Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,457
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.

Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.

Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.

Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.

Kukinga ni bora kuliko kuponya
 
Attachments

  • E4E69AFB-3B89-48A8-B722-162C124F70C7.jpeg
    E4E69AFB-3B89-48A8-B722-162C124F70C7.jpeg
    91.3 KB · Views: 5
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai.
Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.

Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.

Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.

Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.

Kukinga ni bora kuliko kupanga.
Acha majungu,kwani umesahau enzi za kuunga juhudi,kama amejiridhisha bora kuunga juhudi upande wa pili poa tu.
 
Tatizo la Wanachama wa CCM ukiwaambia ukweli ni vita.
Nitaweka picha mtadondoka.
 
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai.
Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.

Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.

Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.

Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.

Kukinga ni bora kuliko kupanga.
Hivi unaikinga ccm uko siriaz kweli??
 
Hivi kwenda Ofisi za chama kingine ni uadui?
Upinzani ni uadui? Mbona unaandika upumbavu mkubwa hivi?
Wewe una utapia-mlo mkali wa akili!
 
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.

Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.

Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.

Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.

Kukinga ni bora kuliko kuponya
Wewe utakuwa mtu wa ovyo sana kuwahi kutokea. Ni sera ipi ya chama inayomkataza kiongozi au mtendaji wa CCM kuwa na uhusiano mzuri na Viongozi au wanachama wa chama pinzani? CCM tukiendekeza watu wenye mawazo kama ya mleta mada, tutakuwa tunaligawa taifa. Huyu ana mwendelezo wa siasa za kipumbavu tulizozipitia hapo nyuma.
 
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.

Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.

Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.

Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.

Kukinga ni bora kuliko kuponya
Anafanya kazi ya chama,aliyotumwa.
 
Back
Top Bottom