Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .

Wewe unatumiwa na magamba mbaya zaidi unatumika kama ..... Ikitumika inatupwa haifaikuonekana pawatu mkuu rambo inatumika zaidi ya 1
 
Hakuna mbunge yoyote aliyewafanyia watu wa Arusha jambo la maana kama Lema. Hakuna! Lema amewarudishia watu wa Arusha uhuru, utu, na nguvu ya kuamua maisha yao yawe vipi! Kinana anaweza akawa ameleta material benefits, lakini kama hauko huru nyumba, barabara itakusaidia nini? in my view Kinana is nothing more than a disguised fisadi.

Mie nimetoka juzi Arusha. Arusha niliyokuwa naijua siyo sasa, mji umechoka, hakuna hela, economic activities zimesinyaa kwa shauri ya Lema. Lema ni janga kwa Arusha. Hebu sema kwenye ahadi zake zipi mpaka sasa ameisha zitekeleza? Tunajua inawauma kuvuliwa ubunge ila haki imetendeka
 
nasikia huyu anatunza pesa za Al Shababu, Bora watupe SIOI
 
Angeweza Mungu kuwa kiongozi wao ila walishajitenga naye, wao wana pesa na polisi wakati nguvu ya umma ina Mungu. Watachapwa tena kwenye sanduku la kura!
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .
Mnatikisa kiberiti mkisha mteua utajua kuwa ni mchafu kuliko hata Kikwete.....
 
Mie nimetoka juzi Arusha. Arusha niliyokuwa naijua siyo sasa, mji umechoka, hakuna hela, economic activities zimesinyaa kwa shauri ya Lema. Lema ni janga kwa Arusha. Hebu sema kwenye ahadi zake zipi mpaka sasa ameisha zitekeleza? Tunajua inawauma kuvuliwa ubunge ila haki imetendeka
Kwanini usiweke ahadi zake hapa ambazo ali ahidi na hakutekeleza badala yake unataka tukutajie......
Naomba unijibu maswa haya kwanza halafu ndiyo ulete huo upumbavu wako
Kilo ya uga kwenye jimbo lako ni bei gani?
Nyama.............................................?
Nyanya moja.....................................?
Kitunguuki moja..................................?
Kiberiti..............................................?
Kilo ya sukari.....................................?
kilo ya dagaa.....................................?
usifikilie JF wanafikilia kwa kutumia makalio, CCM ni janga la kitaifa
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .
Rejea Misri na nchi nyingine za mashariki ya kati,utawala wa kidemokrasia haujaja mtu akiwa kwake akila keki wengne wakiambulia maji tu bali watu waliuwawa barabarani kuzikomboa nchi zao

Kama we unapinga watu kuingia barabarni basi unanufaika moja kwa moja au kwa njia nyingine kupita wazazi au ndg wengine kula maisha mazuri,so tuache tunaoteseka tutafute uhuru wetu kutoka kwa wakoloni weusi wasio na utu wala huruma....
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .

Kammulize Babaako kwanza...Tunataka fikra mpya ya nini mtunataka kutuchagulia mbunge..Mleteni hata kikwete halafu mtaona kama hata ubunge atapata...Arachuga jiwe linatisha kupambana na CCM
 
maendeleo ya tanzania na arusha kwa ujumla yatapatikana kana mfumo wote wa utawala utabadilishwa....tatizo siyo batilida,kinana,au JK atawale arusha, tatizo la msingi ni mabbadiliko ya kimuundo ndo yanayotakiwa...ni ngumu kwa ccm ya leo kufanya mabadiliko ya kimuundo na ndo maana we nid change....change iz innevitable to the situation our country has reached nw.....tueleweni hatuitaki ccm jamani...
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Hata aje asimame malaika kama ni kwa ticket ya CCM anashindwa. Wewe unafikiri kinana siku zote hajaliona hilo.
 
Mie nimetoka juzi Arusha. Arusha niliyokuwa naijua siyo sasa, mji umechoka, hakuna hela, economic activities zimesinyaa kwa shauri ya Lema. Lema ni janga kwa Arusha. Hebu sema kwenye ahadi zake zipi mpaka sasa ameisha zitekeleza? Tunajua inawauma kuvuliwa ubunge ila haki imetendeka

Msameheni kwa kuwa haju alitendalo na huyu anasumbuliwa na Njaa tu... Hivi siku haya madini yakiisha kila kitu kimekwisha hawa jamaa watafanya nini?
 
hakuna mbunge aliyeifanyia arusha maendeleo kama kinana . Muulize mtu yoyote wa arusha kama umri wako ni mdogo .

Lakini hapo tuelewane, kwa sasa hatufai kabisa. hatumtaki hata akija na dhahabu mikononi
 
Watu wa arusha tumechoka maandamano . Tunataka mtu atakaetusaidia kupata maendeleo na kuipaisha arusha katika nyanja zote za uchumi. Mambo ya kutumiwa kama mfuko wa rambo hatutaki. utalii wa mikutano umeshuka sana hapa Arusha mambo ya ushabiki hatuhitaji .

si ndo tunapenda.
 
This is called M4C
M4C.jpg
 
Wamsimamishe RIDHIWAN KIKWETE_CCM ANA MIHELA YULE.WATU WA ARUSHA TUZITAFUNE K'BU NI KODI ZETU!
 
hayo unayasema wewe mkuu . Tunataka mbunge atakayetuletea maendeleo .

@ bucho. nadhani unafikilia kwa kutumia masabuli, yaani unachosha we masabuli, a town hata wampeleke baba mwanaasha shtani anaaibiswa km meru. masabuli yako bucho
 
Kwa sababu hawataki kuumbuka aidha hawata msimamishi mtu au watamsimamisha mtu ambaye anavikwazo alafu baadae tume ita mdisqualify na watatumia nafasi hiyo kukwepa aibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom