Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

Nilianza kupunguza speed kwa kwenda mara mbili kwa wiki. Baada ya somo hili, nitarejea kwenye ratiba yangu ile ile ya mara nne kwa wiki. Asante mkuu.
 
kuna mtu amenishauri ili maleria itoke vizuri mwilini ni vizuri kufanya tendo la ndoa, maleria inaondoka faster
 
MMH! KAMA UMENIONA VILE???? NILISHAACHA MUDA MREFU KUFANYA TENDO HILO, NDIO MAANA NAJISIKIA HOVYO HOVYO TUUUUU. ASANTE KWA USHAURI, ITABIDI NIANZE. KAMA DAWA LAKINI:poa
 
Swadakta mule mule ni kweli kabisa.
Wenye kuumwa vichwa visivyokuwa na sababu huduma hii huwaponyesha kabisa mwaka 1996 niliwajulisha akina dada fulani na baada ya libeneke walinishukuru sana nimejuaje hiyo dawa. inasaidia....
 
HAYA je kama mtu AKIJICHUWA...! I mean MASTERBATION atapata same advantage???
Ukipiga Punyeto hupati kitu Mkuu.
Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na haya ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi ya zinaa.

Tathmini mojawapo


Kufanya hivyo ni kupotosha maana ya jinsia kwa binadamu, ambayo ni kufanya wawili wawe kitu kimoja kwa nguvu ya upendo ambao uanze rohoni na kukamilika katika muungano wa miili yao.
Upendo maana yake ni kujitoa kwa muungano na mpenzi unaoleta tunda lake katika mtoto, ambaye ni kwa pamoja wa baba na wa mama, akiwaunganisha upya ndani mwake.

Katika tendo la kujichua hakuna lolote kati ya hayo: hakuna upendo wala kujitoa kwa wengine, hakuna muungano wala uzazi, isipokuwa kujitafutia iwezekanavyo furaha ya kimwili (ashiki) iliyokusudiwa naMungu kuwa sehemu ya furaha nzima ya muungano wa ndoa.
Katika tendo hilo la ubinafsi mtu yuko peke yake na kubaki peke yake: halengi chochote nje ya mwili wake, hivyo anazidi kuzama ndani mwake

badala ya kustawi kwa kujiwekea malengo mema (k.mf.ndoa, haki, huduma kwa wenye shida, utume n.k.). Matokeo yake ni kupoteza nguvu za mwili na hasa kuvuruga msimamo wa nafsi kwa kujisikia mnyonge, mwenye kosa na mtumwa wa tendo ambalo analikinai mara tu baada ya kulitenda. Hatimaye anaweza kupata matatizo katika tendo la ndoa.

Kwa msingi huo Kanisa Katoliki linahesabu punyeto kuwa dhambi kubwa, tena upande mmoja ni kubwa kuliko uasherati (kuzini kati ya msichana na mvulana), kwa sababu linakwenda kinyume chamaumbile na kuandaa njia kwa dhambi nyingine (k.mf. ushoga).
Hata hivyo elimunafsia inatueleza pia urahisi kwa mtu asiyekomaa kimapendo kufuata njia hiyo danganyifu, tena ngumu kuachwa baada ya kuzoeleka.

Ndiyo sababu Kanisa linamhimiza padri kupokea kwa huruma wenye tatizo hilo na kuwasaidia mashauri ya kibinadamu pia kuhusu afya ya mwili na ya nafsi. Kwa mfano: kunyosha viungo kwa kazi za mikono au kwa michezo, kulalia pagumu tena si kifudifudi, kukwepa vinywaji vinavyochochea neva (kahawa, chai n.k.), kushirikiana zaidi na watu, kusaidia wenye shida. Upande wa roho awashauri kufuata vizuri dini. Awatumainishe wanaweza kushinda, kwa hiyo wasikate tamaa wala wasiogope mno

Punyeto imekatazwa na dini zote mbili kwa Waislam na Wakristo. Usipige Punyeto MASTERBATION Tafadhali.
 
Siyajui ila LAZIMA yatakuwepo... Unaongea kati ya mume na mke au tendo tu jumla jumla?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom