Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
wajiulize kwanza wanamsimamisha nani kugombea.???
WanaJF,pole kwa MAGWANDA kwa kupoteza jimbo la AR TOWN na hongera kwa MAGAMBA kwa kushinda kesi ila furaha ikamilike pale mtakapochukua jimbo.Au Batilda atakamata usukani wa Lema?WanaJF mnijuze kama ushindi wa Lema atapewa Batilda au uchaguzi unafanyika upya?Kama uchaguzi unarudiwa,NANI NDANI YA CCM YA LEO ATATHUBUTU KUSIMAMA MBELE YA WANAARUSHA MJINI NA KUWAAMBIA CCM NI SAFI NA ITALETA MAENDELEO?MZEE BEN KAPA KATOKA KAPA AR KWA NASARI,SITA ALIPATA SITA KIRUMBA MZA,KILANGO LANGO TUPU KIWIRA,NCHIMBI KACHIMBIA KATA SONGEA,NAPE NAPONGEZA CHADEMA TUMEKUBALI KUSHINDWA,PINDA ASEMA CCM TUJIULIZE,LOWASA KIMYA SIJASEMA CHOCHOTE.MAGOGONI KULE CHAI HAINA SUKARI,kila kitu vurugu.Ni CCM A,B,C,D au A+D?Toa maoni yako,tutayatumia kupata mgombea wa ccm na Mkuu wa kampeni.
Unataka wadanganyike kwa kupewa chakula na nguo wakati wa kampeni tu???Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .
kaka jina lako ungetoa "o" ukapachika "a" ingenoga sana hat kutamkika. manake mawazo yako yako ktk mtizamo wa kuchinja chinja uhuru wa watu. kama wanataka kuandamana mnaogopa nini ninyi serikali ya ccm?? wapen uhuru waandamane ilimradi tu wasifanye fujo au ninyi polisi msiwafanyie fujo then mkawapindulia kibao ionekane ni wao. ila nazani km ccm imeshindwa mfupa wa arumeru, itauweza wa atown kweli jamani? mi nafikiri agombee kikwete tu mwenyewe.
hata mkimismamisha Mizengo Pinda, CCM kushinda arusha ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Leteni yeyote yule tumuaibishe shetani.