Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

mwanamke wangu yupo chuo,akiwa anataraji kufanya test au mitihani huwa anataka nimgegede kwanza ndo ana'perfom well akiwa kwenye chumba cha mtihani kuliko akiingia bila kugegedwa,sijui kuna mwenye uzoefu na hili atujuze pia.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
A HEALTHY sex drive will leave you peaking in more ways than one.
A survey by the American Association Of Retired Persons reveals:

People who have a lot of nookie experience health benefits which can leave them in much better physical form than those who don’t.

Sex can help fight flab, ward off colds and make you live longer.

Jennifer Bass, of sex research centre The Kinsey Institute, says: “There is definitely a correlation between health and sex. If you are healthier, you are going to have more sex.

“Making love provides a cardiovascular workout and floods the body with feel-good chemicals.”

Here JANE SYMONS shows how a little – or even quite a lot – of what you fancy does you good.

Feb 09, 2014

nina miaka 27 tangu kuzaliwa sijafanya tendo la ndoa na ninajisikia mwenye furaha sana kila siku.
 
Mimi nimesoma seminari moja ya RC lakin nlishindwa maana kibailijia sio rahisi kukaa mpaka umri huo bila kufanya ngono unless una matatzo...

aisee, hiyo ni hari halisi hyo sehemu sijaigusa na nimeona watu wanaandika vitu vya kusikia 2. Hayo matatizo ni uongo mtupu.
 
aisee, hiyo ni hari halisi hyo sehemu sijaigusa na nimeona watu wanaandika vitu vya kusikia 2. Hayo matatizo ni uongo mtupu.

a level nimesoma milambo everythng was ok. Japo kuna wakati unaweza ukataman uzuri wa mwanamke. Kikubwa ndg ni malengo yako unafanya ngono ili iweje?
 
a level nimesoma milambo everythng was ok. Japo kuna wakati unaweza ukataman uzuri wa mwanamke. Kikubwa ndg ni malengo yako unafanya ngono ili iweje?

nataman hata nisioe kwa sababu wanawake wote ninnaotokea kuwa nao karibu huwa nagundua siyo mabikira na malengo yangu ni kuoa bikira kama nilivyo mm.
 
nataman hata nisioe kwa sababu wanawake wote ninnaotokea kuwa nao karibu huwa nagundua siyo mabikira na malengo yangu ni kuoa bikira kama nilivyo mm.

Ebu acha zako....sasa unagundua vipi kuwa si mabikra wakat hujawahi kufanya ngono...? Na bikra utaitoa vipi...
 
  • Thanks
Reactions: ssl
Ebu acha zako....sasa unagundua vipi kuwa si mabikra wakat hujawahi kufanya ngono...? Na bikra utaitoa vipi...

katika mazungumzo huwa wanajisahau, siku nikikutana namwanamke anayejua kprtend ndo apo japo siyo rahsi kuvuka mitego yangu yote.
 
Hakuna madhara yoyote mtu asiposex mda mrefu au kutosex kabisa. ni upotoshaji tu unafanywa au kusemwa kwa makusudi ya kuwaharibu vijana. epuka ngono ishi salama kwa upendo na aman. kama unaweza baki bikira milele na siku zako za kuishi duniani zitaongezeka na furaha yako itakuwa maradufu
 
Unaweza pia ukakaa mda mrefu bila kufanya na usiathirike pia, mwili una namna yake ya kujisafisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom