The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

haya maswali nayachukia kweli.

sasa hili swali gani?

2005 nilimnyima kura. 2010 nikamnyima kura.

sasa unataka nikujibu nini?

nauliza kwa sababu hii ni pychological technic ya serikali ya mkwere kutengeneza matatizo then anakuja na solution eti aonekane shujaa

Issue ya dowans imetengenezwz imeishakuwa public problem while not
Mkwere watu wengi hawakumchagua sasa anatafutia pa kutokea

Think about TAnesco why they are creating problems mgao wa mwezi kwa nchi nzima???
 
Labda amejiwekea "Kautaratibu kengine cha kukaa kimya mwisho wa mwezi". Unakumbuka kipindi chake cha kwanza - alijiwekea utaratibu wa kuongea na TV (sio na wananchi) mwisho wa mwezi. Hawezi kufuata katiba inasemaje ila anajiwekea utaratibu WAKE mwenyewe!!!
 
Don't expect white form charcoal! Let the man continues to be silent because he got nothing to say.
Cant you see action speaks more loud than words?
 
Mimi nahisi atakuwa yupo kwnye zile bembea za jamaica so haelewi/ hajui nini knaendelea kwenye inchi yake. By the way anaona aibu kujitokeza hadharani coz ha2jamchagua in short mwizi toka lini akajitokeza mbele za wa2? SHAME ON HIM!:embarrassed:
 
Tuna marais watatu tu kukaa kimy ni kwa sababu wansukumiana mpira nani aanze, Rais wa Kwanza Rostam A, Wapili E.L. Ngonyani wa Tatu ni JKM sasa mmoja nahusika moja kwa moja ambaye niye mtoa maamuzi No1 na bingwa wa kukwepa ushuru kwa kuwa dowans walikimbia na ela za TRA
 
Anachocha kuongea tena ?
Anatamani mkabidhi Dr Urais wake sasa!
kazi anayo
akae kimya
Ila kazi anayo !
 
Kwa nini kuzunguka mbali wakati ukweli unajulikana?! Leo wamefikia kusema kuwa Rostam Azizi ana power of Attorney ya Dowans. Pamoja na kukana kote kuwa hawausiki na wizi mkubwa sana uliowahi na unaoendelea kutokea Tanzania (huku watanzania wakikubali tu), marafiki watatu wanaomiliki kila kitu kinachoendelea Tanzania leo hii - Kikwete, Lowassa, Rostam - wameanza (finally) kukubali kuwa wanahusika.

Kikwete hawezi kuwakana tena marafiki zake wakubwa waliomsaidia kunyakua ikulu 2005. Heck, kuna picha ya Kikwete akimpigia kampeni Lowassa wakati wa uchaguzi. Anajaribu sana kujitenga nao ila inakuwa vigumu sana (maana ushirika wao una faida kuliko utengano wao).

Hayo mabilioni tutakayolipa kesho kwenda kwa Dowans. Yatafuata mkondo wake taratibu na kuishia kwa mapatna waliosalia - Kikwete na Lowassa.

JF - where we dare to talk openly
 
Thanks David. This of course is an open secret but people talk about it in whispers. It is not an accident that this judgement on Dowans (some coined it appropriately as NDOANO) came right after the elections.
How do you think they raised the shs 50 billion odd campaign money?:embarrassed:
 
Guys kwanza hongera kwa topic hii, asante kwa kuangalia nje ya box, maana watu wana-'zitophobia' tuseme' tulale tuamke JK anahusika kwa yote haya! haingii akilini kuwasema akina Rostam, vyombo vya habari havitaki kusema haya, wanasiasa wa upinzani hawataki kusema hili, tumtekenye na kumfinya JK ;richmond, dowans n.k yeye anahusika moja kwa moja, IPTL alikuwa yeye, mikataba mingi ya madini nchi hii ni yeye alipokuwa waziri wa nishati na madini....

Ukiona watu hawataki waseme hili, na watu hao ni vyombo vya habari hata vile tunavyoita heroes basi hujue safari ya ukombozi ni ngumu sana, hivi kati ya hawa tunaowaita wapinzani wakisema kuwa JK anahusika itakuwa -message sent hata kama atakaa jela ujumbe umefika!!!

ni yeye ni yeye ni yeye tu.. kila kitu ni RAIS ni fisadi ni mwizi na huyu ndiye wa kuanza naye, ukitaka kuua nyoka piga kichwa KWANZA, kwingine huku ni kujitaabisha

acha akilala akiamka ajue tunamsema yeye tu, atashtuka tu tukiwasema wengine tunampa relief!! he is not clean
 
Thanks David. This of course is an open secret but people talk about it in whispers. It is not an accident that this judgement on Dowans (some coined it appropriately as NDOANO) came right after the elections.
How do you think they raised the shs 50 billion odd campaign money?:embarrassed:

Mkuu, hata hapa JF, Kikwete haguswi. Kuna mod kazi yake ni kupitia topic zote zinazomgusa Kikwete. Akiona zinamchora vibaya: basi anaziunganisha na zingine (za mwaka 2007), anazifuta, au anazihamisha kwenda jukwaa lingine. Ngoja tuone hii topic itakaa hapa kwa muda gani kabla haijahamishwa.
 
Wanaohusika mbona walitajwa kwenye ripoti ya Mwakyembe bungeni?

Kamati ya bunge (kina zitto) pia imewataja wahusika wa mchezo huo?

Haya mambo ya richmond/doawns mbona serkali inaamua kuzungusha ili tusijadili mambo mengine nyeti? au?
 
Kwani kuna ubishi kuhusu kuhusika kwa JK? Ndiyo kwanza nasikia kuna watu wana wasiwasi na hilo
 
Issue ya umeme kukatika nchi nzima miaka 49 baada ya uhuru ni issue nyeti sana. Unyeti wake unaongezeka maradufu kila mara watawala wetu wanavyotumia mgogoro (walioutengeneza wao) wa umeme kutuibia.

Au wewe waonaje?
 
Media karibu zote Tanzania zinamwekea Kikwete Shield kwenye hii issue. Mtu wa kubanwa hapa inabidi awe Kikwete. Inabidi Kikwete ajibu swali la nini, wapi, nani, kwa nini, kivipi, ilikuwaje na inakuwaje kuhusu Dowans.
 
Issue ya umeme kukatika nchi nzima miaka 49 baada ya uhuru ni issue nyeti sana. Unyeti wake unaongezeka maradufu kila mara watawala wetu wanavyotumia mgogoro (walioutengeneza wao) wa umeme kutuibia.

Au wewe waonaje?

Nafikiri tatizo la Tanesco lilikuwa la mkurugenzi mkuu (mtendaji mkuu) wa zamani...Idris Rashidi?

Vipi Tena tatizo la mkurugenzi mkuu William Mhando ligeuke kuwa JK?

Wakati alipokuwepo Idrisa lilikuwa la Idrisa? alipokuwepo William linageuka linakuwa la JK

Double standards at its highest...ndio yale yale mijadala inaishia kuwa ...ya kidini

Huyu William Mhando vipi? sisikie mkisema lolote...hodari sana mtu huyu au siyo?

Nyie bana mnaboa sana!
 
The buck stops kwa Kikwete, au unapinga hili pia?
 
Kwa nini kuzunguka mbali wakati ukweli unajulikana?! Leo wamefikia kusema kuwa Rostam Azizi ana power of Attorney ya Dowans. Pamoja na kukana kote kuwa hawausiki na wizi mkubwa sana uliowahi na unaoendelea kutokea Tanzania (huku watanzania wakikubali tu), marafiki watatu wanaomiliki kila kitu kinachoendelea Tanzania leo hii - Kikwete, Lowassa, Rostam - wameanza (finally) kukubali kuwa wanahusika.

Kikwete hawezi kuwakana tena marafiki zake wakubwa waliomsaidia kunyakua ikulu 2005. Heck, kuna picha ya Kikwete akimpigia kampeni Lowassa wakati wa uchaguzi. Anajaribu sana kujitenga nao ila inakuwa vigumu sana (maana ushirika wao una faida kuliko utengano wao).

Hayo mabilioni tutakayolipa kesho kwenda kwa Dowans. Yatafuata mkondo wake taratibu na kuishia kwa mapatna waliosalia - Kikwete na Lowassa.

JF - where we dare to talk openly

hapa sisemi ki2 maana sijui ki2
 
Nafikiri tatizo la Tanesco lilikuwa la mkurugenzi mkuu (mtendaji mkuu) wa zamani...Idris Rashidi?

Vipi Tena tatizo la mkurugenzi mkuu William Mhando ligeuke kuwa JK?

Wakati alipokuwepo Idrisa lilikuwa la Idrisa? alipokuwepo William linageuka linakuwa la JK

Double standards at its highest...ndio yale yale mijadala inaishia kuwa ...ya kidini

Huyu William Mhando vipi? sisikie mkisema lolote...hodari sana mtu huyu au siyo?

Nyie bana mnaboa sana!

Kaka I hate mwakyembe (uncle wangu FYI) , I hate sita, kilango wanafiki sana, na sikubaliani na Slaa kwa issue nyingi in CDM, mimi ni mkristo tena wa kutupwa, hawa watu siwachukuii kwa sababu yoyote ile bali politics! siyo udini mkuu...

nilikuwa sikujui vizuri, kama una ideas za kidini hapa siyo pake!!! umeshindwa. umeniharibia siku yangu, kumbe unampenda JK kwa sababu ya dini

Nimeku devalue na moja kwa moja unaingia kwenye ignore list yangu
 
Crapist how r U?
 
Pole sana sina cha kukusaidia, hata hivyo value yangu kwa mke wangu ni bora kuliko kwa mtu nisiyemfahamu?

Ni mawazo tu

nisingependa nikose kujadiliana na wewe kwasababu ya hii post moja lakini sina uwezo wa kukunyima fursa adhimu duniani ambayo nimepigania siku zote -uhuru

Simchukii JK wala simpendi JK...nina hoji tu..au siyo imekutouch lipi William vs Idrisa?

Tanesco inaongozwa na William Mhando sasa wakati ule wa Idrisa michango inaonyesha kuwa idrisa ndio problem If iam wrong sorry
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom