Rais Samia yuko angani 24/7

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,399
15,977
Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake?

Mwezi mzima huu hajatulia kbsa.

Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaa siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India.

Kisha akarejea Dsm hajakaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaa siku nne mfulilizo akifanya ziara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake.

Baada ya hapo aliunga safari kuelekea Tabora kuanzia igunga ,nzega had Tabora mjini sikumbuki alikaa huko muda gani.

Hajatulia akafika Dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akaitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaa karibu kabisa na zito pamoja na farther Charles kitima.

Hajakaa sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr.

Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaa pipa Tena juu kwa juu kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kuudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae.

Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi.

Sasa najiuuliza mimi Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo.

Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000.

Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli ?. kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni.

Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindikana huko kwingine.

Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa Igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na Rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas.

Kwa Sasa safarini kuelekea

Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
 
Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?

Mwezi mzima huu hajatulia kbsa

Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaha siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India

Kisha akarejea Dsm hakukaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaha siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake

Baada ya hapo aliunga safari kuelekea tabora kuanzia igunga ,nzega had tabora mjini sikumbuki alikah huko muda gani

Hajatulia akafika dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akahitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaha karibu kabsa na zito pamoja na farther Charles kitima

Hajakaha sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr

Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaha pipa Tena juu kwa juu kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae

Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi

Sasa najiuuliza mm Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo

Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000

Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli . kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni

Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindukana huko kwingine

Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas

Kwa Sasa safarini kuelekea

Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
hivi unajua siku hizi maofisini wanatumia ipads hawana makarabrasha.

unajua kuwa Rais anaishi ofisini, ikulu ni ofisini pale, hata usiku wa manane akiamua afanye kazi anafanya, wewe muda huo umelala nyumbani
 
Siyo Kweli mkuu Basi alale tu abane matumiz
 
Kwa hyo kutoa maoni yangu Hadi nijue kuandika

Tanzania Ina wajinga wengi Sana alisikika naibu waziri wa afya ndg Godwin mollel
Sasa kama hujui kuandika, na maoni yanatolewa kwa maandishi, ujumbe ulioukusudia utaufikishaje kwa hadhara uliyoikusudia?

Wa kupima akili wewe..!!
 
Rais Samia anapata wapi muda wa kufanya kazi na Nakupitia faili zilizo mezani kwake ,?mbona hatulii oficini kupitia taarifa mbalimbali zilizo letwa mezani kwake ?

Mwezi mzima huu hajatulia kbsa

Awali alisafiri kuelekea Qatar Doha na kuwepo huko kwa takribani siku tano Kisha akaunganisha safari juu kwa juu kwenda India kuchukuwa PhD yake huko alikaha siku tatu mfululizo pamoja na mawaziri Tisa achilia mbali maafisa wa serekeli wapatao 100 aliokuwa nao huko India

Kisha akarejea Dsm hakukaa sana akakimbilia manyara kuzima mwenge Kisha akaunganisha safari kwenda singida huko alikaha siku nne mfulilizo akifanya siara za hapa na pale Huku akiwalagai wapiga kura wake

Baada ya hapo aliunga safari kuelekea tabora kuanzia igunga ,nzega had tabora mjini sikumbuki alikah huko muda gani

Hajatulia akafika dodoma faster sana akafanya mkutano na watu wa stamico katika ukumbi wa jk Kisha siku iliyo fuata akahitisha Tena mkutano na watu Kuja kuhudhuria sherehe kubwa iliyo fana ya kuuziana bandari kimkakati hapo ikulu ya chamwino hat mm hiyo sherehe nilikuwepo nilikaha karibu kabsa na zito pamoja na farther Charles kitima

Hajakaha sawa huyoo akakimbia Arusha kwenda kuzindua mkutano mkubwa wa majaji kwa nchi sijui za sadc sikumbuki vzr

Baada ya kumaliza kuzindua mkutano wa majaji akakwaha pipa Tena juu kwa juu kulekeaa Zambia Kama mgeni rasm kudhuria sherehe za Uhuru za Zambia Kisha baadae ata hutubia bunge kubwa la zambia hapo baadae

Sijajuwa akifika Tanzania ataelekea wapi

Sasa najiuuliza mm Raia wa hapa namanyire nkasi ni saa ngapi rais anapata muda wa kufanya kazi mbna muda mwingi Kama siyo wote Yuko safarini na siara zizizo na tija Sana kihivyo

Je anajuwa Bei ya cement hapa namanyire Nkasi mfuko wa kilo 50 ni shiling 27k yaani 27000

Mbona bajeti yake Ni kubwa sana kuliko marais wote wa Africa kwa siara na safari zake hivi hajishtukii Kweli . kila taifa sasa hivi linabana matumizi na hili Ni kutokana na mdodoro mkubwa wa uchumi unazo zikumba nchi mbali mbali kote ulimwenguni

Ifike wakati sasa atulie tu huku kufungua nchi ndio upigaji unaanzia na mwisho kwenda kuwaleta waekezaji matapeli walio shindukana huko kwingine

Hata hvyo juzi tu kabla Samia hajatua Zambia aliye wahi kuwa mbunge wa igunga kupitia ccm ndugu Rostam Aziz ameonekana nchi Zambia akuzungumza na rais wa taifa hilo Hechiande hechilema akizungumza mambo ya uwekezaji akitaka kuwekeza billion 240 kwenye nishati kupitia kampuni yake ya taifa gas

Kwa Sasa safarini kuelekea

Mabibo jijin DSM
0758 34 34 45
RAIS NI TAASISI SIYO LAZIMA ASAINI YEYE NDIYO MAANA KUN A MAKAMU W/MKUU NA KATIBU MKUU KIONGOZI
 
Jamani Niulize jambo! mishahara ya watumishi wa UMMA mwezi October 2023 wameshalipwa ?
Au hana Habari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom