AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Kuna adhabu mbalimbali tunazowapa wanachama wetu. Ukifumaniwa UNASIMAMISHWA uanachama kwa miezi sita! Ni Kosa la JINAI kwa infideletaz na infideleez kufumaniwa, ukifumaniwa maana yake hujafuata katiba na SHERIA zetu, kitendo ambacho HAKIKUBALIKI kisheria.
Dah... nimeahirisha. Sheria inaegemea kutoka nje, na mimi nje siwezi kutoka... Hapo tu nakuwa nisafeli. Niwatakie tu kazi njema... lol