Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
hapo hata CMM wangemsimamisha prezdaa.
teh teh teh nasikia ka kucheka nilivyo na uhakika wa kulirejesha hilo jimbo CHADEMA.
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Hata mkiwasimamisha Kinana, Batilda, Felix Mrema wote kwa mpigo HAMPATI KITU!
 
Kinana alishaachana na siasa siku nyingi, anafanya biashara zake. Sidhani kama anaweza kukubali kurudi kwenye siasa hizi za majitaka!
 
Jamani kwa nini tusipeane muda wa kufikiria kwanza hii hali, kwa nini mnadhani kinachofuatia ni lazima uwe uchaguzi?
 
Haipendezi mwanaume kuwa mmbea, watu wa arusha ipi unaowasemea wewe kilaza bucho?.

Msimamisheni Kinana, chadema wasimamishe mti, tutachagua mti. Hapa mmeliwa, nendeni huko huko kwa waswahili wanywa kahawa, sio arusha mjini.

wanywa ulanzi na wakwea minazi si.Arusha.
nasasa wametupandisha hasira ninahasira kama nimekunywa kiloriti ya kimasai. ccm go to hell.
laiti kama wangejua Lema ni public figure wala wasingejaribu kufanya walichofanya maana sasa watanzania wote tumeichukia ccm rasmi sijui watasimama vipi kuwaconvice watanzania.
machozi yananitoka hapa nilipo.
 
Hapo CCM hawawezi kuwa na la kujivunia sana sana wataongeza majeraha zaidi kwenye kura za maoni ya kumpata mgombea! kama ilivyotokea kwenye ule uchaguzi wa Arumeru!!
 
kama mbunge wa Arusha anachaguliwa hapa jamvini basi mchezo ungekuwa umeisha . ila subirini kipenga kipulizwe mtashangaa jimbo likirudi CCM.
 
wewe inawezekana ukawa mjanja miongoni mwa wajinga, Kinana kafanya nini Arusha? tumezaliwa na kukulia huko tueleze basi


usinifundishe uwoga . hii ni nchi ya demokrasia na kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom