The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
Kuna habari mawakili wa Serikari na Tanesco walilipwa kabla ya kwenda kwenye kesi si chini ya Milion 800. Pia kuna makubaliano yaliwekwa kabla ya kesi kuanza kusikilizwa na walikubaliana hakuna kukata rufaaa baada ya hukumu.

Sasa kama haya yanafanyika ni kwamba JK hajuiiiiiii? au kauli ya mwanaseria wa serikali ndio msimamo wa JK? .... amakweli Tanzania ialiwa na wenye meno

kama pese hii italipwa nadhani Sita ndio wakati wa kutoka nani ya Serikali na CCM kwani asipofanya hivyo ndio mwisho wake> Nawaopmba wapenda Tanzania wote watoke ndani ya CCM na wajiunge na vyama vilivyopo ili tuikomboe Tanzania, Tanzania ni yetu si ya CCM na kundi laJK
 
Inasemekana pia hata hao majaji wa ICC ambao hukusanywa tu kutoka sehemu mbalimbali, wana 'cut' yao kubwa tu.
 
Mpaka sasa najiuliza kwanini Kikwete yuko kimya?? Mabillion ya Shilling kodi za wananchi zinaondoka yupo amkaaaa tu bila hata kuongea chochote.

Watu wanapata mgao kwa mwezi mzima billion 185 zinaondoka kwa kuzungukia mifuko ya watu yeye kimya, serikali haikati rufaa yeye kimya, why this kikwete ????? why this kikwete??? do you want to build paradase abroad?????
 
confidence ya kuongea itatoka wapi mkuu?anajua zaidi ya 50% ya wananchi wake hawamkubali so confidence ya kuongelea maswala yanayo kwaza wananchi haipo.vile vile yawezekana anafaidika na anaridhishwa na yanayotendeka
 
Mpaka sasa najiuliza kwanini Kikwete yuko kimya?? Mabillion ya Shilling kodi za wananchi zinaondoka yupo amkaaaa tu bila hata kuongea chochote.

Watu wanapata mgao kwa mwezi mzima billion 185 zinaondoka kwa kuzungukia mifuko ya watu yeye kimya, serikali haikati rufaa yeye kimya, why this kikwete ????? why this kikwete??? do you want to build paradase abroad?????

Hawezi kuzungumza chochote coz naye ni mdau wa hili dili.Anahofia akiongea ataharibu mpango mzima.
 
GreAtThikners,

Kikwete yuko kimywa kwa sababu:

Baraza la Mawaziri halipo chini yake, kwani hata yeye ni waziri wa mambo ya nje. kwani hamfahamu??

Zaidi ya 70% hawakumchagua ktk uchaguzi uliopita, hivyo anatawala kwa mababu kama GBAGBO

Hana jipya zaidi ya kuuza sura iliyokongoroka
 
kwanini anataka watanzania waumie?
 
haya maswali nayachukia kweli.

sasa hili swali gani?

2005 nilimnyima kura. 2010 nikamnyima kura.

sasa unataka nikujibu nini?
 
GreAtThikners,

Kikwete yuko kimywa kwa sababu:

Baraza la Mawaziri halipo chini yake, kwani hata yeye ni waziri wa mambo ya nje. kwani hamfahamu??

Zaidi ya 70% hawakumchagua ktk uchaguzi uliopita, hivyo anatawala kwa mababu kama GBAGBO

Hana jipya zaidi ya kuuza sura iliyokongoroka

mkuu Spencer lipo chini ya kiongozi yup? inamaaana zaidi ya kuchakachuliwa kura eti hata urais wake nao umechakachuliwa?........ mmmmh mm cmo!
 
Ataongea nini sasa? tokea wapinzani waliposusa hotuba yake pale bungeni sasa hivi imekua ni fasheni hata kwenye TV akionekana tu au kwenye redio akiongea watu wanabadilisha stesheni au wanaondoka mbele ya TV! Kazi kwelikweli kwa Mkwere!
 
naskia anatafuta wabaya wake JF.

baada ya krismas wote segerea.

hahaha!

rais wetu noma kweli. yaani ishu za mgao wa umeme na dowans anaona ni piriton anataka ku-deal na kina malaria sugu?
 
Anaa kimya kwa sababu anajua kwamba katika serikali inayofuata utawala wa sheria alipaswa kujiuzuru kwa sababu:

1. serikali yake kutumia madaraka yake vibaya na kusababisha hasara ya mabillion kama hizo Tanesco inazodaiwa..
2. kutotimiza wajibu wake kama katiba inavyomtaka ya kulinda Watanzania na mali zao na kinachosemwa na watu aliowaweka ni kushabikia kibata bata tu ili hali hajuai wanasema nini wakati wanaitwa Judges...

3. Anakaa kimya pia kwa sababu anajua kwamba alituahidi watanzania akiwa London mwaka 2008 kwamba mgao TANZANIA umekuwa historia kumbe ilikuwa ni namna moja ya kukwepa maswali ya watanzania wa London
 
Hana ujasiri wa kuongea kwa kuwa dhamira yake inamshitaki kwa wizi na uchakachuaji wa kura aliofanya hadi kutangazwa kuwa ndiye rais ilhali alishindwa vibaya.
 
Back
Top Bottom