Unaibiwa?? chukua dawa

Unaweza pata heart attack bure maana dunia ya sasa watu wanabanduana
 
Naona U-Speaker wako sasa unataka kuvuka mipaka. kulikoni kutaka kuvunja ndoa za watu, kuharibu mahusiano ya watu na kuua watu kwa presha... nini kimekusibu? naona ubaki na hicho ki-software mwenyewe ili unusuru ndoa, mahusiano na roho za watu. Please...
 
Kabla hujaamua kumfuatilia mwenzi wako,jiulize kama unahitaji kuendelea kuwa na mtu usiemwamini!
 
Mmmh,mbona waogopa yakheeee?
 
Kabla hujaamua kumfuatilia mwenzi wako,jiulize kama unahitaji kuendelea kuwa na mtu usiemwamini!

Swali zuri,lakini lazima uwe realistic,...haujaoa malaika umeoa mwanadamu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom