Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

hakuna madhara yeyote utakayopata kwa bailogia ndogo ninayoifahamu zile sperm iwe mwanamke au mwanaume zikiwa nyingi huwa zinageuzwa zinaingizwa kwenye mfumo wa chakula.....ila ndugu yangu ukikaa mda mrefu kama ni mwanamme siku ukikamata kazi patakuwa hapatoshi na kama ni mwanamke huyo mwanaume kazi atakuwa nayo
 
Yapo sana, usiposhiriki sana muda mrefu kwa wanaume mali zao zinaweza kuisha kabisa ni sawa na zamani binadamu walikuwa na mikia na kwasababu walikuwa hawaitumii mikia yao ikapotea. Kwa wanawake kunaziba kabisa.
 
sijaelewa swali lako mwali
Swali langu ni hili: Madhara ya kuto shiriki tendo la ndoa kwa mwanaume na mwanamke ambao wapo ndani ya ndoa au kwa mwanaume na mwanamke wowote, hata mabachelors?
 
swali langu ni hili: Madhara ya kuto shiriki tendo la ndoa kwa mwanaume na mwanamke ambao wapo ndani ya ndoa au kwa mwanaume na mwanamke wowote, hata mabachelors?
kwa binadamu kwa ujumla mpendwa
 
maana nilitaka kusema kutoshiiriki tendo la ndoa kuna weza kusababisha ndoa yenyewe kuvunjika, ila sasa naona haya husiki...
Haya, na mimi nakaa kando tayari kwa kusoma maoni. Interresting topic
ila mwali wewe si bado?
 
Tumsubiri Dr atueleze kitaalamu! Ila sijui ule msemo wa ''practice makes perfect'' kama hapa unatumika
 
mimi miaka 3 tu sema kuna watu wanasema nitapata matatizo eti

kama una matatizo katika mifumo yako ya mwili ni halali lakini kama huna matatizo, kwa wanaume kila siku utaota na utakuwa ukichafua chupi/pensi zako sambamba na mashuka. Kujamiana is a BIOLOGICAL NECESSITY, ndo maana hata wanyama na wadudu tendo hili haliwapiti, wanalithamini sana.

Ttaizo kwa wanadamu, wanageuza kuwa anasa, lakini kwa habari ya maendeleo ya mtu kiakili, kiafya na kimwili pia. Kuna psychologist aliwahi kusema "SUPPORTIVE INTIMACY RELATIONSHIP, IS THE BASIS FOR THE DEVELOPMENT OF MANKIND...".

Tatizo akina dada wameligeuza tendo la ndoa kama bidahaa na hivyo kuharibu umhimu wake na hivyo kuligeuza kuwa exploitaion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom