GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,117
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.
Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.
Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri aachwe Simba SC atanisamehe ila niseme tu kuwa HANA AKILI.
Bingwa wa NBC Premier League na hata wa ASFC kwa Msimu huu wa 2023/2024 ni ama Yanga SC au Azam FC na Simba SC hatuna chetu mpaka pale Mashariki na Viongozi wetu AKILI zitakapotukaa sawa..
Nitasema UKWELI DAIMA hata kama utanifanya NICHUKIWE au nionekane NATUMIKA au nina CHUKI na Uongozi wa Simba SC.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!