m_kishuri
JF-Expert Member
- Jan 27, 2010
- 1,484
- 372
:a s 465:punguza kutoa tigo
:a s 465:punguza kutoa tigo
Ma Daktari bado wamegoma mimi nitakusaidia ni hiviNdugu madaktari leo nimejishangaa baada ya haja kubwa wakati najisafisha nimegundua kuna viuvimbe viwili kama majipu makubwa pembeni ya eneo hilo؛؛naomba madaktari mnishauri
Acha mzaa mkuu! Watu wanamatatizo we unaleta ufirauni wako hapa! Si lazima uchangie! Kilaza wew!punguza kutoa tigo
Acha mzaa mkuu! Watu wanamatatizo we unaleta ufirauni wako hapa! Si lazima uchangie! Kilaza wew!
kwa mujibu wa mzizi mkavu nayo ni moja ya causes hila cholo amehukumu moja kwa moja kwamba ya jamaa yetu labda ndio chanzo,cha msingi ebu tumuulize ni kweli anajihusisha na anal sex?
Ndugu madaktari leo nimejishangaa baada ya haja kubwa wakati najisafisha nimegundua kuna viuvimbe viwili kama majipu makubwa pembeni ya eneo hilo؛؛naomba madaktari mnishauri
punguza kutoa tigo
Sijuwi kama hayo majani ya Witch Hazel Leaf yanapatikana hapo bongo?witch hazel leaf inapatikana hapa bongo, hebu tujuzeni wajameni?
[SIZE=-1]
[SIZE=-2]Copyright, Mark Brand[/SIZE] |
kwanza "hemorrhoids" ama "piles" husababishwa zaidi na mtu anapotumia nguvu kupata haja kubwa (naomba mnisamehe kama lugha si nzuri), ina maana kama unapata choo kigumu, msukumo huwa mkubwa na kutokea mkwaruzo na kusababisha veins kuvimba. Kukosa choo (constipation), mimba na umri mkubwa pia husababisha hii kitu, hasa kuanzia miaka 50. Pia kuingiliwa kinyume na maumbile husababisha. Pia leo ndio nimejua hii kitu kiswahili inaitwa bawasir.
Kwa kungalia uvimbe uliko, ziko za aina mbili, zinazotokea nje ama chini ya ngozi ya sehemu ya haja kubwa, na kuna zinazotokea ndani ya sehemu ya haja kubwa.
Yaweza kutibika bila kufanyiwa upasuaji, muhimu ni kula vyakula vyenye kiasi kikubwa cha nyuzinyuzi (fiber). Pia kunywa maji mengi. Hii inasaidia kukifanya choo kiwe laini na hivyo kupunguza msuguano na pia kupunguza msukumo wakati wa kutoa haja kubwa. Pia inatakiwa unapojisikia tu haja kubwa ukajisaidie, sio kuahirisha nayo ina madhara makubwa. Kuna dawa unaweza pewa, siwezi kukutajia hapa, zinasaidia na kumaliza kabisa wakati fulani.
Ni ugonjwa unaotokea kwa jinsia zote.
Sana sana ukiona inawasha, huwa ni zile vimbe za nje, vimbe za ndani huwa hazina matatizo sana, kama muwasho. Lakini kwanini huwasha baada ya haja?, ni kwamba baada ya haja ile sehemu huwa imesuguliwa ama wakati unasukuma unachokoza zile vimbe katika veins.
Hii kitu inaweza kutokea, ikapotea kwa siku, wiki, miezi, mwaka, miaka na kurudi tena. Hivyo ni vizuri kubadili aina za vyakula na kula vyakula vyenye nyuzinyuzi kwa wingi, muhimu zaidi ni kunywa maji mengi iwezekanavyo.
Pia kupunguza vyakula vyenye pilipili na binzari (hot and spicy foods) inaweza kusaidia.
Muhimu: Ni vizuri kwenda hospitali ili upate kuchunguzwa zaidi.