Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,116
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
 
flash back! Kwa wakati huu hazifai! Mie nina 23yrs simjui mdudu kama huyo


hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
 
Issue ya CCM siyo aina ya mtu atakayesimamishwa, tatizo ni chama chenyewe, watu mbona hamuelewi?!!! Haijalishi atakuwa Kinana ama nani, kichapo kiko palepale!. Fuatilieni vizuri chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika 1/04/2012 utagundua fika CCM iko taabani kisera.
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .
 
Sema wewe binafsi umeyachoka maandamano...
Wapenda mabadiliko hatujachoka, tutaandamana hadi hadi watoto wachanga wajue maana ya M4C!
Huyo Kinana ataacha biashara zake chafu za Meli agombee ubunge?
 
Huyo kinana alihusika kuchakachua matokeo ya ubunge jimbo la segerea, hivyo haifai arusha, na pia hizi ni zama za vijana kushika hatamu siyo mijizee kaa hilo ulilolitaja
 
chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa arusha mjini. Anakubalika sana arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia arusha maendeleo kipindi cha nyuma . Pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
Anafaa,
anauwezo,
anakubalika.

na vile vile utakuwa ndio muda wake muafaka kuwaambia watanzania kuhusu biashara yake chafu ya meli
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tuna mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki.
Haipendezi mwanaume kuwa mmbea, watu wa arusha ipi unaowasemea wewe kilaza bucho?.

Msimamisheni Kinana, chadema wasimamishe mti, tutachagua mti. Hapa mmeliwa, nendeni huko huko kwa waswahili wanywa kahawa, sio arusha mjini.
 
Haipendezi mwanaume kuwa mmbea, watu wa arusha ipi unaowasemea wewe kilaza bucho?.

Msimamisheni Kinana, chadema wasimamishe mti, tutachagua mti. Hapa mmeliwa, nendeni huko huko kwa waswahili wanywa kahawa, sio arusha mjini.


taratibu mdada na michango yako . kwani we ni ccm ? nini kinakuwasha na hii ni nchi ya demokrasia ? embu nyamaza ficha upumbavu wako , sio kila kitu unadandia . utakuja dandia visivyo dandiwa.
 
chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa arusha mjini. Anakubalika sana arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia arusha maendeleo kipindi cha nyuma . Pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
Anafaa,
anauwezo,
anakubalika.

mwambie bado hatujasahau alipora mashine za kufulia zilizoletwa kama msaada kwaajili ya hospitali ya mount meru na kufungua sehemu ya kufulia nguo za vigog
 
Al-shabab, mwizi sana huyu mtu katuibia sana meno ya tembo huyo jamaa yenu magamba
 
Kama ni wizi utathubutu kumlinganganisha na lema pamoja na wale binamu zake waliouliwa watoto wa kileo ? Acheni siasa chafu . Sisi tunataka maendeleo mambo ya kufata mkumbo hatuitaji.
 
maandamano umechoka wewe BUCHO,ambaye unafaidi matunda ya magamba nasema sie hatumchagui mtu bali chama kwani mtu mwenyewe atatuongoza kwa sela ya chama,mda utafika utajificha na kukimbia jamvi
 
maandamano umechoka wewe bucho,ambaye unafaidi matunda ya magamba nasema sie hatumchagui mtu bali chama kwani mtu mwenyewe atatuongoza kwa sela ya chama,mda utafika utajificha na kukimbia jamvi


hayo unayasema wewe mkuu . Tunataka mbunge atakayetuletea maendeleo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom