The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

Kuna habari mawakili wa Serikari na Tanesco walilipwa kabla ya kwenda kwenye kesi si chini ya Milion 800. Pia kuna makubaliano yaliwekwa kabla ya kesi kuanza kusikilizwa na walikubaliana hakuna kukata rufaaa baada ya hukumu.

Sasa kama haya yanafanyika ni kwamba JK hajuiiiiiii? au kauli ya mwanaseria wa serikali ndio msimamo wa JK? .... amakweli Tanzania ialiwa na wenye meno

kama pese hii italipwa nadhani Sita ndio wakati wa kutoka nani ya Serikali na CCM kwani asipofanya hivyo ndio mwisho wake> Nawaopmba wapenda Tanzania wote watoke ndani ya CCM na wajiunge na vyama vilivyopo ili tuikomboe Tanzania, Tanzania ni yetu si ya CCM na kundi laJK
kwanu hujui kua anafungu lake nae
 
Back
Top Bottom