Ukombozi wa nchi hii utaanzia wilaya ya same, mwenye masikio naasikie na kushuhudia haya

Hatimaye harakati za kujikomboa zinaingia Same. Watu wa Same wanahitaji sana elimu ya uraia kwani wengi bado wana mawazo yale yale ya chama kimoja. Haya nimeyatoa kutokana na utafiti wangu niliofanya wakati nilipokuwa nawahimiza umuhimu wa kupiga kura. Pamoja na kuwa na maisha magumu sana, wao bado hawakuona chama mbadala ambacho kingewaletea mabadiliko. Wamepewa imani potofu kuwa vyama vya upinzani vinaleta fujo. Nilipowauliza kuwa ni fujo zipi ambazo vyama vya upinzani vimeleta, hawakuweza kunipa mfano hata mmoja.

Nawatakia kila la heri kila la heri katika harakati za kuwakomboa watu wa Same, 'Wachina wa Afrika', kama Mwl. Nyerere alivyokua anawaita.
 
Makamanda watakao weza kujitolea Kushiriki Movement hii popote mlipo duniani Toeni Taarifa kwa Katibu wajimbo. Kumbukeni uwepo wenu unafaida kuliko mnavyo fikiri

Hatimaye Kesho John Heche m/kt Bavicha Taifa atakuwa na ZIARA YA siku 4. Kwa wale ambao hawakuamini utoaji wa michango ni wakatiwenu kuamini na kuacha majungu
 
Back
Top Bottom