Ukombozi wa nchi hii utaanzia wilaya ya same, mwenye masikio naasikie na kushuhudia haya

Linapokuja suala la ukombozi, muda mtu alioingia JF ni immaterial...cha msingi ni kuhakikisha kuwa what he said ni ukweli na vina baraka ya chama,kuwa ameingia na kuanza kuomba is immaterial...Mlitaka aingie na kuanza kupamba kwanza?mbona m4c ilianza na kukusanya michango?mpeni kamanda baraka zake tuache longolongo
 
Ni vizuri ukiatach official document, katika maswala haya anaweza akatokea mtu na kukusanya michango kinyume cha malengo.

Ni ushauri tu.
 
Hivi Same mashariki vipi..?
Msaidieni mama kaboyoka huko gonja milimani.
Naamini 2015 kilango hatamweza huyo mama.
 
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
Hizi hela za michango lazima zifanyiwe special audit kwa maana cdm mmeamua kuwanyonya wanachi walio maskini kupitia michango uchwara
 
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?

Kila kitu kiko wazi mama P. hakuna tapeli wa mtandaoni mwenye uwezo wa kuweka akaunti namba ya jimbo mtandaoni.
 
Simon, niko nanyie hakuna kiumbe atakayetoka mbinguni ashuke kututafutia ukombozi wa nchi hii, hata mwl. nyerere alikwenda UNO kutafta uhuru kwa kuchangiwa na wazalendo ambao waliuchoka ukoloni, uhuru ukapatikana ni sawa na sasa tu
 
Kata za Hedaru, Makanya Mabirioni na Same zinaomba uchaguzi uwe hata kesho ili zitoe hukumu kwa CCm kwenye Sanduku la kura
M4C
 
Sawa kabisa ukiwa na mashaka jaribu kuuliza ngazi za juu, halafu akaunti ina watiasaini wanaotokana na kamati tendaji ya CHADEMA jimbo la same magharibi, hii sio kwa maslahi ya katibu au mwenyekiti ila ni jimbo na nchi nzima
 
Ukombozi wa nchi hii utaanzia kwa mtanzania mzalendo ambaye ana uchungu na nchi yake na amechoka kunyanyaswa na kuonewa


Very TRUE!!

Naamini ndo wanaSame wameamua kuonyesha uchungu wao kwa vitendo, big up wanaSame!!

You have our support 100%
 
Sina sababu ya kum convice mtu aamini ukatibu wangu au la, mimi sio mjinga like that, waulize viongozi unaowajua CHADEMA wakusaidie, tunajua hata wakati wa kudai uhuru kulikuwa na wazalendo waliopinga wanaharakati wa zama hizo
 
Power... ok hakuna sababu ya kum bembeleza mtu apande safina yetu wakati huu wa ukombozi maana, wakati unakuja gharika itafurika na kusomba wavaa gamba huku safina ya CHADEMA ikielea
 
Mnandi,
Same haijawahi kupata wabunge wa hovyo kama Kilango na Mathayo. wabunge hawa wametelekeza kila sekta ya maendeleo katika wilaya yetu kuanzia kilimo,afya,elimu,maji,mazingira, na mengine mengi. kubwa kuliko yote ni uhai wa wananchi wa same unatishiwa na uharibifu wa mazingira katika misitu ya asili lakini wabunge wetu wapo kimya. hakuna kulala mpaka kieleweke!!
 
Wewe msikilize mamaporojo, inaonekana huyu ni ccm damu maana akaunti ya nmb iko wazi hiyo sio ya mtu binafsi jaribu kuuliza wakubwa wengine achana na porojo
 
Back
Top Bottom