisha tu. . . embu msaidie kufikisha ujumbe!!
 
Mpoleeee, yaani ntotoo weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'uu... Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o...

Nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a...

Ntumee! Miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!

Basi hayo macho'yo makubwa kaa kinyonga, kam'bwia ugoroo!

Kiuno icho, kaa shina la nnazi kitamli... mmmh, wanimaliza weyee!

Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e! Mpoleeee.... we!
Huyo ntoto ulontongoza hapo lazima anatokea Kiembe Samaki huyo ati!.
 
Back
Top Bottom