Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
JF kuna kila kitu, wanaokosa vitu kama hivi wamependa kuvikosa wenyewe. Asante Dr kwa mada murua.
Ushauri wako ni Mzuri tu kwa wale wenye Ndoa sio wale Wazinifu leo ana mpenzi huyu kesho yake ana mwengine kwa wale wenye wapenzi wengi wafanyao zinaa hii haitowasaidia kitu chochote kile asanteni.TAHADHARI:
Hii mada ni kwa ajili ya kupeana habari tu (ndiyo maana hakuna reference links, ingawa unaweza mwenyewe ku- Google),
Jambo la msingi ni kwamba kuna umuhimu wa hali ya juu sana kuzingatia kwamba hapa tunazungumzia sex katika ndoa tu na si zaidi ya hapo.
Pia ni muhimu kuzingatia kwamba ili kushiriki sex ni muhimu kuangalia afya ya mwenzi wako, maadili na kutii sheria na amri za Mungu otherwise badala ya sex kukupa afya inaweza kukuua kimwili na kiroho.
Upendo daima!
P- didy can you tell me how does sex increase growth... mechanisms behind with my medical knowledge mi naona ni uongo ?? as i know katika ukuaji wa mtoto kuna age twaita rapid growth ... wataka kuniambia yule mtoto akishiriki tendo ukuaji wake utakua two times more -
Unajua kwamba during sex mifupa na mwili unavyochoka ni sawa na kubeba mzigo wenye uzito two times your body weight ? wajua kwamba during sex core temperature rises, heart races, blood pressure skyrockets, espiration becomes rapid and shallow, the brain fires bursts of electrical impulses from nowhere to nowhere, and secretions spit out of every gland, and the muscles tense and spasm like you're lifting three times your body weight.
Faida ya sex "tendo la ndoa " ni moja tu- kuendeleza kizazi... thats my own opinion and my bottom line.
Ahsante Mkulu wacha wenye ndoa zao wafaidi siye ambao bado mmmm tunapita tuuuu