Mzee Kabwanga
Member
- Apr 27, 2012
- 68
- 18
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?
Muddy ni katibu wa jimbo tunampa hongera kwa ubunifu.
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?
Of course hata kama ni kweli lazima kuwe na utaratibu si kila mtu kuibuka from no where na kuanza kuomba michango. At least a/c hasa namba za simu zitangazwe na viongozi wanaojulikana kitaifa au ziwekwe kwenye website ya chama.Ninavyojua, mamlaka ya uchangishaji fedha lazima ziwe na baraka za chama ngazi ya taifa, vinginevyo tutafikia mahali tunaichafua sifa ya chama makini.
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
Huwa nafurahishwa sana na mama kilango, haswa alivyoweza kutumia msemo wake wa "humu ndani hapatoshi! Quite interesting.Gamba na mnafiki Anna Kilango ajiandae, mwisho wake unakaribina...
Umeingia JF leo leo na kuanza kuomba pesa ..... ama kweli wewe ni kiboko
Da mkuu na wewe unachunguza, me nilishaanza kuingia kwenye akaunti yangu ya M - pesa....nimestisha kwanza.
Da mkuu na wewe unachunguza, me nilishaanza kuingia kwenye akaunti yangu ya M - pesa....nimestisha kwanza.
Tupo pamoja mkuu,Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
Makamanda msiifanye migumu mioyo yenu! Linapokuja suala la kuchangia pesa basi kila mtu anaibuka na vijisababu vyepesi hata baada ya kuhakikishiwa uhalali wa zoezi zima. kama mtu huna mpango nashauri usiwe kikwazo kwa wengine, otherwise tujue wewe ni GAMBA ORIGINALI. viva cdm, hongereni Mudy, James na viongozi wengine hapo Same. M4C noma. nitatuma Tgo pesa
Mi naomba tuwe real. Tulikuwa tukiwalalamikia na kuwaomba viongozi wa cdm watupatie utaratibu utakaotuwezesha kuchangia chama. Leo katibu wa Same ametuletea utaratibu tunamletea dhihaka. Swala la kujiunga leo lisiwe sababu. Tumekuwa na Regia Mtema (rip) muda mrefu hadi alipotangaza kugombea ubunge ndio akajisajili kwa id ya jina halisi. Inawezekana katibu nae amelazimika kutumia jina halisi sasa ili kutuondolea shaka. Tujitolee kuchangia chama ili kuikomboa nchi yetu. Hakuna mabadiliko yasiyokuwa na gharama. Viongozi wamekuwa wakijitolea muda, mali na hata uhai. Sasa na sisi tuwape moyo kwa kuonesha sapoti.