umbea...............

Katika sheria zenu muongeze small house awe anazo upstairs (alafu na ubinadamu kidogo) ukianguka anakuvumilia hadi utapo nyanyuka tena. lol

Habari ya siku Baba E?

"small house" akiweze kukuvumilia wakati ukiwa huna uwezo wa kwenda kwenye "Umoja Switch - ATM", basi huyo anastahili kuwa "mother house"...!
 
aisee hivi Asprin kwani mwezi wa rozari umeshaanza? mbona kama unasema kaitubio? haya ndahani njoo utoe mapoint hapa wewe unayaamini haya?
Nadhani hoja hapa ya infidelity ni muruwa pia tukaangalia angle ya waathirika na hiyo kitu ambao wanajua kinachoendelea kwa mwenzake lakini hana kauli.
Mie nimeoa na ninajitahidi kwa sehemu kukomaza skills mchangani na mpaka sasa wifey hajagundua kitu (msinijadili).​

Utajibeba. Ulivyoingilia ndoa ya watu ulitegemea nini? Ndo ujiandae hivyo mama, andika mirathi kabisa.

Wifi kumbe ukimsikia shemejio anaomgelea visabuninvya gesti hausi ulijua ndo saluni ama? Hebu soma msahafu vizuri. Dena Amsi atakuelewesha vingine manake yeye alijiunga na chma kabla yangu:wacko:

Ha ha ha ha mimi ndo mshika dau mkubwa wa chama lenyewe.................

Kuna dalili ya mtu kusutwa hapa ngoja nisepe kwanza nikatafute umbea nirudi
 
Katika sheria zenu muongeze small house awe anazo upstairs (alafu na ubinadamu kidogo) ukianguka anakuvumilia hadi utapo nyanyuka tena. lol

Habari ya siku Baba E?
mimi ODM.....wa jf
Naapa kwa majina yangu yote NA JINA LA MWENYEKITI (hapo nimeshika cd compact ya movie za pilau).....!
kwamba nitailinda na kuiheshimu katiba ya INFIDELITY kwa nguvu zangu zote nikiwa kama ''NAPE NNAUYE'' wa chama hichi

MWENYEKITI NISAIDIE
 
"small house" akiweze kukuvumilia wakati ukiwa huna uwezo wa kwenda kwenye "Umoja Switch - ATM", basi huyo anastahili kuwa "mother house"...!
The only difference btn a 3some na sheria namba tatu ni sualala muda...kwamba 3some inafanyika muda huo huo aka simultaneously, wakati kwa sheria namba tatu ni kupasiana lakini muktadha ni huo huo.,.....​

Unajua kama Erickb52 alishindwa kumkagua mtu? alivyofika tu eneo la kazi kifaa kikagoma amesukumwaaaaaaaaaaa wee but where
 
Huu umbeya wa ChitChat kidogo unipite ...wanasema hata mkija ukoo mzima kunisuta hamuwezi haha Lizzy naona kaamia mashambani network not reachable
 
Last edited by a moderator:
jamani leo ni j1-1 ila kiukweli kazi zimeisha mapemaaa kwa ofc sina cha kufanya nikaamua nijitupe jf nikanza MMU nimeona leo hakuna dili na sina topic ya kuitupamo huko nikaona niende siasani nikaona duh! hapa nanukia harufu ya kumtusi mtu sasa nifanyeje? nikaenda kwenye photos huko nikakutana na Boflo nikaona kaamua makusudi kunifupuishia wiki nikasema sasa ili niifupishe vyema basi nije chit chat hapa nipatemo umbea kidogo.

haya sasa shosti wangu na msiri wangu wa ukweli cacico njoo ukiwa na wake wenzio wote BADILI TABIA Yummy pamoja na dada yangu mkubwa AshaDii nipeni umbea jamani lol!

haya wadada wote wa jf nipenipo umbea mkiongozwa na King'asti, Kongosho, snowhite wakiwa na Kaunga nitupienipo umbea tafadhali ninahamu na umbea.

hivi nimesahau wanaume nao huwaga wanagossip sasa leo nataka Mr Rocky, Asprin KARIA Ndahani BAK @mpitwaga Bishanga na wanaume wote wa jf njooni leo mnipenipo umbea jamani.

chombezo: mwanamke umbea kusutwa sunna atii.

gfsonwin tangu nisutwe na tarumbeta nishaacha majungu naapa sirudii tena ..:A S cry:
 
Last edited by a moderator:
@king'asti una bastola au gobole?

Sasa usingewaita hao wababa manake watatuzidi umbea hapa. Mi naogopa kusema kitu changu, ila kiukwelileo nina mood ya uchonganishi na nna bastola ya kuazima hapa nilipewa na Bashe. Ntarudi kagiza kakiingia
 
hahahahahaha hubby umeanza lini siasa?

halafu mitanzania tuache kupima uongozi kwa kigezo cha ndoa, hao waliooa ndo walioitafuna nchi hii na kujilimbikizia wao na familia zao...aaaaaaaaaaarghhhhhh

Hello Chit Chat

ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........

Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....

nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........

sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM
 
jamani leo ni j1-1 ila kiukweli kazi zimeisha mapemaaa kwa ofc sina cha kufanya nikaamua nijitupe jf nikanza MMU nimeona leo hakuna dili na sina topic ya kuitupamo huko nikaona niende siasani nikaona duh! hapa nanukia harufu ya kumtusi mtu sasa nifanyeje? nikaenda kwenye photos huko nikakutana na Boflo nikaona kaamua makusudi kunifupuishia wiki nikasema sasa ili niifupishe vyema basi nije chit chat hapa nipatemo umbea kidogo.

haya sasa shosti wangu na msiri wangu wa ukweli cacico njoo ukiwa na wake wenzio wote BADILI TABIA Yummy pamoja na dada yangu mkubwa AshaDii nipeni umbea jamani lol!

haya wadada wote wa jf nipenipo umbea mkiongozwa na King'asti, Kongosho, snowhite wakiwa na Kaunga nitupienipo umbea tafadhali ninahamu na umbea.

hivi nimesahau wanaume nao huwaga wanagossip sasa leo nataka Mr Rocky, Asprin KARIA Ndahani BAK @mpitwaga Bishanga na wanaume wote wa jf njooni leo mnipenipo umbea jamani.

chombezo: mwanamke umbea kusutwa sunna atii.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom