Smile anabana tu lakini mapenzi yangu yako kwako.smiles alinipiga mkwara cku ya kwanz tu ju yako cna interst nawee
Mpoleeee, yaani ntotoo weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'uu... Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o...pima uwezo wako wako mwaga mistari huwez jua labda utatoka na kimwana ama mkaka wa haja.
Mpoleeee, yaani ntotoo weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'uu... Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o...
Nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a...
Ntumee! Miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Basi hayo macho'yo makubwa kaa kinyonga, kam'bwia ugoroo!
Kiuno icho, kaa shina la nnazi kitamli... mmmh, wanimaliza weyee!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e! Mpoleeee.... we!
dah! yaani mie ndio nimemaliza kwa kutunga mashairi yangu halafu unanitosa? Nalog offbora umelog off.
mpole nakupenda sana ila naogopa kukuambia,nataka sana uwe my wife wangu,hapo vipi nimesomeka au? Nalog off