monge
Member
- Apr 10, 2010
- 30
- 0
Bwan wee ukweli ndiyo huo,watu wote wanafahamu na hata wapinzani walishasema hadi wakachoka.Sisi wabongo ndiyo wajinga ,ukifika uchaguzi tunairudisha tena ccm. haya mambo yatashughuliwa vizuri ccm ikiwa nje ya madaraka na siyo vinginevyo.tukiendelea kuwaweka ccm madarakani basi tunatakiwa tunyamaze kimya hata hii jamii forum inatakiwa ifungwe kuandika humu ndani na kushambuliana kusikoisha hakuwezi kutuondolea kero zetu jamani.
Kama tuna ujasiri basi tuweni wavumilivu na uchaguzi wa 2015 ukifika tuwaondoe ccm madarakani ndipo tuanze kuondoa kero zinazotukabili ,vinginevyo tutaendelea kushabikiana pasipo
na faida kwa yeyote.
Kama tuna ujasiri basi tuweni wavumilivu na uchaguzi wa 2015 ukifika tuwaondoe ccm madarakani ndipo tuanze kuondoa kero zinazotukabili ,vinginevyo tutaendelea kushabikiana pasipo
na faida kwa yeyote.