FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
My childhood crush was kwa huyu kijana sijui ilikuwaje alikuwa mkubwa sana kuliko mimi,kama 18-21, na mie nilikuwa 13 yaani nilimpenda huyu mkaka sijawahi ona mpaka nikawa napoteza hamu ya kula, na kwenda nyumbani ni lazima upite kwao yaani nikimuona yupo nje najikwaa hata mara nne. sikuwahi kumwambia na wala yeye hakuniambia mpaka tulihama mtaa na mpaka leo sijawahi muona tena
gaga miaka 13 unakosa hamu ya kula?:biggrin1: