Mkuu Ndetichia mpira ndo ulivyo, Mtibwa waliichakaza Yanga na nyie mkaichakaza Mtibwa na mtibwa hiyo hiyo ilidroo na polisi lakini polisi walishushiwa dhahama na Yanga, mpira sio hesabu za kujumlisha na kutoa kwamba namba ndogo kutoa namba kubwa lazima jibu liwe negative.mkuu mzee wa rula mpaka sasa najiuliza hivi kule kagera tuliwafungaje hawa kagera wababe wa simba na yanga maana kuna vitu vingine inabidi mtu ufikirie sana na hapo subiri siku na yanga ndio utajua azam ina vichembechembe vya simba na yanga..