Ukombozi wa nchi hii utaanzia wilaya ya same, mwenye masikio naasikie na kushuhudia haya

Ninavyojua, mamlaka ya uchangishaji fedha lazima ziwe na baraka za chama ngazi ya taifa, vinginevyo tutafikia mahali tunaichafua sifa ya chama makini.
Of course hata kama ni kweli lazima kuwe na utaratibu si kila mtu kuibuka from no where na kuanza kuomba michango. At least a/c hasa namba za simu zitangazwe na viongozi wanaojulikana kitaifa au ziwekwe kwenye website ya chama.

Sikatai huyu anaweza kuwa geniune lakini nasisitiza utaratibu mzuri uwepo, wabaya wanaweza kutumia mwanya wowote unaopatikana ili kudhoofisha wenye moyo.
 
Msihofu makamanda katika hili. Mimi Mudy Mnandi nikatibu ninaye tambulika mkoani na taifa. Aidha uchangishaji huu umepitishwa na kikao tulicho kaa na ndio maana tumetumia pia a/c ya CHADEMA Jimbo 405660022 jina la a/c Chadema jimbo la Same Magharibi. A/c yetu ina masignator hivyo fedha zitatumika kama ilivyopangwa na Taarifa zote zitawekwa wazi. Kwa wanao wezapia mnaweza mkawasilisha kwa Mkono Ofisi ya Chadema hapa Same Mjini
 
Zitto na Dk. Slaa wako JF tupe ukweli wa taarifa hii matapeli wa mtandaoni wamejaa kila kona... Je MUDDY ana baraka za chama kukusanya michango?

Kinachokuuma ni nini.. Nyinyi si mna ela za EPA, au zitakuwa zimeisha?
 
Mimi ndio maana huwa nawakubali sana watu wa pande za kaskazini kama arusha, moshi, karatu, same etc kwani wao hata kama ni biashara au masomo ambacho kikubwa huwa wanakijali huwa ni mabadiliko so ni vyema hata sehemu nyingine tukawaiga watu hawa kwani wenzetu huwa hawaogopi mabadiliko bali wao wanachojali ni kuona rasilimali zao zinakuwa salama zat y wamechagua CHADEMA pia sisi wengine wa mikoa ya mwarabu na pengine tuache majungu na tuichague CHADEMA na sio kila siku kulalamika chama cha ukanda na wakati sisi wenyewe hatujiungi na tunawaachia watu wengine wajiunge.
CHAGUA CHADEMA LEO KWANI UKILETA MCHEZO NA CHADEMA HAIKUBEMBELEZI KWANI INA WATU WENGI ILA UKIBAKI KWA MAGAMBA UTAKIONA 2.

Peoples.............

Shardcole@Tabora1
 
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com

Gamba na mnafiki Anna Kilango ajiandae, mwisho wake unakaribina...
 
Da mkuu na wewe unachunguza, me nilishaanza kuingia kwenye akaunti yangu ya M - pesa....nimestisha kwanza.

Makamanda msiifanye migumu mioyo yenu! Linapokuja suala la kuchangia pesa basi kila mtu anaibuka na vijisababu vyepesi hata baada ya kuhakikishiwa uhalali wa zoezi zima. kama mtu huna mpango nashauri usiwe kikwazo kwa wengine, otherwise tujue wewe ni GAMBA ORIGINALI. viva cdm, hongereni Mudy, James na viongozi wengine hapo Same. M4C noma. nitatuma Tgo pesa
 
Mi naomba tuwe real. Tulikuwa tukiwalalamikia na kuwaomba viongozi wa cdm watupatie utaratibu utakaotuwezesha kuchangia chama. Leo katibu wa Same ametuletea utaratibu tunamletea dhihaka. Swala la kujiunga leo lisiwe sababu. Tumekuwa na Regia Mtema (rip) muda mrefu hadi alipotangaza kugombea ubunge ndio akajisajili kwa id ya jina halisi. Inawezekana katibu nae amelazimika kutumia jina halisi sasa ili kutuondolea shaka. Tujitolee kuchangia chama ili kuikomboa nchi yetu. Hakuna mabadiliko yasiyokuwa na gharama. Viongozi wamekuwa wakijitolea muda, mali na hata uhai. Sasa na sisi tuwape moyo kwa kuonesha sapoti.
 
Jamani msikatishwe tamaa kama kweli mnania ya kutoa toeni tusaidie harakati same. Tatizo siokuingia leo ikumbukwe nikutokana na unyeti wa tukio tulimwomba katibu afungue a/c Jf ili wapenda maendeleo watusaidie katika harakati. KUMBUKENI MIM NELITUMA Thred nying kuhusu Same sasa ukiona katibu kajiunga Jf ujue kuna moto mkali same hapakaliki.
Da mkuu na wewe unachunguza, me nilishaanza kuingia kwenye akaunti yangu ya M - pesa....nimestisha kwanza.
 
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
Tupo pamoja mkuu,
Aluta kontinua,
Huu moto hauwezekani kuendelezwa Same mashariki na Mwanga?
 
Hii ndiyo kaz inayo endelea Same, msikatishwe tamaa ya kutoa sadaka zenu wala kurudi nyuma kumbukeni sh 1000 itasaidia hata robolita ya mafuta ya pikipiki kuifikia jamii ya wana same . Harakat hizi zinafanywa na vijana walio jitolea kama unavyo waona kwenye picha. Usikubali kukatishwa tamaa na mtu ambaye ni mchoyo wa kutoa au ana maslah na CCM. Tusirudi nyuma
Imekuwepo dhana potofu ya kudai kwamba Wilaya ya Same ni Kitovu cha CCM. napenda kuwa julisha Wa Tanzania kuwa kwa hali ya siasa ilivyo hivi Sasa Ukombozi wa Nchi yetu Utaanzia Same na hii nikutokana na wananchi kuichoka CCM. Uongozi wa CHADEMA Same Magharibi Umeandaa mpango mkakati wakuzunguka Tarafa, kata, vijiji, na vitongoji vyote ndani ya Jimbo katika kusambaza moto wa MOVEMENT FOR CHANGE Na Opereshen ya VUA GAMBA VAA GWANDA ambapo Mabalozi wa CCM wa nyumba 10 wata Vuagamba na kuvalishwa magwanda na wale Wa Chadema waliochaguliwa Watasimikwa Rasmi. Ukombozi ni leo ukiwa mwanaharakati, mwanachama, mpenzi, mkereketwa, mpenda maendeleo popote pae ulipo duniani unaombwa kuchangia compaign hii Kupitia Account ya CHADEMA a/c namba 405660022 NMB. Jina la a/c ni CHADEMA JIMBO LA SAME MAGHARIBI. au kupitia Mpesa 0755720951 au Tigo Pesa 0715720951 . Imetolewa na Katibu wa CHADEMA JIMBO ndugu MUDY MNANDI. Fedha zote zitatumika ku Print Bendera na kugharimia mikutano itakayofanyika Email mudymnandi@gmail.com
 
Attachments

  • Msafara to nkwini.jpg
    Msafara to nkwini.jpg
    3.5 KB · Views: 180
  • 421076_305172079550206_100001722487463_838611_1740547741_n.jpg
    421076_305172079550206_100001722487463_838611_1740547741_n.jpg
    2.7 KB · Views: 172
Pamoja Makamanda
Makamanda msiifanye migumu mioyo yenu! Linapokuja suala la kuchangia pesa basi kila mtu anaibuka na vijisababu vyepesi hata baada ya kuhakikishiwa uhalali wa zoezi zima. kama mtu huna mpango nashauri usiwe kikwazo kwa wengine, otherwise tujue wewe ni GAMBA ORIGINALI. viva cdm, hongereni Mudy, James na viongozi wengine hapo Same. M4C noma. nitatuma Tgo pesa
 
Picha alizo Atach Kamanda Simon James ni matukio machache tu ambayo tuliyafanya Kata ya Makanya Kijiji cha Makanya na Kitongoji cha Nkwini. Yapo matukio mengine tuliyofanya Ruvu jiungeni, Same mjini, Kirinjiko, mwembe, msindo na kisiwani. Tafadhali msikatishwe tamaa na watu wa2. Pamoja tukijenge Chama hasa kuanzia ngazi ya msingi
 
Tunahtaji vijana wenye mitazamo kama wewe philipo tutambue whapa wapo wenye nia ya ku kwamisha

Back
Top Bottom