Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

Je haya matatizo hayawakumbi wanaume wanao sex na wanawake wengi au wa kila aina?

Fidel,
Fibroid haziwezikuwapata wanaume hahahah usihofu.
Wanaume with multiple sex partners with no condom wana hatari kubwa zaidi - UKIMWI baba... na pia ndiyo chanzo cha kuokota HPV na kuwaambukiwa wadada wenye multiple partners wanaoenda pekupeku!
 
One theory of causality: Prostoglandin, a hormone found only in semen, may be absorbed in the female genital tract, thus modulating female hormones.

KONDOM ZINAZUIA HII, HATA FEELING YA UPENDO HUCHUKUA MIAKA KUWA NAYO! DU KUMBE NDO MAANA TUNAONANA WA KAWAIDA SANA NA MPENZI WANGU...UKIMWI UMETULETEA MAMBO!
 
Fidel,
Fibroid haziwezikuwapata wanaume hahahah usihofu.
Wanaume with multiple sex partners with no condom wana hatari kubwa zaidi - UKIMWI baba... na pia ndiyo chanzo cha kuokota HPV na kuwaambukiwa wadada wenye multiple partners wanaoenda pekupeku!

...WoS kuna thread moja kule kwenye 'mganga wa JF' ulidokeza kuhusu Herpes,...ile thread ilinitoa raha si mchezo hasa ukizingatia;

There is currently no cure for herpes;

halafu mbaya zaidi virusi hivyo vinakwenda kuweka makazi 'dormant' kwenye mishipa ya fahamu mpaka hapo vitapohitajika umri unapokuwa unaeleka kwenye fainali!

Watu wengi hawajui tu, lakini wengi wetu tushaambukizwa hivi virusi, na ipo siku vitakuja ku mutate na kuzusha vifo vingi kuliko UKIMWI!
 
...WoS kuna thread moja kule kwenye 'mganga wa JF' ulidokeza kuhusu Herpes,...ile thread ilinitoa raha si mchezo hasa ukizingatia;

halafu mbaya zaidi virusi hivyo vinakwenda kuweka makazi 'dormant' kwenye mishipa ya fahamu mpaka hapo vitapohitajika umri unapokuwa unaeleka kwenye fainali!

Watu wengi hawajui, lakini wengi wetu tushaambukizwa hivi virusi, na ipo siku vitakuja ku mutate na kuzusha vifo vingi kuliko UKIMWI!

kweli kabisa Mbu
Tena herpies ni mbaya sana maana kama UKIMWI haina tiba....inaerupt..malengelenge na vidonda vinatokea na kupona vyenyewe lakini kama ulivyosema virus vinaenda kujificha tena.
Tena waambie wenye mchezo wa kuzamia ...... wanaweza kupata ile ya mdomoni..... utaona mtu ana malengelenge mdomoni ..anafikiri ni shauri ya homa kumbe....shauri yao!
 
ukisema vinatoa malengelenge tu mdomoni unadhani watatishika? hawa waambie Dementia, parkinson Disease, etc labda ndio wataelewa, ughaibuni vizee vya kidhungu vinapelekwa care home, maana familia wamewashindwa, sie sijui tutaishia mabarabarani au mirembe?

Hebu fafanua WoS madhara yake uzeeni, sijui kwa kiswahili hayo magonjwa...
 
kweli kabisa Mbu
Tena herpies ni mbaya sana maana kama UKIMWI haina tiba....inaerupt..malengelenge na vidonda vinatokea na kupona vyenyewe lakini kama ulivyosema virus vinaenda kujificha tena.
Tena waambie wenye mchezo wa kuzamia ...... wanaweza kupata ile ya mdomoni..... utaona mtu ana malengelenge mdomoni ..anafikiri ni shauri ya homa kumbe....shauri yao!
nyie madaktari wa JF shindweni na idea zenu....

...herpes inatokana na nini?
 
FAIDA SEX KWA AFYA YA MWILI
Huimarisha immune system kwenye mwili.
Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango kikubwa cha antibody zinazosaidia kupigana na magonjwa.

Huongeza umri wa kuishi.
Wanaume ambao walikuwa wanafika kileleni (orgasm) zaidi ya miaka 10 wali- boost uwezo wa kuishi miaka zaidi kuliko wale ambao walikuwa na hawafiki kileleni.

Hupunguza uwezokano wa kupata prostate cancer.
Wanaume ambao wali ejaculate zaidi ya miaka 35 walikuwa na asilimia 33 pungufu kupata prostate cancer.

Hupunguza cholesterol (mafuta)
Kutokana na zoezi la kufanya mapenzi (sex) ni zoezi tosha kuweza kupunguza cholesterol na kuondokana na kupata magonjwa ya moyo.

Huimarisha mzunguko wa damu mwilini
Tunapofanya mapenzi mapigo ya moyo huongezeka na mzunguko wa damu huwa na speed zaidi na damu huongezekana maradufu kwenye ubongo na sehemu zingine za mwili na matokeo ni mzunguko wa damu kuwa mzuri mwili mzima.

Huongeza uwezo wa kukua (growth)
Watafiti wengi wanakiri kwamba sex huongeza uwezekano wa mifupa kukua na kuimarisha repair ya tishu kwenye mwili.

Huimarisha uwezo wa kunusa
Baada ya sex, kuzalishwa kwa homoni ya prolactin huongezeka na huwezesha stem cells zilizopo kwenye ubongo kuzalisha neurons ambazo husaidia kunusa vizuri.

Hupunguza maumivu (pain relief)
Unapokaribia kufika kileleni kiwango cha homoni za oxytocin huongezeka mara tano zaidi kuliko kiwango cha kawaida, matokeo ni kutolewa kwa endorphins ambayo hupunguza maumivu ya kila kitu kuanzia kichwa, arthritis nk.

Huimarisha kibofu cha mkojo
Wakati wa sex unatumia muscles zile zile unatumia kukojoa (urine), kutumia mara kwa mara kwa hii misuli huwezesha kuwa na uwezo wa kuthibiti kibofu cha mkojo.

Huimarisha uke
Wanawake ambao huamua kutoshiriki sex wanakuwa na uwezekano wa kujisikia maumivu wakati wa sex (vaginal atrophy) kwa kushiriki mara kwa mara uke huwa mwepesi kutoa lubricant na hakuna maumivu.
Hapa kuna kanuni “use it or lose it!

Husaidia healing ya vidonda
Baadhi ya evidence zinapendekeza kwamba sex huweza kusaidia vidonda kupona haraka, ushahidi ni kwamba homoni za oxytocin husaidia vidonda kupona kwa regeneration ya seli mwilini na oxytocin huzalisha pale ukishiriki sex.

Hupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.
Wanawake ambao hawajawahi kuzaa walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya matiti, hii ina maana kwamba kujihusisha na sex hupunguza kupata cancer ya matiti.
 
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA AKILI

Hupunguza stress
Sex huweza kupunguza stress kwa kupunguza kiwango cha masumbuko (anxiety) na kuongeza relaxation na kusaidia kuwa na usingizi mzuri.

Hupambana na depression
Wanawake ambao walijihusisha na sex kwa kuwa contact na semen walikuwa less depressed kuliko wale wambao hawakufanya.

Hupambana na kuthibiti alama za kuzeeka
Sex hufanya mtu kuonekana kijana zaidi.
Katika utafiti mmoja watu ambao walishiriki sex zaidi ya mara 3 kwa wiki walionekana ni vijana zaidi ya miaka 10 pungufu ukilinganisha na wale ambao walikwepa sex.

Huimairsha kujisikia upo fit
Dakika 30 za kufanya mapenzi huweza kuchoma kiasi cha 150 calories.
Na mtu anayeshiriki sex kila mara 3 kwa wiki huweza kupunguza kilo 2.5 za uzito kwa mwaka. Pia sex huweza kunyumbua misuli na kupelekea mtu kuwa fit, pia hekaheka za milalo mbalimbali huweza kufanya contractions ya mapaja, mikono, mabega, shingo, tumbo, kifua, mgongo, ******, miguu, kiuno na pia sex huzalisha testosterone ambayo huimarisha mifupa na misuli.

Husaidia nywele kung’aa na ngozi kuwa imara
Sex huongeza kiwango cha estrogen ambayo husaidia nywele kung’aa na ngozi kuwa imara kwa mwanamke.

Husaidia meno kuwa imara
Mara nyingi kabla ya sex wahusika hujitahidi kusafisha meno (brushing) kwa njia hii una kuwa imeimarisha afya ya kinywa.
Pia wakati wa sex hasa maandalizi huhusisha kissing ambayo hufanya kazi nzuri kusafisha meno na fizi.
Seminal plasma zinazozalishwa huwa na zinc, calcium na madini mengine muhimu kwa afya ya meno.

FAIDA YA SEX KWA AFYA YA UZAZI
Husaidia kuwa na mzunguko mzuri za siku za mwanamke.
Wanawake ambao hujihusisha na sex angalau siku moja kwa wiki huwa na mzunguko wa siku uliosawa tofauti na wale ambao hutoa visingizio.

Huimarisha fertility
Kwa kuwa kushiriki sex hufanya mzunguko kuwa regular inakuwa rahisi mwanamke kushika mimba na kuzaa tofauti na mwanamke akiwa na mzunguko wa siku ambao ni irregular.
 
TAHADHARI:
Hii mada ni kwa ajili ya kupeana habari tu (ndiyo maana hakuna reference links, ingawa unaweza mwenyewe ku- Google),
Jambo la msingi ni kwamba kuna umuhimu wa hali ya juu sana kuzingatia kwamba hapa tunazungumzia sex katika ndoa tu na si zaidi ya hapo.
Pia ni muhimu kuzingatia kwamba ili kushiriki sex ni muhimu kuangalia afya ya mwenzi wako, maadili na kutii sheria na amri za Mungu otherwise badala ya sex kukupa afya inaweza kukuua kimwili na kiroho.

Upendo daima!
 
P- didy can you tell me how does sex increase growth... mechanisms behind with my medical knowledge mi naona ni uongo ?? as i know katika ukuaji wa mtoto kuna age twaita rapid growth ... wataka kuniambia yule mtoto akishiriki tendo ukuaji wake utakua two times more -

Unajua kwamba during sex mifupa na mwili unavyochoka ni sawa na kubeba mzigo wenye uzito two times your body weight ? wajua kwamba during sex core temperature rises, heart races, blood pressure skyrockets, espiration becomes rapid and shallow, the brain fires bursts of electrical impulses from nowhere to nowhere, and secretions spit out of every gland, and the muscles tense and spasm like you're lifting three times your body weight.

Faida ya sex "tendo la ndoa " ni moja tu- kuendeleza kizazi... thats my own opinion and my bottom line.
 
The Importance of Sexual Health .Sexuality is an integral part of being human. Love, affection, and sexual intimacy contribute to healthy relationships and individual well-being. But along with the positive aspects of our human sexuality, there also are illnesses, mixed emotions and unintended consequences that can affect our sexual health. An open discussion of sexuality issues is important to promoting sexual health and responsibility. More attention has been placed on sexual health since the World Health Organization (WHO) issued the following statement more than 25 years ago. WHO declared: "There exist fundamental rights for the individual, including …freedom from organic disorders, diseases and deficiencies that interfere with sexual and reproductive function."
However, challenges to achieving this vision remain. In many cases, the underlying causes of sexual disorders continue to be poorly understood, and, often, few treatment options are available. The unwillingness of individuals to discuss their sexual problems may be the greatest barrier to achieving the WHO's vision of sexual health and to promoting responsible sexual behavior. It is important to address your sexual health issues with your health care provider and partner.
[h=3]What is meant by "sexual health"?[/h]Sexual health refers to the many factors that impact sexual function and reproduction. These include a variety of physical, mental, and emotional factors. Disorders that affect any of these factors can impact a person's physical and emotional health, as well as his or her relationships and self-image.
[h=3]What are the issues that affect sexual health?[/h][h=5]Common sexual health disorders include:[/h]
  • Reproductive system disorders, including cancer
  • Infertility problems
  • Gynecologic problems, including endometriosis, pelvic inflammatory disease, and premenstrual syndrome
  • Urinary system problems, including incontinence and urinary tract infections
  • Sexually transmitted diseases
  • Sexual dysfunction, including erectile dysfunction (ED), painful intercourse, and loss of sexual desire
[h=5]Other sexual health issues include:[/h]
  • Concerns regarding "normal" or acceptable sexual behavior and lifestyles
  • Birth control
  • Teen sex. KWA UJUMLA SEX KWA UJUMLA HILI NI MOJAWAPO YA ZOEZI KAMA GYM ILIVYO ,NA NI MUHIMU SANA WATU WAKJUA UMUHIMU HUO.ILA NI VIZURI UMRI AMBAO UNATAKIWA KWA WATU WAZIMA WAILIOKWISHA OA AU WENYE WAPENZI WANAOTHIBIKA BAADA YA KUPIMA AFYA ZETU.WAZAZI WANATAKIWA KUWA WASHAURI KWA VIJANA ILI HILI LIWE KAMA SOMO ILI KUTOPOTOSHA MAANA YA TAFSIRI YA HUDUMU YA ZOEZI KWA AFYA YA MWILI NA JAMBO LA KUFANYIA MAZOEZI.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom