Hakuna mtu anayeweza ku-hack WhatsApp yako

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Kuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini!

Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook, Instagram kwa kuwa tunatumia email ambapo hakupo very steong kiulinzi, ila huwezi kusikia mtu anasema WhatsApp yangu imehakiwa. Ukiona mtu anatumia Whatsapp yako basi jua kuna mahali ulijisahau, akaiunganisha na Whatsapp Web ama kuscan code.

Halafu ndio maana daily watu wanalizwa. Eti ukitaka kusoma meseji za mpenzi wako Whatsapp njoo tukusaidie... Ndugu zangu, mtaliwa sana pesa zenu.

BBM watu walidanganya kuingilia mawasiliano ya kimtandao tu Blackberry alikaa tumbo joto.

Jaribu kutafuta ile documentary ya Zuckerberg: King of the Metaverse usafishe kichwa.

Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.

Zuckerberg sio fala.
 
Nimeona huo ujumbee unatisha......nikajua ni joto la uchaguzi wezi wameanza vitisho
 
Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.
Hapa umejijibu kwamba inawezekana kudukuliwa endapo mtu atafanikiwa kuchukua simu yako.
Simu yako inaweza kutekwa (kuingiliwa) ikiwa ipo mkononi mwako bila wewe kujuwa. Hacker anaitumia atakavyo, anaona kila kitu, na anafungua kila App.
Kumbuka kisa cha Jamal Kashogi, kumbuka matukio ya PEGASUS spyware.
 
Naona wananifowadia mameseji marefu sijui kudukuliwaa kudukuliwaa, huo ujumbe nmeuona sana tu sijui ABCDEFG...

Nkawauliza wanaonifowardia kuwa hata wakinidukua hakuna watakachopata , watakuwa wanadukuliwa watu wenye **advantage**sio unahakiwa tu ukiwa huna lolote
 
Niunge kwenye kundi kisha nitoe....uone masaa mawili mengi narudi na nawaondoa ADMIN....kuna dogo wangu hata sijui anafanyaje fanyaje ila hiii michezo ni hatari kwa TCRA
 
Kuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini!

Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook, Instagram kwa kuwa tunatumia email ambapo hakupo very steong kiulinzi, ila huwezi kusikia mtu anasema WhatsApp yangu imehakiwa. Ukiona mtu anatumia Whatsapp yako basi jua kuna mahali ulijisahau, akaiunganisha na Whatsapp Web ama kuscan code.

Halafu ndio maana daily watu wanalizwa. Eti ukitaka kusoma meseji za mpenzi wako Whatsapp njoo tukusaidie... Ndugu zangu, mtaliwa sana pesa zenu.

BBM watu walidanganya kuingilia mawasiliano ya kimtandao tu Blackberry alikaa tumbo joto.

Jaribu kutafuta ile documentary ya Zuckerberg: King of the Metaverse usafishe kichwa.

Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.

Zuckerberg sio fala.
When the device security is hacked, or phishing attacks has happened.
Vulnerability holes are always there that's why they keep on improving to bring new versions or releases e.t.c.
 
Back
Top Bottom