Ulishamuona your first love?

Mie nilikuwa la tano akaja demu mgeni faster faster nikaanza kummendea, mama ake alikuwa mwalimu akajua issue acha anipe kipondo, kumbe msichana aliacha barua ikaonwa na mama yake...kumbe mama kachochea, mtoto katoa keki mie ndani ya nyavu...ndo alinitoa ushamba na yeye alikuwa darasa la saba..mwaka jana niemuona tena kawa mzuri jamani na yuko office moja nyeti mie nilipomuona nikajificha maana life limenigeukia....
Magulumangu pole bana....next time we mpe tu salamu huwezi jua labda na yeye anakusaka sana!
 
heheheeee mie wa namkumbuka wa kwangu nilikuwa darasa la 3 nilihamia shule hiyo aliyekuwa anasoma yeye na cha kuchekesha zaidi alikuwa ni monitor wa darasa basi mie nilikuwa siandikwi jina darasani na mtu yeyote akiniletea ujuaji darasani akaona lazima badae aandikwe msumbufu! mtoto nilikuwa napenda shule khaaa! tukifunga shule natamani lini tutafungua ili nimuone wa moyoni ! sijaonana nae tokea 1999 zaidi ya FB! hahaaaa! ni raha kuwa mtoto!
 
Mie nilikuwa kama 10 hv ila huyu wa kibaba na mama, na alikuwa akipangiwa mama mwingine anaondoka.nilimpenda ila wakaondoka na family yake kwenda kuishi nje ya nchi.Yeah wangu! tangu kipindi hicho nikajakutana nae ukubwani kwenye ndege tunaenda arusha hiyo mwaka juzi tulivyofika huko tena heeeeeeeeeee.......%^&*$#@)(*&&....LOL

Mlikutana kwenye ndege umeshaolewa/oa na au kuwa na mahusiano mengine?
 
Sasa nimegundua kwanini ndoa au mahusiano ya sasa hayadumu! kumbe watu walianza tangia utotoni kwenye chekechea na primary na kisha kumbukumbu ziko vichwani?! hii inamaanisha unapompata wa ukubwani unakuwa hujaridhika kunako nafsi yako inabidi umuwaze yule wa utotoni na kutaka kumfananisha naye na huyu wa sasa!
 
Hapana zile za utoto ni hisia za kawaida za kitoto nadhani woote wenye utashi wanapitia tht stage, na huwezi ukawa umemweka kuwa vile alivyokuwa kitoto ndivyo atakavyokuwa kwenye utu uzima, kwani katika utoto nadhani formula ni moja tu, girl likes boy, boy likes girl...

Ukubwani unavutiwa na mengi maana umeshapevuka, ila kama huyo wa primary ulivuka naye hadi sekondari labda...

Mimi baba alikuwa mtumishi wa SU so kuhamahama nilimalizia Monduli huko, mdogo darasa zima na njemba zote zilikuwa tayari ni morani, I didn't fancy anybody!
 
Very well said, Nsiande.
 
...mnh, kwa sredi hii nimethibitisha tatizo lipo deep kuliko nilivyokuwa nafikiri.
Yaani nyie umri huo wa shule ya vidudu tayari mlishaanza 'matusi?' lol!!!!:hail:...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom