Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

Jamani kwa watu waliofunguka tatizo si mtu wa kupigia kura! tatizo anatoka chama gani??? mbona mnatumia akili zenu safi kufikiri hili! tatizo c mtu gani ni chama gani basiiiiiiii
 
Jamani mnisaidie michango yangu ya mawazo imekuwa hainonekani,au kwa sababu ni mgeni
 
Na kwa kawaida ya hawa jamaa kwenye kura za maoni lazima wapasuke! yani anaweza kuja kugombea hapa Mkapa, JK,EL watakaoshindwa kati ya hao kwenye kura za maoni watamgeuka aliyeshinda hivyo mwisho wa siku soma katuni katika gazeti la mwananchi la 03.04.12
 
hakuna wa kumleta chuga coz wa kumsimamisha ndani ya ccm awa face wanchuga hamjui. nani atakubali aibu ya kwenye sanduku la kura
 
waache wafu wawazike wafu wao. We dont care who comes front sisi tuna-SOS (shoot on site) tu. By the way, unawezaje kuuliza kwamba ubunge anaweza kupewa Buliani (aliyefuata kwa kura nyingi baada ya Godbless Lema)? Upo shallow kiasi hicho?
 
kaka jina lako ungetoa "o" ukapachika "a" ingenoga sana hat kutamkika. manake mawazo yako yako ktk mtizamo wa kuchinja chinja uhuru wa watu. kama wanataka kuandamana mnaogopa nini ninyi serikali ya ccm?? wapen uhuru waandamane ilimradi tu wasifanye fujo au ninyi polisi msiwafanyie fujo then mkawapindulia kibao ionekane ni wao. ila nazani km ccm imeshindwa mfupa wa arumeru, itauweza wa atown kweli jamani? mi nafikiri agombee kikwete tu mwenyewe.
 
WanaJF,pole kwa MAGWANDA kwa kupoteza jimbo la AR TOWN na hongera kwa MAGAMBA kwa kushinda kesi ila furaha ikamilike pale mtakapochukua jimbo.Au Batilda atakamata usukani wa Lema?WanaJF mnijuze kama ushindi wa Lema atapewa Batilda au uchaguzi unafanyika upya?Kama uchaguzi unarudiwa,NANI NDANI YA CCM YA LEO ATATHUBUTU KUSIMAMA MBELE YA WANAARUSHA MJINI NA KUWAAMBIA CCM NI SAFI NA ITALETA MAENDELEO?MZEE BEN KAPA KATOKA KAPA AR KWA NASARI,SITA ALIPATA SITA KIRUMBA MZA,KILANGO LANGO TUPU KIWIRA,NCHIMBI KACHIMBIA KATA SONGEA,NAPE NAPONGEZA CHADEMA TUMEKUBALI KUSHINDWA,PINDA ASEMA CCM TUJIULIZE,LOWASA KIMYA SIJASEMA CHOCHOTE.MAGOGONI KULE CHAI HAINA SUKARI,kila kitu vurugu.Ni CCM A,B,C,D au A+D?Toa maoni yako,tutayatumia kupata mgombea wa ccm na Mkuu wa kampeni.

Poleni sani wafiwa kumpongeza mheshimiwa mbunge mwizi wa magari mstaafu,ni pigo kwa ustawi wa demokrasia nchini lakini ni bora ameondoka ili kuwapunguzia wana arusha matatizo yake.
 
Watakuwa wanazomewa mpaka watashindwa kuhutubia...........
Lusinde akija na matusi yake wanaweza mshusha jukwaani....
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .
Unataka wadanganyike kwa kupewa chakula na nguo wakati wa kampeni tu???
 
kaka jina lako ungetoa "o" ukapachika "a" ingenoga sana hat kutamkika. manake mawazo yako yako ktk mtizamo wa kuchinja chinja uhuru wa watu. kama wanataka kuandamana mnaogopa nini ninyi serikali ya ccm?? wapen uhuru waandamane ilimradi tu wasifanye fujo au ninyi polisi msiwafanyie fujo then mkawapindulia kibao ionekane ni wao. ila nazani km ccm imeshindwa mfupa wa arumeru, itauweza wa atown kweli jamani? mi nafikiri agombee kikwete tu mwenyewe.


user-online.png
rebule

Today 16:35
#89
Junior MemberArray


Join Date : 2nd April 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Wakiweka kikosi hiki huenda wakaambulia japo nafasi ya pili 1.Meneja kampeni Lowasa 2.Msaidizi Mwakyembe 3.Kamanda wa Operesheni Samuel Sitta 4.Mhamasishaji Rostam Aziz 5.Mtoa rushwa Lusinde.BILA KIKOSI HICHO,USHINDI KWAO NI NDOTO ZA MCHANA
 
hata mkimismamisha Mizengo Pinda, CCM kushinda arusha ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Leteni yeyote yule tumuaibishe shetani.

jamani msiwaseme sana chichiemu watachukia harafu waanze kumwaga MITUSI maana ndo sera zao cku hizi.
 
ninyi vp!! sisi sisiemu mgombea wa arusha mbona yupo tu na atawamaliza within a second. tutamsimamisha JIWE LENYE UHAI MATUSI. HAMUONI TAYARI TUTASHINDA HATA KABLA YA KAMPENI KUANZA??? KAMA SHERIA ITAMZUIA KUGOMBEA NA KUMILIKI MAJIMBO MAWILI BASI TUNAMLETA WASIRA ANAZO SIFA ZOOOOTE. HE IS GENTLEMAN AND OFCOURSE HANDSOME
 
Hata kama CCM mumeweke Obama hap A. Town hampati ki2 kwani Lema ni kisiki cha mpingo.
CHADEMA 4 LIFE
MOVEMENT 4 CRITICAL CHANGES
SOLIDARITY FOREVER..\/
 
Mlezi wa chama Arusha. Maana wengine hawataki tena.
Mlezi wa chama mkoa wa Arusha, si ndiye huyu hapa au labda nakosea? Kama ni huyu alishapoteza mvuto kama chama chake hawezi kusaidia lolote. Bahati mbaya siku hizi ccm ndiye wanadhani ana busara, hivyo humtanguliza kila mahali
Tyson.jpg
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom