Hii ndio namna inayoweza kukupatia pesa kwenye mitandao

jikuTech

Member
Apr 9, 2023
42
19
YALIYOMO

NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2

Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche? 5

MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14

WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA KIPATO KUPITIA MTANDAO 15

Affliate marketing 18

Freelancer 32

Publisher 34

WATU WANO TAMANI KUONGEZA KIPATO CHAO KWA NJIA YA MTANDAO 36

NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA

Niche ni kategoria inayolengwa kutangaziwa jambo flani hasa kategoria hii huwa inalengwa sana na matangazo ya biashara.

Sio biashara tu, niche pia huzingatiwa na watu wanao taka kujenga umaarufu flani kwa kundi flani la watu.

Ninapo sema kundi ninaweza nikawa nimekuchanganya kidogo lakini kikundi katika nadharia hii namaanisha hadhira.

Wafanyabiashara wakubwa au wenye ujuzi wa kutangaza bidhaa zao hutengeneza bidhaa wakilenga kuzitangaza kwa hadhira ya aina flani ambayo ndio kwa utafiti wao hadhira hiyo changamoto zake zinahusiana namna flani na bidhaa hiyo.

Hadhira hiyo huwa ni ndogo ,maalumu na ambayo imefafanuliwa vizuri. Ili kufanya masoko katika niche makampuni au mashirika lazima watambue niche waliopo kwanza.

Masoko kwenye niche maana yake ni kuchuja hadhira kutoka kwenye soko ambayo mahitaji yao ni ya pekee sana.

Kwa mfano mzuri makeup ni sector pana lakini katika soko lake kuna makeup kwa ajili ya matatizo ya Ngozi , makeup kwa ajili ya wasanii mashuhuli na mengineyo.

Kwa mfano mkoa mmoja unaweza kuwa na watu zaidi ya milioni moja lakini katika hao watu kuna Watoto, vijana, watu wazima na wazee. Idadi yetu ni 1milioni lakini kuna mchanganyiko wa watu hao , tufanye kama unabidhaa yako.

Basi katika hilo unaweza ukalenga kundi flani la watu kwa kufuata elimu ya niche ambayo ili ulenge kundi flani la watu lazima utambue kwanza bidhaa yako iko kwenye niche gani.

Mfano

Michezo

Afya

Malazi

Burudani

Usafilishaji

Mitindo

n.k

Mada yetu ni niche sasa unataka utangaze bidhaa yako katika mkoa umesha fahamu kwamba bidhaa yako ni ya michezo moja kwa moja ukitangaza bidhaa yako kiholela utaingia gharama ambayo haina maana yoyote kwa kuwatangazia au kupoteza muda kwa kuwatangazia watu ambao hawahusiki kabisa na bidhaa hiyo.

Mtu ambaye anaelewa Habari ya niche katika kutekeleza hili ataandaa mkakati, kwa mfano anaweza aka lenga kwanza watu ambao wanapenda michezo nitawapata katika matukio yapi au katika maeneo gani ili kutangaza bidhaa yake kwa ufanisi na kupata faida.

Unaweza uka pata hadhira inayo penda michezo kwa ajili ya kuitangazia bidhaa yako moja kwa moja lakini kuna kipengele cha umri pia, je bidhaa yako ipo ki umri umri au ni kwa yeyote anae pendelea michezo?

Ikiwa labda bidhaa yako ipo inalenga Watoto lazima swali lingine litaongezeka hapa kwamba ni wapi nita wapata Watoto wanao penda michezo?

Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche?

Ukweli ni kwamba mtu anae zingatia suala la pesa anauwezekano wa kupata mafanikio makubwa na faida kubwa katika jambo lake na likawa la kudumu kwa urahisi. Ni uhalisia kwamba katika hadhira watu milioni kuna mchanganyiko wa watu wanao pendelea kategoria mbalimbali na maanisha mitindo wengine michezo wengine burudani ya muziki n.k

ukichukua uamuzi wa kutangaza bidhaa yako kwa idadi ya watu hao ambayo inaonekana ni kubwa kuna uwezekano mkubwa sana ukapata watu 3 au 2 kwa kila watu 100 kutoka kwa hao 1,000,000 kwa sababu wengine matangazo na bidhaa yako au jambo lako itakuwa ni kama kelo kwao.

Lakini kwa yule ambaye atachukua uamuzi wa kuchakata soko hilo la watu 1 milioni moja na akachuja akapata labda watu 100,000 pekee labda ndio watu wa michezo basi kuna uwekano wa yeye kupata matokeo yenye mafanikio mfano kwa watu 100 anaweza uza hata kwa watu 20 na hao wanao baki sio kama hawajataka ni kwasababu tu za kibinadamu ndio zimewafanya wasinunue kwa muda huo na pengine kwa wakati mwingine wakawa na asilimia nyingi sana za kununua bidhaa yako kwa sababu wanafuraha kusikia mambo ambayo yanayapendelea.

Elimu hii ya niche ni elimu ambayo wengi wanao itumia ni wale wanao tamani au wanaotangaza biashara zao , majina yao kwenye mtandao kitu ambacho bila kuzingatia suala hili la niche wanajikuta wakidondoka na wanabaki kulaumu kwamba ni mambo ambayo haya eleweki kumbe wao ndio hawa elewi.

Katika kupita pita au hata kwa wale wanao beti hili suala la beti ni mashuhuda kwamba uki download mobile application ya TIPs za kubeti kama ina matangazo basi utaona matangazo yote ni ya michezo tu na huwezi ukaona tangazo la duka la nguo katika App ya MIchezo utaona matangazo mengi yanahusiana na michezo .

Katika mitandao ya kijamii kuna issue ya followers ni wachache wanao elewa kuwa kuwa na followers wengi zaidi kunaweza kukupatia wewe fedha zako nyingi sana ukabaki unashangaa. Ila ni wengi wanaoskia skia kwamba followers wengi basii unapata pesa

Hapa kuna pande tatu yaani kuna wewe mwenye followers kuna mfanya biashara alafu kuna upande wa tatu ambao ndio followers wenyewe.

Majukumu ya kila upande
Mfanyabiashara anatamani kupata sehemu ambayo akiweka tangazo lake basi apate mauzo mengi na mauzo mengi yana toka kwenye hadhira ambayo inapenda bidhaa ya aina yake.

Kwa sababu wewe ndio mwenye followers na unahitaji pesa kutoka kwa mfanyabiashara ili followers wako wawena hadhi kwa mfanyabiashara lazima uwe na followers/hadhira ambayo ina husiana na aina ya bidhaa ya mfanya biashara.

Followers hawa wenyewe ndio watumiaji wa bidhaa wenyewe huwa wapo tayari kutoa pesa ili kupata hitaji lao ndio cha muhimu kwao.

Followers ambaye anapenda mchezo wa mpira akiona Habari za masuala ya kupika pilau au tangazo la mafunzo ya piano ni ngumu sana mtu huyu kujiskia vizuri kama ni group la whatsapp basi utaona ame left kama ni youtube chanell basi ata unsubscribe au ata mute notification kutoka kwako

Kwahiyo suala la niche katika biashara ya mtandaoni ni la kuzingatia ili kupata matokeo unayo talajia kutoka kwa mfanya biashara au mtu anaye hitaji hadhira ya namna flani kutokana na followers wako.

Imagine mimi nafanya biashara ya nguo nimepita kwa rafiki yangu wa kwanza kaniambia bwana biashara ya mtandaoni inalipa sana mimi siku hizi shoga yangu sio lazima nifungue mlango ni order tu napokea kutoka mtandaoni

Nikaja kwako lafiki yangu mungine una followers 10,000 una wame kufollow wewe kwa sababu huwa unapendelea kupost mausuala ya nguo na mitindo mitindo hadhira kama hii nikiweka picha za bidhaa yangu basi ni rahisi sana kupokea orders kwa sababu watu nnao watangazia wenyewe wanapenda mitindo , katika hilil unaweza ukapokea simu 40 kati ya 100 lakiini wakanunua watu 20 au 15 tu kwa kila watu mia ambao saw ana watu 1500 kutoka kwa watu 10,000 just imagine faida kwa kila nguo ni 400 x 1500 = 600,000/ within hour je group lina 200K members fb na wote wanapenda mitindo wewe unategemea nin kama umeweka maelezo na mkakati unao eleweka kufanikisha hili?

Katika internet ukitembele tovuti ya UDIMI.COM uta gundua ni tovuti ambayo ni soko la followers kutoka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii duniani na bei inatautiana kulingana na kila jasho alilo litumia mwenye followers kuwapata hao followers

Mfano leo tarehe 27 /01/2024 nimeingia na kukuta mmoja anauza laia mmoja $0.40 imagine ana followers 10,000 so ni $400 anapata unaweza ukajiuliza sasa ana nunua nani anae nunua ni mtu kama mimi ambaye labda nataka watu wa kuwa uzia kitabu hiki ambao wengi wao wanapendelea Habari ya pesa mtandaoni na hawajui ni kwa jinsi , hawajui Habari ya niche lakini baada ya kufeli muda mrefu wanakuja kugundua kua kuna haja ya kujifunza au kupitia maudhui kama haya zaidi ya tano ndio aanze kutafuta followers.

Watu wanao fanya biashara ya watu huko UDIMI huchuja watu hao na kupata emails zao kwahiyo kitendo cha kumiliki emails zao hao watu wanaopenda kitu flani basi ndio hapo mtu anasema hey I have a list of 100 thousand sports followers can I sell to you , nimeona kama unapost jenzi za mpira na vifaa vya michezo. Kama unafanya biashara hiyo lazima kwa namna moja au nyingine utavutika tu hata usipo nunua wewe ata nunua orodha hiyo mtu mwingine anae fahamu Habari hii kama mimi.

Kwenye nchi za wengine huko hakuna biashara kama za kwenye nchi yetu kwahiyo mtu anaumiza kichwa namna kama hizi zina kuwa nyingi biashara za derivery na mitandaoni zimeshamili sana na amna utapeli kama wa bongo kwetu.

MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI

Miongoni mwa njia za kujipatia kipato kwenye mtandao yaani money online ni Pamoja na

Umiliki Website

Umiliki mobile Application

Umiliki Followers

Umiliki youtube channel

Miongoni mwa njia za kuongeza kipato kupitia biashara yako, taaluma yako au uzoefu wako ni Pamoja na

Umiliki website

Umiliki mobile App

Umiliki Followers

Umiliki Youtube channel

Sio kama hakuna njina zingine Hapana njia zingine zipo isipo kuwa nimetaja na kuoroshe hizi kwa harakaharaka

Nimezungumza namna mbili lakini orodha ya njia ikabaki vile vile

WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA KIPATO KUPITIA MTANDAO

Watu hawa hupitia masomo au maandiko mengi sana kwenye mtandao ya namna gani basi wanaweza pata kwa ajili ya angalau kutatua matatizo madogo madogo wanajitihada nyingi sana katika kufahamu uhalali na uhakika wa jambo hili.

Watu hawa wengi hawana fedha hata za kununua kifurushi cha internet lakini wanapenda sana kutaka kujua urasmi w mambo haya kiundani.

Wanatamani sana kumpata angalau mtu ambaye anaweza akawadhilishia ni kwa namna gani haya mambo yanawezakana lakini changamoto wanayo kutana nayo wengi wanadaiwa kulipia wakati hawana uhakika na wanacho takiwa kulipia.

Watu hawa wengi kwa siku ya leo ni vijana ambao wapo katikati ya umri wa miaka 18-29

Watu hawa wengi ni wale ambao wanapambana kutafuta namna ya kujipatia kipato chao kwa njia halali

Watu haw ani watu ambao wanataka kuwa kama watu flani huku wakijiuliza ilikuwaje ikawa hivi ilivo ??

Watu hawa wanakutana na changamoto ya vipi ni kiacha kufanya kinachonipa kula na bando la ku stream kwenye mitando si nitakuwa na hali mbaya kutokana na kauli na usemi kwamba kwenye mtandao kuna pesa lakini huwezi ipata kwa urahisi na muda mfupi , kama inavyo tafakarika kwa watu wengi hivyo wazo hili linawakatisha sana tamaa.

Kuna kauli huwa inasema mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe kwa sababu mtu huyu kunakipindi atatamani kuwa na computer angalau ndogo lakini uwezekano ukawa haupo kutokana na kukosa pesa.

Mara nyingi wanavyo kuwa wanafuatilia kwenye mitandao swali la JINSI YA KUPATA pesa kwenye mitandao hukutana na mikakati ambayo unakuta katika kutekeleza mkakati inakuwa inahitajika pesa

Mfano kuna mwingine aki Google how to get money online basi anakutana na content ambazo zimefupishwa sana kwamba ukifanya hivi inakuwa hivi ikiwa hivi unapata pesa kwa namna hii mara mpka uwe na pay pal kupokea malipo.

Vielelezo hivi vitatumika kuelewesha maangaiko ambayo vijana wanakutana nayo katika Habari ya how to make money online

Affliate marketing
Naweza nikachukulia mfano labda mtu katika njia zote alizo zichagua amekutana nah ii , kwa ambaye haielewi njia hii ni njia ya kupata pesa kwa kuuza bidhaa ya kampuni flani kwa hadhira yako , huku kampuni hiyo ikiwa imekupatia taarifa za kutosha kuhusian na bidhaa yake ili kuku lahisishia wewe kutafuta watu wa wanaoweza kununua bidhaa hiyo kwenye mtandao . Suala la Masoko wewe linakuwa halikuhusu ni la wao wenyewe isipo kuwa wewe utapata pesa endapo yule mtu ulie mtangazia bidhaa hiyo akinunua.

Kwahiyo sasa kama una followers unaweza watangazia bidhaa ya kampuni kupitia link ambayo umepewa na kampuni ili mtu yoyote atakaye nunua kupita link hiyo uliyo pewa wewe unapata pesa

Unaweza ukakuta bidhaa inauzwa 150,000/= namna hii iliivyo mwenye bidhaa akawa tayari kukupa wewe kiasi cha Tsh 50,000/= kwa mtu mmoja kununua bidhaa ya kampuni kupitia link ambayo unakuwa umepewa.

Sasa mtu baada ya kuelewa maana ya Affliate Marketing basi anakurupuka na kuanza kutafuta followers ili ety aje ajiunge na makampuni ili a promote link huwezi amini mungine anaanza kutafuta na wale followers wa ku boost, mara anapost picha zake za uchi , mara anapost picha za mastaa na kweli mungu anamjalia anapata hata followers 100,000/= kwenye profile yake.

Baada yah apo anaenda kwenye soko la mtandaoni lina itwa CLICKBANK.COM kwa ajili ya kutafuta bidhaa ambayo ina Cammision kubwa akitegemea kwa idadi kubwa ya followers alio nao hawezi acha kuuza hata kwa watu 200 kati ya 100,000 bila kukumbuka au kusahau kwamba alitumia njia ya mkato kuwapata hao followers.

Mungu anamjaliwa akaunti yake inakuwa approved kwa ajili ya kupewa link za kampuni atakayo kuwa ameichagua na anapewa links kwa ajili a post kwenye hadhira yake ya watu 100,000/=

Matokeo yake sasa huwezi amini kati ya wote hao hata waki react ni ngumu kuuza kama mimi naongea uongo basi muwaulize au mfuatilie kwenye google jinsi ya kufanya biashara hii.

ANGEFANYA NINI SASA MTU KAMA HUYU?

Mkakati wa kufanya Affliate Marketing ni wa namna mbili.

Uwe na Mtaji
Hapa kwenye kuwa na mtaji nna Imani umewahi kuskia Habari ya kulipia pesa ili tangazo lako lilushwa hewani either katika google au redioni matangazo haya pigwi bure hii namna wanaitumia watu wenye pes ana hana followers anacho kifanya anatafuta mtu ambbaye ana followers ambao wanapendelea jambo kama bidhaa aliyo ichagua na analipia ili aweze kuwafikia hadhira hiyo kwa mkakati maalumu.

Kwahiyo mtu huyu anakuwa na mkakati ambao utamwezesha kuuza zaidi ya mara moja japo ananunua mara moja hao watu. Kwahiyo kwanza badala ya kuwatangazia moja kwa moja anafanya kuwaweka sehemu moja kwa kuandaa ujumbe wa kuwashawishi ili waweke ama email zao au namba zao za simu.

Kwahiyo akisha pata namba zao za simu hao watu ambao labda wanapenda vipodozi basi anaweza kujiunga na kampuni za bidhaa za vipodozi dunia nzima kwa maana hadi amewapata kwa ujumbe ulio wakusanya maana yake wamemwamini sana hivyo ikitokea ameweka tangazo basi panakuwepo uwezekano mkubwa sana wa kuuza kwa mfano kwa watu 3 kati ya 100 kwa hio kama una mawasiliano ya watu 300,000 basi unauza kwa watu 9000 just imagine bidhaa ina faida 5000 x 9000 = 45,000,000/=

Nimeongea sio kwa undani sana lakini watu wanaishi hayo Maisha kwenye huu ulimwengu

Kwahiyo suala la mtaji ina kuwa ni kwa ajili ya kuunganisha tools za kukamilisha mchakato huu mfano wa tools hizo ni kama

Campaign

Landing pages

Sales pages

List building and automation

Hizi zote ambazo akikamilisha kuzitumia vizuri anaweza pata pesa kama hiyo hapo juu kwa muda atakao kuwa ameupangilia vizuri na ili kuzitumia hizo lazima alipie huduma hizo kwa makampuni wanayo toa huduma hizo kama mailchimp.com bidverts.com wix.com autoresponce na mengine mengi unaweza google landing pages sites , kwa kukosa mtaji mtu ambaye unamashaka na hili jambo ni ngumu sana kulipia huduma hizi

Kwahiyo mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe , kwa jinsi gani sasa mtu unaweza kufanya hivyo ikiwa hauna mtaji?

Kupata hizo tools zote bila kikomo basi unatakiwa uwe Web developer yaani ujifunze codding ili utengeneze tools hizi mwenyewe maana inawezekana kama una fahamu codding ni task ndogo hii.

Sasa kinacho tokea ni kwamba kuna wanao fanya codding kwa malengo mengine tofauti na haya ila kuna wengine wana code ili kumiliki hizi tools waendelee.

Kwenye hili jamani amna uchakachuzi sio kama ety free internet with VPN mara sijui hacking ujuzi kama huu hata uki hack email list ya mtu huwezi toboa option ni kujifunza pekee au uwe na pesa ujifunze kutumia mtaji kwa style kama maelezo yangu hapo juu.

Uwe na tools zako mwenyewe

Kuwa na tools hizi

Campaign

Landing pages

Sales pages

List building and automation

Unatakiwa ufahamu programming ndio utaweza kufanya affiliate kwa gharama ndogo

Unahitaji ujuzi wa web developments jifunze

HTML
Katika language hii jifunze sio kwa undani saana hatua ya kwanza jifunze tags chache za hml na elements au kiujumla basics za hmtml kwa ufupi tu kisha tafuta kiproject mtandaoni fanya majalibio kwa ku edit . unahitajika kuwa na text editor ilikufanya hili mimi napendekeza uwe na sublime text editor

PHP
Server pre processor programming language hii ndio language ya kuteneza akili za website yako

Kama utakuwa umefanya maelezo mache iyo html basi jalibu ku edit projects ambazo zina tumia html na php kuandika code za php unahitaji kuwa na code editor utatumia hiyo hiyo sublime text editor

CSS
Language hii hutumika kutengeneza muonekano wa page yako jifunze kuhusu hii pia katika site nzuri mfano site ambayo unaweza Jifunza mambo haya kwa Daraja dogo ni W3SCHOOL.COM

D. JAVA SCRIPT

Hii ni language tajili wa kutengeneza miondoko kwenye web development jifunze pia hii itakusaidi

E. MYSQL
Database management programming language , mwisho wa siku baada ya kujifunza language hizo zote juu utahitaji sasa kuhidhi taarifa za hao watu unao taka kuwapata.

Unawezaje kujifunza language hizi kwa wakati mmoja ??? kitu cha kwanza ni kupita utangulizi wa hizi language kisha baada yah apo ni kazi yako kutafuta code au project za watu kuzifanyia editing

Kuwapata watu waliochujwa
Ni vizuri kabla ya yote ukachagua njia ya mawasiliano utakayo tumia kuwasiliana na wateja wako kwa muda utakao kuwa unataka wewe

Baada ya hapo fanya programming ya landing page yenye mwonekano mzuri mara nyiki mwonekano kwenye web development huwa ni wakuiga tu yaani unakuta code zilishwa tengenezwa wewe ni kuzi tumia tu .

Kama utaamua kununua watu wanao penda bidhaa unayo itoa itangaza basi hakikisha una fedha na unajifunza nini cha kufanya ili kukamilisha mchakato huo

Kama unataka kutafuta followers wewe mwenyewe basi lazima utumie njia iliyo thibitika ili kuwapata hata kama utapata

Kitendo cha kutangaza kitu flani katika mtandao ili kupata watu watakao kipenda huitwa Traffic Generation sasa ili kupata traffic ambayo itakuwa ya aina yako lazima ufanye mchujo

Kitu cha muhimu kujifunza ili uweze kuwa chuja ni kuandaa saikologia yenye nguvu ya ushawishi ili mtu anapo fungua hiyo page basi imshawishi kuweka taarifa unazo zitaka wewe .

Mfano unaweza ukawa umetarget kupata namba za simu tu kwahiyo lazima uandike maneno yenye saikolojia ya ushawishi wenye nguvu mfano

Kama bidhaa ni ya vipodozi unaweza sema

----- kutana na wataalamu wa masuala ya Ngozi kupata mafuta yatakayo endana na Ngozi yako

Ili kupata taarifa za namna hii weka namba ya simu.

Japo sio wote watakao ona page yako wataweka namba ya simu ila watakao weka , kitendo chao cha kuweka namba ya simu ni namna flani kwamba wana nia na kutatua tatizo lao la mafuta kuto kuendana na Ngozi .

Kwa hiyo kwa namna hii hata kama umepata bahati ya chanzo flani cha watu lazima uwapitishe katika chujio ili wale watakao elewa maneno yako waweke namba ya simu.

Baada sasa ya kujiunga na makampuni ya bidhaa za Ngozi una kuwa affliater wa bidhaa zao kutokana na kuwa na hadhira ambayo inapendele bidhaa za vipodozi.

Kuwa na hadhira hii kuna asilimia nyingi sana ya ikitokea umetangaza kuuza bidhaa wakanunua kw akua wanashida na unatangaza bidhaa kwa brand ya mwenye kampuni kazi ya kuaminisha watu ni ya kampuni, wewe kazi yako ni kuwa na watu ambao wana interest na bidhaa.

Ukikosea kuchagua bidhaa ambayo haihitajiki sana sokoni basi hata uwe nao hao watu sizani kama wanaweza kununua hiyo bidhaa hata mtu ukiitangaza.

Freelancer
Freelance ni mtu binafsi anaye jipatia kipato kwa kufanya kazi au shughuli anayo pewa baada ya kumaliza shughuli hiyo papo hapo na faida ya kufanya kazi hizi unakuwa na uhuru wa kufanya kazi yako popote ulipo iwe ni nyumbani au sehemu yoyote utakayo ichagua kufanyia kazi .

Jinsi ya kufanyaa kazi hizi ni kutafuta platform , huko anajisajili na kutengeneza wasifu wake mwenyewe.

Kutengeneza wasifu lazima mtu uwena taaluma au uwezo wako flani mfano unaweza ukatengeneza wasifu kama content writer yaani mwandishi wa maudhui mbalimbali kama vile hotuba , zipo tovuti ambazo mtu unaweza ukajisajili mfano UPWORK ni platform maarufu duniani kwa ajili yah awa ma freelancer

Kuhusu freelancing sifahamu sana ila suala hili lipo kwenye sura kama hii

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusiana na hili basi tumia internet kuperuzi kuhusiana na hili.

Publisher
Hii ni kazi ya uchapisha wa maudhui flani kwa hadhira flani namna ya kufanya kazi hii ni kwa kutumia namna utakayo ichagua mfano.

Unaweza ukatengeneza website kwa ajili ya machapisho ya mambo flani ambayo watu watakao penda machapisho hayo basi watakuwa wanaingia katika tovuti yako ili kusoma kuhusiana na kitu mtu anataka kujifunza kawa wakati huo.

Mtu unaweza ukatengeneza blogs , hii ni aina ya tovuti ambayo mtu unaweza pia ukawa mwandishi wa mambo flani ambayo unautaalamu sana kwa kajili ya kusaidia raia anaetaka kujua kuhusu mambo yanayo husu taaluma yako hiyo.

Mtu unaweza ukatenge mobile application kwa ajili ya kulenga watu wa aina flani

Swali zuri sana linakuja napataje pesa baada yah apo? Ukisha kuwa mchapishaji inamaana watu wote wanao tafuta kitu flani kilicho chapishwa lazima wata kuona endapo umeandika kuhusu kitu anacho tafuta mtu kwa wakati huo.

Kwa hiyo kuna makampuni yanaanzishwa kila leo na wanatamani kutengeneza majina majina mbele ya watu, kutokana na elimu ya masoko kuwa pana sana basi kama kampuni itakua na bidhaa au huduma inayo husiana na Habari zinazo andikwa katika machapisho yako basi kuna uwezekano mkubwa wa wao kukufuata ili waweke matangazo yako katika jukwaa lako, huku wakiamini kama wata fanikiwa kuonesha bidhaa hiyo kwa watu wako basi kuna uwezekano mkubwa wa watu kufanya maamuzi ya kutafuta bidhaa ya namna hiyo.

Kwa hiyo wewe jukumu lako ni kuwa na hadhira ambayo unaweza iuza kwa namna kama hiyo kwa watoa huduma na wazalishaji wa bidhaa flani Habari ya ubora wa bidhaa wewe inakuwa haikuhusu hata kidogo.

WATU WANO TAMANI KUONGEZA KIPATO CHAO KWA NJIA YA MTANDAO

Umiliki website
Kwa mfanyabiashara anaetamani kuongeza kipato kupitia mtandao kwanza ana machagua mawili ama anunue website au afanye programming kutengeneza website yake

Anaongezaje kipato mfanyabiashara kwa mpango wa muda mrefu anaweza jiongezea mauzo kwa kutafuta namna nzuri ya kuonesha ni kwa namna gani bidhaa au huduma yake inatatua matatizo ya watu na sio kulazimisha watu wanunue , masuala ya tunauza a kwa bei b wakati ni wengi wanauza a kwa bei b , kwahiyo website inajikita kuonesha na kuelewesha ni kwa namna gani bidhaa au huduma inatatua tatizo la mtu ili kupishanisha ushindani uliopo sokoni.

Ina maana watu haw ahata wakisimama wote kutangaza biashara jukwaani kwa wakati mmoja basi atakae elezea na kumwelewesha mteja vizuri ndio atafanikiwa kupata mauzo kwa wakati huo.

Utofauti wa kuchukua uamuzi wa kujenga brand au kutengeneza jina la kuuza kwa matangazo mengineyo MTANDAONI kila mtu anaingia kwa wakati wake REDIONI na TV matangazo yana pigwa kwa muda maalumu yaani aliekuwa shambani hawezi kutazama matangazo ya mchana na hawezi skia matangazo yam chana tofauti na FACEBOOK alie kuwepo kazini au bize bize basi atakuta post za muda wote muda ambao atakuwa ameingia kwenye ONLINE

Matangazo ya mtandaoni unauza usiku na mchana.

Kama huwezi kununua website na hauwezi kutengeneza basi ununue nafasi za matangazo kwa PUBLISHERS ili kuongeza mapato yako.

Umiliki mobile App

Katika kipengele hiki ni rahisi sana tangaza biashara yako kwa kutumia Application ya Simu kwa kutengeneza au kununua . Application ambayo itakuwa kwa mfumo utakao kuwa unataka wewe

Ili kutengeneza Application ya simu unatakiwa kufahamu programming language ama JAVA au KOTLIN nazinginezo maana zipo nyingi.

Mobile Application unatengeneza kwa kutumia IDE yoyote utakayo itaka wewe mfano MICROSOFT VISUAL CODE ama ANDROID STUDIO

Katika kipengele hiki jiku tuna to huduma ya kufundisha namna ya kutengeneza MOBILE APPLICATION kwa kutumia ANDROID STUDIO na JAVA PRORAMMING LANGUAGE

Umiliki Followers

Fanya kazi ya kuongelea bidhaa zako kwenye mitandao ya kijamii ili kupata watu wanaopenda kile unacho kiongea kwani atakae kuelewa atakuwa mteja wako nakama kina ubora basi mtu huyo ata comment positive comment ambazo zitapunguza nguvu unayo itumia kuelewesha mtu maana mtu huyo anakuwa kama shahidi pembeni.

Nimambo mepesi na magumu yanawezekana na hayawezekani kutokana na wewe mwenyewe

Karibu

Jiku Tech Tips

1. Kujifunza Mobile App Programming

2. Kujifunza Web Development

3. Jinsi ya kutengeza jina kwenye Facebook

YOTE KWA GHARAMA NDOGO

Nenda google Andika “Jiku Tech Tips ” ingia katika youtube kupata masomo mbalimbali.
 
YALIYOMO

NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2

Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche ??? 5

MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14

WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA KIPATO KUPITIA MTANDAO 15

Affliate marketing 18

Freelancer 32

Publisher 34

WATU WANO TAMANI KUONGEZA KIPATO CHAO KWA NJIA YA MTANDAO 36

NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA

Niche ni kategoria inayolengwa kutangaziwa jambo flani hasa kategoria hii huwa inalengwa sana na matangazo ya biashara .

Sio biashara tu, niche pia huzingatiwa na watu wanao taka kujenga umaarufu flani kwa kundi flani la watu.

Ninapo sema kundi ninaweza nikawa nimekuchanganya kidogo lakini kikundi katika nadharia hii namaanisha hadhira.

Wafanyabiashara wakubwa au wenye ujuzi wa kutangaza bidhaa zao hutengeneza bidhaa wakilenga kuzitangaza kwa hadhira ya aina flani ambayo ndio kwa utafiti wao hadhira hiyo changamoto zake zinahusiana namna flani na bidhaa hiyo.

Hadhira hiyo huwa ni ndogo ,maalumu na ambayo imefafanuliwa vizuri .

Ili kufanya masoko katika niche makampuni au mashirika lazima watambue niche waliopo kwanza.

Masoko kwenye niche maana yake ni kuchuja hadhira kutoka kwenye soko ambayo mahitaji yao ni ya pekee sana.

Kwa mfano mzuri makeup ni sector pana lakini katika soko lake kuna makeup kwa ajili ya matatizo ya Ngozi , makeup kwa ajili ya wasanii mashuhuli na mengineyo

Kwa mfano mkoa mmoja unaweza kuwa na watu zaidi ya milioni moja lakini katika hao watu kuna Watoto ,vijana,watu wazima na wazee. Idadi yetu ni 1milioni lakini kuna mchanganyiko wa watu hao , tufanye kama unabidhaa yako.

Basi katika hilo unaweza ukalenga kundi flani la watu kwa kufuata elimu ya niche ambayo ili ulenge kundi flani la watu lazima utambue kwanza bidhaa yako iko kwenye niche gani.

Mfano

Michezo

Afya

Malazi

Burudani

Usafilishaji

Mitindo

n.k

Mada yetu ni niche sasa unataka utangaze bidhaa yako katika mkoa umesha fahamu kwamba bidhaa yako ni ya michezo moja kwa moja ukitangaza bidhaa yako kiholela utaingia gharama ambayo haina maana yoyote kwa kuwatangazia au kupoteza muda kwa kuwatangazia watu ambao hawahusiki kabisa na bidhaa hiyo.

Mtu ambaye anaelewa Habari ya niche katika kutekeleza hili ataandaa mkakati, kwa mfano anaweza aka lenga kwanza watu ambao wanapenda michezo nitawapata katika matukio yapi au katika maeneo gani ili kutangaza bidhaa yake kwa ufanisi na kupata faida.

Unaweza uka pata hadhira inayo penda michezo kwa ajili ya kuitangazia bidhaa yako moja kwa moja lakini kuna kipengele cha umri pia , Je bidhaa yako ipo ki umri umri au ni kwa yeyote anae pendelea michezo ??

Ikiwa labda bidhaa yako ipo inalenga Watoto lazima swali lingine litaongezeka hapa kwamba ni wapi nita wapata Watoto wanao penda michezo ??

Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche ???

ukweli ni kwamba mtu anae zingatia suala la pesa anauwezekano wa kupata mafanikio makubwa na faida kubwa katika jambo lake na likawa la kudumu kwa urahisi. Ni uhalisia kwamba katika hadhira watu milioni kuna mchanganyiko wa watu wanao pendelea kategoria mbalimbali na maanisha mitindo wengine michezo wengine burudani ya muziki n.k

ukichukua uamuzi wa kutangaza bidhaa yako kwa idadi ya watu hao ambayo inaonekana ni kubwa kuna uwezekano mkubwa sana ukapata watu 3 au 2 kwa kila watu 100 kutoka kwa hao 1,000,000 kwa sababu wengine matangazo na bidhaa yako au jambo lako itakuwa ni kama kelo kwao.

Lakini kwa yule ambaye atachukua uamuzi wa kuchakata soko hilo la watu 1 milioni moja na akachuja akapata labda watu 100,000 pekee labda ndio watu wa michezo basi kuna uwekano wa yeye kupata matokeo yenye mafanikio mfano kwa watu 100 anaweza uza hata kwa watu 20 na hao wanao baki sio kama hawajataka ni kwasababu tu za kibinadamu ndio zimewafanya wasinunue kwa muda huo na pengine kwa wakati mwingine wakawa na asilimia nyingi sana za kununua bidhaa yako kwa sababu wanafuraha kusikia mambo ambayo yanayapendelea.

Elimu hii ya niche ni elimu ambayo wengi wanao itumia ni wale wanao tamani au wanaotangaza biashara zao , majina yao kwenye mtandao kitu ambacho bila kuzingatia suala hili la niche wanajikuta wakidondoka na wanabaki kulaumu kwamba ni mambo ambayo haya eleweki kumbe wao ndio hawa elewi.

Katika kupita pita au hata kwa wale wanao beti hili suala la beti ni mashuhuda kwamba uki download mobile application ya TIPs za kubeti kama ina matangazo basi utaona matangazo yote ni ya michezo tu na huwezi ukaona tangazo la duka la nguo katika App ya MIchezo utaona matangazo mengi yanahusiana na michezo .

Katika mitandao ya kijamii kuna issue ya followers ni wachache wanao elewa kuwa kuwa na followers wengi zaidi kunaweza kukupatia wewe fedha zako nyingi sana ukabaki unashangaa. Ila ni wengi wanaoskia skia kwamba followers wengi basii unapata pesa

Hapa kuna pande tatu yaani kuna wewe mwenye followers kuna mfanya biashara alafu kuna upande wa tatu ambao ndio followers wenyewe.

Majukumu ya kila upande

Mfanyabiashara anatamani kupata sehemu ambayo akiweka tangazo lake basi apate mauzo mengi na mauzo mengi yana toka kwenye hadhira ambayo inapenda bidhaa ya aina yake.

Kwa sababu wewe ndio mwenye followers na unahitaji pesa kutoka kwa mfanyabiashara ili followers wako wawena hadhi kwa mfanyabiashara lazima uwe na followers/hadhira ambayo ina husiana na aina ya bidhaa ya mfanya biashara.

Followers hawa wenyewe ndio watumiaji wa bidhaa wenyewe huwa wapo tayari kutoa pesa ili kupata hitaji lao ndio cha muhimu kwao.

Followers ambaye anapenda mchezo wa mpira akiona Habari za masuala ya kupika pilau au tangazo la mafunzo ya piano ni ngumu sana mtu huyu kujiskia vizuri kama ni group la whatsapp basi utaona ame left kama ni youtube chanell basi ata unsubscribe au ata mute notification kutoka kwako

Kwahiyo suala la niche katika biashara ya mtandaoni ni la kuzingatia ili kupata matokeo unayo talajia kutoka kwa mfanya biashara au mtu anaye hitaji hadhira ya namna flani kutokana na followers wako.

Imagine mimi nafanya biashara ya nguo nimepita kwa rafiki yangu wa kwanza kaniambia bwana biashara ya mtandaoni inalipa sana mimi siku hizi shoga yangu sio lazima nifungue mlango ni order tu napokea kutoka mtandaoni

Nikaja kwako lafiki yangu mungine unafollowers 10,000 una wame kufollow wewe kwa sababu huwa unapendelea kupost mausuala ya nguo na mitindo mitindo hadhira kama hii nikiweka picha za bidhaa yangu basi ni rahisi sana kupokea orders kwa sababu watu nnao watangazia wenyewe wanapenda mitindo , katika hilil unaweza ukapokea simu 40 kati ya 100 lakiini wakanunua watu 20 au 15 tu kwa kila watu mia ambao saw ana watu 1500 kutoka kwa watu 10,000 just imagine faida kwa kila nguo ni 400 x 1500 = 600,000/ within hour je group lina 200K members fb na wote wanapenda mitindo wewe unategemea nin kama umeweka maelezo na mkakati unao eleweka kufanikisha hili??

Katika internet ukitembele tovuti ya UDIMI.COM uta gundua ni tovuti ambayo ni soko la followers kutoka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii duniani na bei inatautiana kulingana na kila jasho alilo litumia mwenye followers kuwapata hao followers

Mfano leo tarehe 27 /01/2024 nimeingia na kukuta mmoja anauza laia mmoja $0.40 imagine ana followers 10,000 so ni $400 anapata unaweza ukajiuliza sasa ana nunua nani anae nunua ni mtu kama mimi ambaye labda nataka watu wa kuwa uzia kitabu hiki ambao wengi wao wanapendelea Habari ya pesa mtandaoni na hawajui ni kwa jinsi , hawajui Habari ya niche lakini baada ya kufeli muda mrefu wanakuja kugundua kua kuna haja ya kujifunza au kupitia maudhui kama haya zaidi ya tano ndio aanze kutafuta followers.

Watu wanao fanya biashara ya watu huko UDIMI huchuja watu hao na kupata emails zao kwahiyo kitendo cha kumiliki emails zao hao watu wanaopenda kitu flani basi ndio hapo mtu anasema hey I have a list of 100 thousand sports followers can I sell to you , nimeona kama unapost jenzi za mpira na vifaa vya michezo. Kama unafanya biashara hiyo lazima kwa namna moja au nyingine utavutika tu hata usipo nunua wewe ata nunua orodha hiyo mtu mwingine anae fahamu Habari hii kama mimi.

Kwenye nchi za wengine huko hakuna biashara kama za kwenye nchi yetu kwahiyo mtu anaumiza kichwa namna kama hizi zina kuwa nyingi biashara za derivery na mitandaoni zimeshamili sana na amna utapeli kama wa bongo kwetu.

MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI

Miongoni mwa njia za kujipatia kipato kwenye mtandao yaani money online ni Pamoja na

Umiliki Website

Umiliki mobile Application

Umiliki Followers

Umiliki youtube channel

Miongoni mwa njia za kuongeza kipato kupitia biashara yako, taaluma yako au uzoefu wako ni Pamoja na

Umiliki website

Umiliki mobile App

Umiliki Followers

Umiliki Youtube channel

Sio kama hakuna njina zingine Hapana njia zingine zipo isipo kuwa nimetaja na kuoroshe hizi kwa harakaharaka .

Nimezungumza namna mbili lakini orodha ya njia ikabaki vile vile

WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA KIPATO KUPITIA MTANDAO

Watu hawa hupitia masomo au maandiko mengi sana kwenye mtandao ya namna gani basi wanaweza pata kwa ajili ya angalau kutatua matatizo madogo madogo wanajitihada nyingi sana katika kufahamu uhalali na uhakika wa jambo hili.

Watu hawa wengi hawana fedha hata za kununua kifurushi cha internet lakini wanapenda sana kutaka kujua urasmi w mambo haya kiundani.

Wanatamani sana kumpata angalau mtu ambaye anaweza akawadhilishia ni kwa namna gani haya mambo yanawezakana lakini changamoto wanayo kutana nayo wengi wanadaiwa kulipia wakati hawana uhakika na wanacho takiwa kulipia.

Watu hawa wengi kwa siku ya leo ni vijana ambao wapo katikati ya umri wa miaka 18-29

Watu hawa wengi ni wale ambao wanapambana kutafuta namna ya kujipatia kipato chao kwa njia halali

Watu haw ani watu ambao wanataka kuwa kama watu flani huku wakijiuliza ilikuwaje ikawa hivi ilivo ??

Watu hawa wanakutana na changamoto ya vipi ni kiacha kufanya kinachonipa kula na bando la ku stream kwenye mitando si nitakuwa na hali mbaya kutokana na kauli na usemi kwamba kwenye mtandao kuna pesa lakini huwezi ipata kwa urahisi na muda mfupi , kama inavyo tafakarika kwa watu wengi hivyo wazo hili linawakatisha sana tamaa.

Kuna kauli huwa inasema mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe kwa sababu mtu huyu kunakipindi atatamani kuwa na computer angalau ndogo lakini uwezekano ukawa haupo kutokana na kukosa pesa.

Mara nyingi wanavyo kuwa wanafuatilia kwenye mitandao swali la JINSI YA KUPATA pesa kwenye mitandao hukutana na mikakati ambayo unakuta katika kutekeleza mkakati inakuwa inahitajika pesa

Mfano kuna mwingine aki Google how to get money online basi anakutana na content ambazo zimefupishwa sana kwamba ukifanya hivi inakuwa hivi ikiwa hivi unapata pesa kwa namna hii mara mpka uwe na pay pal kupokea malipo.

Vielelezo hivi vitatumika kuelewesha maangaiko ambayo vijana wanakutana nayo katika Habari ya how to make money online

Affliate marketing

Naweza nikachukulia mfano labda mtu katika njia zote alizo zichagua amekutana nah ii , kwa ambaye haielewi njia hii ni njia ya kupata pesa kwa kuuza bidhaa ya kampuni flani kwa hadhira yako , huku kampuni hiyo ikiwa imekupatia taarifa za kutosha kuhusian na bidhaa yake ili kuku lahisishia wewe kutafuta watu wa wanaoweza kununua bidhaa hiyo kwenye mtandao . Suala la Masoko wewe linakuwa halikuhusu ni la wao wenyewe isipo kuwa wewe utapata pesa endapo yule mtu ulie mtangazia bidhaa hiyo akinunua.

Kwahiyo sasa kama una followers unaweza watangazia bidhaa ya kampuni kupitia link ambayo umepewa na kampuni ili mtu yoyote atakaye nunua kupita link hiyo uliyo pewa wewe unapata pesa

Unaweza ukakuta bidhaa inauzwa 150,000/= namna hii iliivyo mwenye bidhaa akawa tayari kukupa wewe kiasi cha Tsh 50,000/= kwa mtu mmoja kununua bidhaa ya kampuni kupitia link ambayo unakuwa umepewa.

Sasa mtu baada ya kuelewa maana ya Affliate Marketing basi anakurupuka na kuanza kutafuta followers ili ety aje ajiunge na makampuni ili a promote link huwezi amini mungine anaanza kutafuta na wale followers wa ku boost, mara anapost picha zake za uchi , mara anapost picha za mastaa na kweli mungu anamjalia anapata hata followers 100,000/= kwenye profile yake.

Baada yah apo anaenda kwenye soko la mtandaoni lina itwa CLICKBANK.COM kwa ajili ya kutafuta bidhaa ambayo ina Cammision kubwa akitegemea kwa idadi kubwa ya followers alio nao hawezi acha kuuza hata kwa watu 200 kati ya 100,000 bila kukumbuka au kusahau kwamba alitumia njia ya mkato kuwapata hao followers.

Mungu anamjaliwa akaunti yake inakuwa approved kwa ajili ya kupewa link za kampuni atakayo kuwa ameichagua na anapewa links kwa ajili a post kwenye hadhira yake ya watu 100,000/=

Matokeo yake sasa huwezi amini kati ya wote hao hata waki react ni ngumu kuuza kama mimi naongea uongo basi muwaulize au mfuatilie kwenye google jinsi ya kufanya biashara hii.

ANGEFANYA NINI SASA MTU KAMA HUYU ???

Mkakati wa kufanya Affliate Marketing ni wa namna mbili.

Uwe na Mtaji

Hapa kwenye kuwa na mtaji nna Imani umewahi kuskia Habari ya kulipia pesa ili tangazo lako lilushwa hewani either katika google au redioni matangazo haya pigwi bure hii namna wanaitumia watu wenye pes ana hana followers anacho kifanya anatafuta mtu ambbaye ana followers ambao wanapendelea jambo kama bidhaa aliyo ichagua na analipia ili aweze kuwafikia hadhira hiyo kwa mkakati maalumu.

Kwahiyo mtu huyu anakuwa na mkakati ambao utamwezesha kuuza zaidi ya mara moja japo ananunua mara moja hao watu. Kwahiyo kwanza badala ya kuwatangazia moja kwa moja anafanya kuwaweka sehemu moja kwa kuandaa ujumbe wa kuwashawishi ili waweke ama email zao au namba zao za simu.

Kwahiyo akisha pata namba zao za simu hao watu ambao labda wanapenda vipodozi basi anaweza kujiunga na kampuni za bidhaa za vipodozi dunia nzima kwa maana hadi amewapata kwa ujumbe ulio wakusanya maana yake wamemwamini sana hivyo ikitokea ameweka tangazo basi panakuwepo uwezekano mkubwa sana wa kuuza kwa mfano kwa watu 3 kati ya 100 kwa hio kama una mawasiliano ya watu 300,000 basi unauza kwa watu 9000 just imagine bidhaa ina faida 5000 x 9000 = 45,000,000/=

Nimeongea sio kwa undani sana lakini watu wanaishi hayo Maisha kwenye huu ulimwengu

Kwahiyo suala la mtaji ina kuwa ni kwa ajili ya kuunganisha tools za kukamilisha mchakato huu mfano wa tools hizo ni kama

Campaign

Landing pages

Sales pages

List building and automation

Hizi zote ambazo akikamilisha kuzitumia vizuri anaweza pata pesa kama hiyo hapo juu kwa muda atakao kuwa ameupangilia vizuri na ili kuzitumia hizo lazima alipie huduma hizo kwa makampuni wanayo toa huduma hizo kama mailchimp.com bidverts.com wix.com autoresponce na mengine mengi unaweza google landing pages sites , kwa kukosa mtaji mtu ambaye unamashaka na hili jambo ni ngumu sana kulipia huduma hizi

Kwahiyo mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe , kwa jinsi gani sasa mtu unaweza kufanya hivyo ikiwa hauna mtaji ???

Kupata hizo tools zote bila kikomo basi unatakiwa uwe Web developer yaani ujifunze codding ili utengeneze tools hizi mwenyewe maana inawezekana kama una fahamu codding ni task ndogo hii.

Sasa kinacho tokea ni kwamba kuna wanao fanya codding kwa malengo mengine tofauti na haya ila kuna wengine wana code ili kumiliki hizi tools waendelee.

Kwenye hili jamani amna uchakachuzi sio kama ety free internet with VPN mara sijui hacking ujuzi kama huu hata uki hack email list ya mtu huwezi toboa option ni kujifunza pekee au uwe na pesa ujifunze kutumia mtaji kwa style kama maelezo yangu hapo juu.

Uwe na tools zako mwenyewe

Kuwa na tools hizi

Campaign

Landing pages

Sales pages

List building and automation

Unatakiwa ufahamu programming ndio utaweza kufanya affiliate kwa gharama ndogo

Unahitaji ujuzi wa web developments jifunze

HTML

Katika language hii jifunze sio kwa undani saana hatua ya kwanza jifunze tags chache za hml na elements au kiujumla basics za hmtml kwa ufupi tu kisha tafuta kiproject mtandaoni fanya majalibio kwa ku edit . unahitajika kuwa na text editor ilikufanya hili mimi napendekeza uwe na sublime text editor

PHP

Server pre processor programming language hii ndio language ya kuteneza akili za website yako

Kama utakuwa umefanya maelezo mache iyo html basi jalibu ku edit projects ambazo zina tumia html na php kuandika code za php unahitaji kuwa na code editor utatumia hiyo hiyo sublime text editor

CSS

Language hii hutumika kutengeneza muonekano wa page yako jifunze kuhusu hii pia katika site nzuri mfano site ambayo unaweza Jifunza mambo haya kwa Daraja dogo ni W3SCHOOL.COM

D. JAVA SCRIPT

Hii ni language tajili wa kutengeneza miondoko kwenye web development jifunze pia hii itakusaidi

E. MYSQL

Database management programming language , mwisho wa siku baada ya kujifunza language hizo zote juu utahitaji sasa kuhidhi taarifa za hao watu unao taka kuwapata.

Unawezaje kujifunza language hizi kwa wakati mmoja ??? kitu cha kwanza ni kupita utangulizi wa hizi language kisha baada yah apo ni kazi yako kutafuta code au project za watu kuzifanyia editing

Kuwapata watu walio chujwa

Ni vizuri kabla ya yote ukachagua njia ya mawasiliano utakayo tumia kuwasiliana na wateja wako kwa muda utakao kuwa unataka wewe

Baada ya hapo fanya programming ya landing page yenye mwonekano mzuri mara nyiki mwonekano kwenye web development huwa ni wakuiga tu yaani unakuta code zilishwa tengenezwa wewe ni kuzi tumia tu .

Kama utaamua kununua watu wanao penda bidhaa unayo itoa itangaza basi hakikisha una fedha na unajifunza nini cha kufanya ili kukamilisha mchakato huo

Kama unataka kutafuta followers wewe mwenyewe basi lazima utumie njia iliyo thibitika ili kuwapata hata kama utapata

Kitendo cha kutangaza kitu flani katika mtandao ili kupata watu watakao kipenda huitwa Traffic Generation sasa ili kupata traffic ambayo itakuwa ya aina yako lazima ufanye mchujo

Kitu cha muhimu kujifunza ili uweze kuwa chuja ni kuandaa saikologia yenye nguvu ya ushawishi ili mtu anapo fungua hiyo page basi imshawishi kuweka taarifa unazo zitaka wewe .

Mfano unaweza ukawa umetarget kupata namba za simu tu kwahiyo lazima uandike maneno yenye saikolojia ya ushawishi wenye nguvu mfano

Kama bidhaa ni ya vipodozi unaweza sema

----- kutana na wataalamu wa masuala ya Ngozi kupata mafuta yatakayo endana na Ngozi yako

Ili kupata taarifa za namna hii weka namba ya simu.

Japo sio wote watakao ona page yako wataweka namba ya simu ila watakao weka , kitendo chao cha kuweka namba ya simu ni namna flani kwamba wana nia na kutatua tatizo lao la mafuta kuto kuendana na Ngozi .

Kwa hiyo kwa namna hii hata kama umepata bahati ya chanzo flani cha watu lazima uwapitishe katika chujio ili wale watakao elewa maneno yako waweke namba ya simu .

Baada sasa ya kujiunga na makampuni ya bidhaa za Ngozi una kuwa affliater wa bidhaa zao kutokana na kuwa na hadhira ambayo inapendele bidhaa za vipodozi.

Kuwa na hadhira hii kuna asilimia nyingi sana ya ikitokea umetangaza kuuza bidhaa wakanunua kw akua wanashida na unatangaza bidhaa kwa brand ya mwenye kampuni kazi ya kuaminisha watu ni ya kampuni , wewe kazi yako ni kuwa na watu ambao wana interest na bidhaa.

Ukikosea kuchagua bidhaa ambayo haihitajiki sana sokoni basi hata uwe nao hao watu sizani kama wanaweza kununua hiyo bidhaa hata mtu ukiitangaza.

Freelancer

Freelance ni mtu binafsi anaye jipatia kipato kwa kufanya kazi au shughuli anayo pewa baada ya kumaliza shughuli hiyo papo hapo na faida ya kufanya kazi hizi unakuwa na uhuru wa kufanya kazi yako popote ulipo iwe ni nyumbani au sehemu yoyote utakayo ichagua kufanyia kazi .

Jinsi ya kufanyaa kazi hizi ni kutafuta platform , huko anajisajili na kutengeneza wasifu wake mwenyewe.

Kutengeneza wasifu lazima mtu uwena taaluma au uwezo wako flani mfano unaweza ukatengeneza wasifu kama content writer yaani mwandishi wa maudhui mbalimbali kama vile hotuba , zipo tovuti ambazo mtu unaweza ukajisajili mfano UPWORK ni platform maarufu duniani kwa ajili yah awa ma freelancer

Kuhusu freelancing sifahamu sana ila suala hili lipo kwenye sura kama hii

Ukitaka kufahamu zaidi kuhusiana na hili basi tumia internet kuperuzi kuhusiana na hili.

Publisher

Hii ni kazi ya uchapisha wa maudhui flani kwa hadhira flani namna ya kufanya kazi hii ni kwa kutumia namna utakayo ichagua mfano .

Unaweza ukatengeneza website kwa ajili ya machapisho ya mambo flani ambayo watu watakao penda machapisho hayo basi watakuwa wanaingia katika tovuti yako ili kusoma kuhusiana na kitu mtu anataka kujifunza kawa wakati huo .

Mtu unaweza ukatengeneza blogs , hii ni aina ya tovuti ambayo mtu unaweza pia ukawa mwandishi wa mambo flani ambayo unautaalamu sana kwa kajili ya kusaidia raia anaetaka kujua kuhusu mambo yanayo husu taaluma yako hiyo.

Mtu unaweza ukatenge mobile application kwa ajili ya kulenga watu wa aina flani

Swali zuri sana linakuja napataje pesa baada yah apo ?? ukisha kuwa mchapishaji inamaana watu wote wanao tafuta kitu flani kilicho chapishwa lazima wata kuona endapo umeandika kuhusu kitu anacho tafuta mtu kwa wakati huo .

Kwa hiyo kuna makampuni yanaanzishwa kila leo na wanatamani kutengeneza majina majina mbele ya watu, kutokana na elimu ya masoko kuwa pana sana basi kama kampuni itakua na bidhaa au huduma inayo husiana na Habari zinazo andikwa katika machapisho yako basi kuna uwezekano mkubwa wa wao kukufuata ili waweke matangazo yako katika jukwaa lako, huku wakiamini kama wata fanikiwa kuonesha bidhaa hiyo kwa watu wako basi kuna uwezekano mkubwa wa watu kufanya maamuzi ya kutafuta bidhaa ya namna hiyo .

Kwa hiyo wewe jukumu lako ni kuwa na hadhira ambayo unaweza iuza kwa namna kama hiyo kwa watoa huduma na wazalishaji wa bidhaa flani Habari ya ubora wa bidhaa wewe inakuwa haikuhusu hata kidogo.

WATU WANO TAMANI KUONGEZA KIPATO CHAO KWA NJIA YA MTANDAO

Umiliki website

Kwa mfanyabiashara anaetamani kuongeza kipato kupitia mtandao kwanza ana machagua mawili ama anunue website au afanye programming kutengeneza website yake

Anaongezaje kipato mfanyabiashara kwa mpango wa muda mrefu anaweza jiongezea mauzo kwa kutafuta namna nzuri ya kuonesha ni kwa namna gani bidhaa au huduma yake inatatua matatizo ya watu na sio kulazimisha watu wanunue , masuala ya tunauza a kwa bei b wakati ni wengi wanauza a kwa bei b , kwahiyo website inajikita kuonesha na kuelewesha ni kwa namna gani bidhaa au huduma inatatua tatizo la mtu ili kupishanisha ushindani uliopo sokoni.

Ina maana watu haw ahata wakisimama wote kutangaza biashara jukwaani kwa wakati mmoja basi atakae elezea na kumwelewesha mteja vizuri ndio atafanikiwa kupata mauzo kwa wakati huo.

Utofauti wa kuchukua uamuzi wa kujenga brand au kutengeneza jina la kuuza kwa matangazo mengineyo MTANDAONI kila mtu anaingia kwa wakati wake REDIONI na TV matangazo yana pigwa kwa muda maalumu yaani aliekuwa shambani hawezi kutazama matangazo ya mchana na hawezi skia matangazo yam chana tofauti na FACEBOOK alie kuwepo kazini au bize bize basi atakuta post za muda wote muda ambao atakuwa ameingia kwenye ONLINE

Matangazo ya mtandaoni unauza usiku na mchana.

Kama huwezi kununua website na hauwezi kutengeneza basi ununue nafasi za matangazo kwa PUBLISHERS ili kuongeza mapato yako.

Umiliki mobile App

Katika kipengele hiki ni rahisi sana tangaza biashara yako kwa kutumia Application ya Simu kwa kutengeneza au kununua . Application ambayo itakuwa kwa mfumo utakao kuwa unataka wewe

Ili kutengeneza Application ya simu unatakiwa kufahamu programming language ama JAVA au KOTLIN nazinginezo maana zipo nyingi.

Mobile Application unatengeneza kwa kutumia IDE yoyote utakayo itaka wewe mfano MICROSOFT VISUAL CODE ama ANDROID STUDIO

Katika kipengele hiki jiku tuna to huduma ya kufundisha namna ya kutengeneza MOBILE APPLICATION kwa kutumia ANDROID STUDIO na JAVA PRORAMMING LANGUAGE

Umiliki Followers

Fanya kazi ya kuongelea bidhaa zako kwenye mitandao ya kijamii ili kupata watu wanaopenda kile unacho kiongea kwani atakae kuelewa atakuwa mteja wako nakama kina ubora basi mtu huyo ata comment positive comment ambazo zitapunguza nguvu unayo itumia kuelewesha mtu maana mtu huyo anakuwa kama shahidi pembeni.

Nimambo mepesi na magumu yanawezekana na hayawezekani kutokana na wewe mwenyewe

Karibu

Jiku Tech Tips

1.Kujifunza Mobile App Programming

2. Kujifunza Web Development

3. Jinsi ya kutengeza jina kwenye Facebook

YOTE KWA GHARAMA NDOGO

Nenda google Andika “Jiku Tech Tips ” ingia katika youtube kupata masomo mbalimbali.
MKUU HAMNA SUMMARY MAANA DUUH
 
Ni kitabu changu mkuu nime copy content zangu kuna mahali hauja elewa au unakitaka nikuuzie??

Tsh 5,000/= tu
Kwahiyo mtu akinunua kitabu na kukisoma anaweza kuanza kupiga kazi online? Paypal account inapatikana vp wakati Tz haipo.
 
Shida mtu unakuwa unachanganya mambo

Sikupi guarantee ya kupata pesa baada ya kusoma kwamaana sina uhakika kama utatekeleza mapendekezo.

Yaliyomo ndani

Soma vizuri content yangu upate nadharia ya namna ya kutengeneza pesa mtandaoni Kisha Tekeleza moja ya namna nilizo zipendekeza kwenye content yangu.

Maisha niliyo yaandika ndio nnayo yaishi kwa kiwango nilipo namshukuru mungu mwelekeo unaenda na hau yumbi

Mimi sio motivation speaker
download%20(17).jpg
 
Back
Top Bottom