princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
webabu!! umbea gani huu wa siasa!!!??MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), hatimaye amevunja ukimya na kusema yupo tayari kujiunga na Chama Cha Allia........."
webabu!! umbea gani huu wa siasa!!!??MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), hatimaye amevunja ukimya na kusema yupo tayari kujiunga na Chama Cha Allia........."
Well hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:Nasikia toka Lizzy apotee hapa jamvini Bishanga kawa mpole na ndio hasa nia ya kutulia na mmoja ambae ni The secretary. Nimepata fununu pia kuwa Cantalisia, Mwali, @Obsesed, Smile na Okya walifumwa wakijadili jinsi gani wanaweza kujisajili kikundi cha wadada wa mjini kwa madai kuwa wanataka wawe wana run lile city la Jamii. Hata hivo hilo lengo lao liliingia dosari kwa sababu hawakuwashirikisha dada zao wakubwa kama Zion Daughter, Roulette, FirstLady1, Chauro, WiseLady, Preta, blacki womani BelindaJacob na Keren_Happuch.
Nasikia chama kuu MMU cha Infidel kinakufa kiutendaji baada ya Kaizer kuonekana anaenda kinyume na sheria mama za chama. Hio imefanya Darling shem Asprin akiongozwa na @RR, waite kikao cha dharura cha wanachama wachache tu; yaani Kimey, TIMING, Dreamliner, Baba_Enock, Fidel80, Teamo, The Finest, The Boss, klorokwini, Memo, Bigirita, kwa ajili ya hatma ya hicho chama.
Pia toka chama cha wabeba ma box kisajiliwe na Nyani Ngabu hapa jf nimepata tetesi kuwa kimepata wanachama wengi sana (atae hakiki hizi habari nitashukuru sana), wakiwemo jmushi1, BAK, Kiranga, Steve Dii, Mr Rocky majina mengine sijasikia... Ila Mzee Dark City hata hiyana atanipatia tu. lol
Nilitaka kusahau, soon kwa yeyote mwenye sherehe inayohitaji mapambo na maposhi ya cake afrodenzi kafungua kampuni.
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
hahahah!!! usinifurahshe!!! wakati yupo serikalini ilikuwa ni tym ya ufisadi kwanza!!!Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
hio habari niliisoma jana na jion nilipata nafasi ya kukaa kijiweni na wazee fula mida ya kahawa ya jion tukalijadili hili binafsi namuunga mkono mia kwa mia. kilimo kwanza hakiuanza akiwa madarakani kama waziri mkuu bana kumbuka vizuri.Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
mmh! wakati nyie ndo wenyewe kwa umbea sema bana kidogo ninong'oneze basi.
wakileta matarumbeta si tunaleta mizinga!! mbona watajibeba!!lazima awe na misuli kama Undertaker maana kusutwa umbeya wengine wanaleta mpaka matarumbeta...ntayaweza mimi ninavyopenda privacy???
hio habari niliisoma jana na jion nilipata nafasi ya kukaa kijiweni na wazee fula mida ya kahawa ya jion tukalijadili hili binafsi namuunga mkono mia kwa mia. kilimo kwanza hakiuanza akiwa madarakani kama waziri mkuu bana kumbuka vizuri.
Hello Chit Chat
ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........
Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....
nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........
sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM
wakileta matarumbeta si tunaleta mizinga!! mbona watajibeba!!
Mie nataka... lolWell hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu....
Rais wa Botswana hajaoa.
Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.
Go figure.
Nipo Ndahani. Mzima wewe?
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.
Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Abdulrhaman Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.
Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Hivi
yule bibie wa malawi keshaolewa tena? Nafikiria udalali wa match making (sio ukuwadi ikiwa kwa masuperstars)
Mie nataka... lol
hahahahhahah!!! we acha uoga!! mchawi ukimuonesha unamuogopa ndio anakuroga vzuri!! full ukauzu!!princess enny, you must be very special...do you have the energy to fight back such a situation? Mi ntakimbia jiji maana siiwezi hiyo aibu
hahahahhahah!!! we acha uoga!! mchawi ukimuonesha unamuogopa ndio anakuroga vzuri!! full ukauzu!!