Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,143
- 56,602
hahaha.ku do siyo chakula bwana kwamba nisipokula nitadhurika.mmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!! Cheki vizuri labda kumeziba.
hahaha.ku do siyo chakula bwana kwamba nisipokula nitadhurika.mmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!! Cheki vizuri labda kumeziba.
kumbe tendo la ndoa sio anasa eeeh?kama una matatizo katika mifumo yako ya mwili ni halali lakini kama huna matatizo, kwa wanaume kila siku utaota na utakuwa ukichafua chupi/pensi zako sambamba na mashuka. Kujamiana is a biological necessity, ndo maana hata wanyama na wadudu tendo hili haliwapiti, wanalithamini sana.
Ttaizo kwa wanadamu, wanageuza kuwa anasa, lakini kwa habari ya maendeleo ya mtu kiakili, kiafya na kimwili pia. Kuna psychologist aliwahi kusema "supportive intimacy relationship, is the basis for the development of mankind...".
Tatizo akina dada wameligeuza tendo la ndoa kama bidahaa na hivyo kuharibu umhimu wake na hivyo kuligeuza kuwa exploitaion
Kwa wana ndoa lazima uitumikie ndoa ipasavyo kwani hujatoka kwa wazazi wako kwenda kufuata ugali kwa mwanandoa mwenzako.Sasa kama tundazz hamli mtakuwa kaka na dada ndani ya ndoa?Kwa wasio na ndoa subirini muingie kwenye sacramenti hii takatifu msiharakie ngono na uzinzi na kusingizia kwamba ni tendo la ndoa wakati hamna ndoa.
kumbe tendo la ndoa sio anasa eeeh?
hv ni lazima sex iwe ni ndani ya ndoa?sio ansa hata kidogo, ni kutokana na umhimu wake watu wamegeuza anasa.
hahaha.ku do siyo chakula bwana kwamba nisipokula nitadhurika.
hv ni lazima sex iwe ni ndani ya ndoa?
so ukitoa dini tungeweza kuwa tunafanya kama wanyama sio? Kwamba una hamu unamshika yeyote twende kazi au?jibu lako linategemea social system unayoiamini na kujikita nayo. Kwa mfano, ukiwa mtu wa dini za kigeni, watakwambia lazima iwe kwenye familia, lakini kuna cultures nyingine ni suala la kawaida, wala hakuna mipaka isipokuwa kwa wazazi wako tu na ndugu zako wa damu.
Tumekuwa tukiaambiwa kwamba, wamasai enzi hizo, ukioa mke, hawi wa kwako pekee, ni mke wa ukoo kinachofanyika ni timing tu.
so ukitoa dini tungeweza kuwa tunafanya kama wanyama sio? Kwamba una hamu unamshika yeyote twende kazi au?
nauliza kama kuna madhara yeyote kwa kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu
A- KWA MWANAMKE
B-KWA MWANAUME
unajua nikuitune tu akili,nimejisemea sifanyi na mwanaume yeyote isipokuwa hubby tu,haijalishi mazingira.NIKO NORMAL KAbisaunajua ni vigumu wewe kujua umeathirika vipi? wengine ndo watakuona uko tofauti, mfano unaweza kuwa na hasira pasipo sababu za msingi kila ukimwona mwanaume. Haziungi na mtu wa jinsia nyingine ati
kutengeneza mazingira vp? Kama kuku si jogoo wanabaka tu pale jamani mbuzi nao dume analazimishwa maana hadi jike awe kwenye heat, binadamu nao mwanamke lazima abigwe bia vocha pesa dah kazi kwelikwelisio kumshika, unatengeneza mazingira, akikubaliana mwendo mdundo.
Kwani kuku, bata, ngo'mbe, mbuzi wanalazimishina?
izo problem ndo zipi sasa 1kwa wanawake ni phsycologicol problems tu isipokuwa kwa wanaume huwa kuna uwezekano wa kupata condition inaitwa spermatocele inasababishwa na mkusanyiko wa sperms lakini haina madhara na hupotea baada ya muda fulani.
izo problem ndo zipi sasa 1
2
3...............
nauliza kama kuna madhara yeyote kwa kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu
A- KWA MWANAMKE
B-KWA MWANAUME
unajua nikuitune tu akili,nimejisemea sifanyi na mwanaume yeyote isipokuwa hubby tu,haijalishi mazingira.NIKO NORMAL KAbisa
nauliza kama kuna madhara yeyote kwa kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu
A- KWA MWANAMKE
B-KWA MWANAUME