Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

mkuu mzee wa rula mpaka sasa najiuliza hivi kule kagera tuliwafungaje hawa kagera wababe wa simba na yanga maana kuna vitu vingine inabidi mtu ufikirie sana na hapo subiri siku na yanga ndio utajua azam ina vichembechembe vya simba na yanga..
Mkuu Ndetichia mpira ndo ulivyo, Mtibwa waliichakaza Yanga na nyie mkaichakaza Mtibwa na mtibwa hiyo hiyo ilidroo na polisi lakini polisi walishushiwa dhahama na Yanga, mpira sio hesabu za kujumlisha na kutoa kwamba namba ndogo kutoa namba kubwa lazima jibu liwe negative.
 
nyie nao! Ushind wa mezani tu shida, mngeshinda magoli ya muvu si ndo mngekunya kabisa!!??
Uliangalia mpira kweli au unajiandikia tu, magoli ya kideo kabisa yale, Sisi hatuna Mbuyu Twite hadi tufunge magoli ya faulo, Yanga ndo hamna ubavu wa kufunga magoli ya move ndo maana Cannavaro na Mbuyu Twite wanashindana ni nani ataibuka mfungaji bora wa Yanga.
 
kuna watu wapuuzi kweli halafu wanaongeeea ooh mechi imeuzwa upumbavu mtupu kwa mtu alie kuwepo jana uwanjani ni mwehutu ndiyo anaweza kuamini kuwa mechi iliuzwa..Azam ilizidia kimpira na kocha alichelewa kuwaingiza Babi na kipre Baloo na kama angefanya sub mapema pengine tungekuwa tunaongea mengine halafu baada ya boko kutolewa angeingia mwaikimba ili abaki mtu atakae endelea kuwasubua mabeki kwenye 18
 
Kwa mara ya kwanza ktk ligi kuu mwaka huu nimejutia kiingilio changu. Yaani mechi ilipangwa kabisa. Azam na Simba kweli kabila moja.
 
kuna watu wapuuzi kweli halafu wanaongeeea ooh mechi imeuzwa upumbavu mtupu kwa mtu alie kuwepo jana uwanjani ni mwehutu ndiyo anaweza kuamini kuwa mechi iliuzwa..Azam ilizidia kimpira na kocha alichelewa kuwaingiza Babi na kipre Baloo na kama angefanya sub mapema pengine tungekuwa tunaongea mengine halafu baada ya boko kutolewa angeingia mwaikimba ili abaki mtu atakae endelea kuwasubua mabeki kwenye 18

gemu jana ni unazi tu wakijinga mi nakuambia toka aje huyu kocha hajawahi kutoa hata droo na vibibi wa ligi kuu hata kuonesha ushindani halafu wakicheza na ambako mashabiki hatuwezi kufika wanakuja na stori za kuonewa na gemu ya ninachoamini ni unazi tu hakuna jingine ngoja tuone kiporo kitalika au vi na yale mahesabu ya kurudi nafasi ya pili kwa kiporo sidhani kama yatasaidia mwaka jana walijitahidi sana ila mwaka huu ni unazi na sifa za kijinga..
 
Mkuu Ndetichia mpira ndo ulivyo, Mtibwa waliichakaza Yanga na nyie mkaichakaza Mtibwa na mtibwa hiyo hiyo ilidroo na polisi lakini polisi walishushiwa dhahama na Yanga, mpira sio hesabu za kujumlisha na kutoa kwamba namba ndogo kutoa namba kubwa lazima jibu liwe negative.

kama mpira ni mahesabu mkuu mpaka sasa nishaanza kuwa na wasiwasi pindi tunacheza na simba maana wanacheza chini ya kiwango kabisa na sijui kule kagera tulishinda vipi toto walitutoa kamasi baada ya kumueka dida na kuwadharau sasa kwa gemu ya jana ndio gemu iliyo niboa kuliko zote na isitoshe kwa mwendo ule azam tutasubiri sana kutoka..
 
Jamani tumeongoza ligi toka mechi ya kwanza hadi sasa mechi ya kumi tunaongoza, jueni kwamba kuongoza ligi sio kazi rahisi hadi uwe unajua, sio kusubiri mabeki wafunge magoli ya faulo na washambuliaji wafunge magoli ya penati halafu unataka uongoze ligi, subiri kidogo jamani sasa ni wakati wetu kujidai hapo juu, huku kwingine mtakuwa mnabadilishana, chezeya mnyama wewe utalala hoi!!!
Wataishia kuongea tu! So far Simba ina 'timu' nzuri kuliko vilabu vingine na huo ndio ukweli. Mpira wa miguu sio (majina ya) wachezaji mmojammoja pekee bali ni uwezo wa wachezaji hao kucheza kama timu.

Hawa yebo yebo wakiendelea na hizo bla bla zao wataishika namba nne msimu huu!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hata mimi nilikuwepo uwanjani jana kushuhudia live simba na azam,nimejuta kupoteza pesa yangu kuingia uwanjani,tulitegemea kuona gemu la ushindani lakini kilichotokea ni bora simba angecheza na polisi moro walau tungeona soka safi,kusema ukweli azam waliuza gemu mana walikuwa wanacheza kama hawataki au kama wameshinda wao vile,mashabiki wengi walianza kuondoka uwanjani mapema sababu mpira ulikuwa haufurahishi kiukweli,subiri yanga na azam ndo utawajua azam ni tawi la simba mana wanageuka wanakuwa mbogo,
 
Jana Azam wamezingua sanaaaa. Simba ni timu ya kawaida, Tatizo wachezaji wa AZAM walikua hawachezi mpira wa kazi. walileta Mahaba uwanjani. Kwa mpira ule hata yanga wanaweza wakatufunga Mechi ya jmos. Yule HUMUD alikua anarukaruka tu uwanjani nashangaa kocha alivyomwacha dk 90 zote. Azam tunawapenda but wapunguze Upemba.
 
nimegundua simba nawao ni vilaza kwa mpira wa azam wangewafunga hata 10 bila,hata sub waliofanya azam walikuwa kama wanajivuta hawataki,wanapasha nusu saa wakati mda unazidi kwenda na wako nyuma kwa magoli,kufungwa kawaida lakini wangeonesha walau soka la ushindani,simba nao wasijidai kwamba wako fiti jana walikuwa wao tu
 
Ushauri ni mzuri sana. Ungekuwa umetolewa na mtu mwingine ungefuatwa lakini kwa vile ameutoa shabiki wa Simba ni rubbish, nenda kawashuri Simba waongeze gap kutoka pt 2 hadi 8, ebo!
Kwa nini iwe Simba kuongeza gap, na sio Yanga kupunguza gap? Au Yanga wameridhika na 'angalau gap limepungua'?
 
Jana Azam wamezingua sanaaaa. Simba ni timu ya kawaida, Tatizo wachezaji wa AZAM walikua hawachezi mpira wa kazi. walileta Mahaba uwanjani. Kwa mpira ule hata yanga wanaweza wakatufunga Mechi ya jmos. Yule HUMUD alikua anarukaruka tu uwanjani nashangaa kocha alivyomwacha dk 90 zote. Azam tunawapenda but wapunguze Upemba.

mkuu unishindi mimi na ninashukuru simu iligoma internet maana ilikuwa balaa mpaka basi..
 
nimegundua simba nawao ni vilaza kwa mpira wa azam wangewafunga hata 10 bila,hata sub waliofanya azam walikuwa kama wanajivuta hawataki,wanapasha nusu saa wakati mda unazidi kwenda na wako nyuma kwa magoli,kufungwa kawaida lakini wangeonesha walau soka la ushindani,simba nao wasijidai kwamba wako fiti jana walikuwa wao tu

hit like then sepa maana umeongea pwointi balaa halafu na cost utasikia watakavo kaza..
 
Uliangalia mpira kweli au unajiandikia tu, magoli ya kideo kabisa yale, Sisi hatuna Mbuyu Twite hadi tufunge magoli ya faulo, Yanga ndo hamna ubavu wa kufunga magoli ya move ndo maana Cannavaro na Mbuyu Twite wanashindana ni nani ataibuka mfungaji bora wa Yanga.
Didier Kavumbangu ndio anaongoza kwa magoli pale Yanga akifuatiwa na Twite,kiwango cha Twite kweli Rage alistahili kutoa machozi
 
Hawa Azam kelele mdomoni tu,tangu wamtimue Stewart Hall hamna lolote wanalialia tu.Eti Yanga na Simba wapanga njama kuihujumu Azam,wakicheza bila John Bocco hamna kitu
 
Back
Top Bottom