Unajua kutongozaa?

Hii inaitwa rebranding

jamani lazima ufanye Competitors Monitoring
afu uji-position kwenye market vizuri, uniqueness inahusu
Unatizama market trend, unachoose market target then unatengeneza marketing strategy
 
I love u
I'll give my all to have just one more nit with u
I'll risk my life to have ur body next to mine.
Mh? Mh? Plz
 
Nakupenda zaidi yangu na shetani, ww ni kila kitu kwangu,
sisikiii, sioniiii, siliiii, silaliiii, sikaiii, sisimamiiii, sisomiii, sipumuiii, siogiiii, nywele sichaniii, kila kitu sitakiii, YOTE KWA AJILI YAKO, UONGO MTAMU na demu anakubali mia....
Wanaofanyakazi.. Oohh mm ndio kila kitu ofisini, bila mm ofisini hawafanyi lolote, mm ni boss, ila laiti demu angejua...
 
washawasha umenivutia hata kabla sijakuona nipe nafasi moyoni mwako nikuoe uwe mama wa watoto wangu
zhangwei3.jpg

zhangwei4.jpg

zhangwei5.jpg

zhangwei2.jpg
 
we mdada MPOLEEEEEEEE nimekudondokeaga mmoyoni ngh'wangu. halafu wewe ni 'waza giti damu' nakupendaga sana mamaaa.
hebu nikubaliage nakupaga mang'hombe mia.
 
Mpoleee si ungesema kuwa hii Thread ilikuwa ni Special kwa MTM Umezunguka zunguka kama mawingu Upendo wate mlengwa ni huyo...
Domo lako na wewe kumbe zege... kwa maneno mengi ya Humu ukimfuata hakatai... kazi kwako
 
sikuzunguka. Post yangu ya pili iliweka waz nikjua mlengwa akiona ataelea 4 kwel i lyk him a lot.
 
Mpole achana na MTM, Kuna kakaangu atakufaaa, apenda wadada wapoleeeeeee na wazuri kama wewe uonekanavo. He will treat you like a queen and give you his world... You will be a happy woman, nami nikiwa kama wifi yako sitakusumbua kwa lolote lile wala kuingilia mapenzi yenu, Shahidi Sweet lady na King'.... Familia yetu yakusubiri kwa hamu, mamangu kasikia story kuhusu wewe and she is so eager to see you... For wee ndo utakua mke wa kitinda mimba wake..... Karibu kwenye familia yetu mpole....
 
Ndio maana sikutaka kuongea mengi toka huu uzi unaanza, nilijua tu sista utamalizia....
MTM ndugu yangu vumilia na umwambie binti wa watu amsikilize wifi yake mpendwa Ashadii.....
Ahsante tena sista Adii, nisubiri home mwambie mother na wote kuwa hatimaye naleta kitu lol

Back
Top Bottom