Unaibiwa?? chukua dawa

Ni kupoteza muda, probably na vijisenti - Siwezi ku-spy my dear wife, no, never!
 
kwa bongo hii ndoa zote kushney,wachumba vilevile kila mtu anachakachua kwa kwenda mbele,yaacheni yalivyo hata baba na mama yako itawakuta.
 
aisee ndugu speaker, hiyo avatar yako mie imeniacha hoi lol
nashindwa ku focus naishia kumuaangalia huyo is it hitler?? moving with the beat hahahahhh
 
kujitafutia presha za bure tu. Ehe nafikiri ujiulize kwanza ukimkamata utakuwa tayari kwa matokeo? utamwacha?
 
Kama hauna imani na mwenzi wako,..
hauamini kama kila simu anayo pokea sio ya vimada au vidumu,...

unaweza kuondoa hofu hiyo,kwa kumfuatilia kisiri siri katika mawasiliano
yake yote!
Akipigiwa simu,na wewe utasikia maneno yote (kwenye simu yako)!
Kila sms atakayo pokea utaipata pia (kwenye simu yako)!

Nitafute,nipe namba yako ya simu,nikupe ujanja huo!

Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!

Warning:
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...:israel:
Mbna umeweza kutupa habari nzuri bure,sasa ingekua vizuri uweke vitu hazarani ili watu wajue jinsi ya kujilinda,ili ni jamvi la MMU,sasa kama utataka utoze gharama utakua iyo "U" umeiondoa,mana urafiki haununuliwi kwa pesa!
 
Kazi itakua nzito mno, natuma maombi kua assistant....

Haha,Asha kweli kazi ni nzito sana!
Hii kitu kwa sasa tuna tengeneza documentation yake ili tukianza kuitoa iwe ki-professional zaidi!
hadi sasa tuna trial version na so far inafanya kazi vyema,ila tuna malizia mambo madogo sana!

Shortly,ina dondoka!
Naona watu wana itaka kweli maana hizo PM si mchezo,asanteni sana kwa kuni(kutu)tia moyo,tuna harakisha mzigo
as fast as we can!
 
am still young to die with stress

What about the effect of being ignorant by not escaping from a man/woman who is cheating on
you when you had a chance to find out his movements?,...you might die of HIV,..
 
hata wanaume wanafuatilia,mi kuna mtu nilikua nachat nae tu kawaida japo nilikua sijawah kumwona, cku moja akani invite lunch ili tufahamiane,sikwenda. Mr akaiona ile sms alichofanya alimfatilia yule jamaa mpaka akajua anaishi na kufanya kazi wapi. Baadae akajua kua ni kweli niliyomwambia. So nadhani wangu nae angeinunua. Mi ctaki presha kabisa.

Yeah,ni possible!
Ina tegemea na simu unayo tumia,kama zenye vigezo nilivyo taja pale juu mtu anaweza
kuku chunguza popote pale ulipo,japo kwa wenzetu wanaweza tumia simu ya aina yoyote ile kuku-track!

Technolojia imeenda juu zaidi,unaweza hata kuifanya gari yako ikiibiwa unajua ilipo,.......
 
na wewe unajisikia raha kuvunja mahusiano ya watu? na zile msg zinazokosea njia ,angalia usije ukahukumiwa kwa kubeba dhambi hiyo.

Inasaidia kama utasoma kila kitu,....mwishoni nilisema!
Nita kusaidia ila "AT YOUR OWN RISK",...
 
Hallow mimi naomba uniuzie hiyo mbinu ninashida nayo sana niitumie tafadhali.

Kama ni mtaalamu wa programming nambie nikuelekeze kwa hawa wauzaji wa source codes ili
uzi develop mwenyewe vizuri na kuzitumia!
 
Mbna umeweza kutupa habari nzuri bure,sasa ingekua vizuri uweke vitu hazarani ili watu wajue jinsi ya kujilinda,ili ni jamvi la MMU,sasa kama utataka utoze gharama utakua iyo "U" umeiondoa,mana urafiki haununuliwi kwa pesa!
Hatutaki aweke hadharani coz italeta madhara makubwa. wengine tuna presha ni bora kutokujua
 
nahitaji hiyo kitu mzee my number is 068371092

Mkuu ogopa sana kutoa namba zako kwenye public kama hapa,..
soma signature yangu,...
hapa nilisha jua mambo yako kibao!

Nipe mda mkuu,naona hii kitu ni hatari zaidi ya nilivo zoea,...
tuna ifanyia kazi lakini,..
 
na simu ya mwenza nayo iwe na GPS?

Hapana,ya kwako tu ndo inatakiwa kuwa powerful (with GPS)
Kwa maana hiyo,kama mwenzako hana simu ya GPS yeye hawezi kuku-track wewe
ila wewe uta mchungulia kila siku!
 
Hapana,ya kwako tu ndo inatakiwa kuwa powerful (with GPS)
Kwa maana hiyo,kama mwenzako hana simu ya GPS yeye hawezi kuku-track wewe
ila wewe uta mchungulia kila siku!

I can't wait to see how it works! Watu mboni watatia nidhamu.
 
I can't wait to see how it works! Watu mboni watatia nidhamu.

hii ni kama competetion mkuu,
wakati una jifunza ku-hack,...wenzako wanajifunza kukwepa hackers,..
so ni vita endelevu baina ya programmers,it needs much time and effort
kwa upande mmoja kuwa wenye nguvu na wa kutisha!
 
Haha,Asha kweli kazi ni nzito sana!
Hii kitu kwa sasa tuna tengeneza documentation yake ili tukianza kuitoa iwe ki-professional zaidi!
hadi sasa tuna trial version na so far inafanya kazi vyema,ila tuna malizia mambo madogo sana!

Shortly,ina dondoka!
Naona watu wana itaka kweli maana hizo PM si mchezo,asanteni sana kwa kuni(kutu)tia moyo,tuna harakisha mzigo
as fast as we can!


Kwanza pole na kikao na yule mmoja wa ma tycoons, hizo habari unazonipa zote nimefuatilia nimekuta ziko poa...... Sasa i dont see any mentioning of me getting the work .... Boss Speaker umeona lakini nilivyotangaza business???
 
Mhhh, nani wa hivyo?
Mi wala sifanyi huo mchezo wa kwenda kuyatafuta matatizo. Acha matatizo yaje yenyewe yanikute, lol! Pressure za kujitakia za nini?
 
Back
Top Bottom