Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

ATM ya magamba tunaisubiri kwa hamu.tuchukue ela ccm tuichangie chadema,yaani kula ccm kula chadema.hamna chenu arusha.
 
Kuna habari ambazo zimezagaa hapa Arusha kwamba kuna uwezekano kinana kupeperusha bendera ya sisim
Nikiripoti kutoka hapa a town mm n ...
 
chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa arusha mjini. Anakubalika sana arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia arusha maendeleo kipindi cha nyuma . Pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
Anafaa,
anauwezo,
anakubalika.

kwani nini aliacha kuwa mbunge wa arusha wakati huo?
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Waliomchagua enzi hizo si wameshakufa wote.... hata kama bado wapo ni wachache sana....kizazi hiki hatutaki vizee kama kinana. lakini umesahau kitu kimoja cha msingi, sasa hivi hatuchagui mtu tena. Tunakata ccm iondoke madarakani, hata kikwete akigombea Arusha, hawezi kupita......sema lingine na kama umetumwa na magamba, wape salama zao....kama ARUMERU, TUTAANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.....
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.
Yaani umeshatuona watu wa Arusha wa kuongozwa na wakimbizi waa kisomali,bona dharau chalii yangu??
 
Shukrani bucho kwa kujitambulisha wewe ni chama gani.Kwa mchango wangu ningeonelea vema mkafanya hivyo bila shaka mtashinda.
 
kwa ccm ya sasa hata Mwalimu angekuwa hai acngeshinda hapa Arusha.Me i think kwa roho safi tu ccm wakubali kuwa wabongo hatunampango na ccm kwasasa.Labda baaaaaaaaaaaaaadaee saaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaa.
 
Chama cha mapinduzi kimsimamishe ndg Abrahaman kinana katika uchaguzi ujao wa Arusha mjini. anakubalika sana Arusha maana ndio mbunge pekee aliyeifanyia Arusha maendeleo kipindi cha nyuma . pia upeo wake wa elimu na kusimamia mambo ni mkubwa sana .
ANAFAA,
ANAUWEZO,
ANAKUBALIKA.

Hakuna mbunge yoyote aliyewafanyia watu wa Arusha jambo la maana kama Lema. Hakuna! Lema amewarudishia watu wa Arusha uhuru, utu, na nguvu ya kuamua maisha yao yawe vipi! Kinana anaweza akawa ameleta material benefits, lakini kama hauko huru nyumba, barabara itakusaidia nini? in my view Kinana is nothing more than a disguised fisadi.
 
nashauri ccm msiweke mgombea, lema apite bila kupingwa, no uchaguzi, save our money!!!!
 
Hakuna mbunge yoyote aliyewafanyia watu wa Arusha jambo la maana kama Lema. Hakuna! Lema amewarudishia watu wa Arusha uhuru, utu, na nguvu ya kuamua maisha yao yawe vipi! Kinana anaweza akawa ameleta material benefits, lakini kama hauko huru nyumba, barabara itakusaidia nini? in my view Kinana is nothing more than a disguised fisadi.

kweli mkuu gadafi aliwapa walibya kila kitu lakini hakuwapa uhuru siku walipochoka walimchinja! ccm ni mzigo mzito sana hapa tanzania wanaoweza k
 
Kama ni wizi utathubutu kumlinganganisha na lema pamoja na wale binamu zake waliouliwa watoto wa kileo ? Acheni siasa chafu . Sisi tunataka maendeleo mambo ya kufata mkumbo hatuitaji.

Kwa maana hiyo ukishakuwa mbunge automatically una kuwa na maendeleo na kuwaletea hayo maendeleo wenzio siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom