Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
353
547
Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta wakianguka Bafuni. Ripoti iliyochapishwa katika Jarida la Chama cha Matibabu ya Canada(Journal of the Medical Association of Canada) inathibitisha kuwa hatari zilizotabiriwa hapo awali za kusababisha kiharusi au kiharusi kidogo kwa kweli ni hatari kubwa zaidi.

strokes-that-are-treatable-and-beatable.jpg

Kulingana na tafiti kadhaa ulimwenguni, visa vya kifo au kupooza/Kuzirai kutokana na kiharusi wakati wa kuoga vinazidi kuongezeka siku hadi siku. Kulingana na madaktari, mtu anapaswa kuoga Akizingatia Usalama wa Kuoga
Usipofata Sheria Sahihi, unaweza kufa wakati wa kuoga.

Usianzie Kuoga Kichwani na nywele kwanza kwa sababu mzunguko wa damu mwilini mwa binadamu uko kwenye joto fulani.
Joto la mwili wa binadamu huchukua muda kuadjustiwa na joto la nje. Kulingana na madaktari, kujimwagia maji kichwani kwanza huongeza kasi ya mzunguko wa damu, hatari ya kiharusi inaweza pia kuongezeka wakati huo.
Mapigo ya Moyo kupanda mno unaweza kusababisha kuvuja kwa mishipa ya ubongo.

Njia sahihi ya kuoga
Anza kwa kuosha miguu kwanza, kisha polepole osha mwili kuelekea juu. Mwishowe, unapaswa kumwagilia maji kichwani.
Njia hii inapaswa kufuatwa na wale wenye shinikizo la damu kubwa, cholesterol kubwa, na kichwa kuuma.

Source:
JOURNAL
Medical Association of Canada
 
View attachment 2933242

vip kuhusu mvua??
 
Habari,
Naomba link ya hiyo journal/ripoti.
 
Back
Top Bottom