FT: Simba SC 1-1 Azam FC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium| 09.02.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,525
10,760
Match Day!

20240209_150140.jpg


20240209_145838.jpg

Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3.

Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31.
Screenshot_20240209-072846~2.png

Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc.

Hii ni Mechi ya kisasi.

All the Best Mnyama.

Kikosi cha Simba Kinachoanza.
20240209_151241.jpg


Kikosi cha Azam Kinachoanza
20240209_153313.jpg


Updates...

Timu zimeshaingia Uwanjani
Wanasalimiana hapa.
Time 15:57
Game On ...

00:31' Sila yuko chini amekutana na Tshabalala.
Faulo ya kwanza inapatikana hapa.

03' Azam wanapata faulo nyingine, inapigwa haileti madhara

05' Bado mpira unachezwa zaidi katikati ya uwanja.

07' Mpira unaendelea Simba wanapata freekick anapiga Chama unakuwa mrefu, inakuwa goal kick

09' Azam wanapata kona ya kwanza haileti madhara .

10' Fei anachezewa Faulo na Babakar. Inapigwa haileti madhara kwa Simba.

14' Goli. Azam wanapata goli la kuongoza hapa kupitia kwa Dube.

18' Saido anapokea Assist nzuri sana kutoka kwa Kibu D, anapiga vizuri kipa anadaka.

21' Mpira umesimama kwa muda. Kipa wa Azam anapatiwa huduma ya kwanza

27' Mpira unaendelea na sasa umerudi tena katikati. Kila timu ikijitahidi kufanya mashambulizi yakushtukiza.

33' Sopu anachezewa Faulo wanapata free kick inapigwa inakuwa goli kick.
Mpira unaendelea.

35' Simba wanapata Kona ya kwanza inapigwa haileti impact yoyote kwa Azam

36' Simba wanapoteza nafasi ya wazi kabisa kusawazisha goli.
Inakuwa goli kick

38' Gibril Silla anapata kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Tshabalala.
Wakati huo Kipa wa Azam yuko Chini,

43' Inapigwa Free kick nje kidogo ya lango la Simba, inaishia mikononi mwa Ayoub Lakred...

44' Simba wanapata kona ya Pili.
Inapigwa kona fupi haileti madhara yoyote kwa Azam.

45' additional Minutes ni 5.
Mpira unaendelea.

45+3' Azam wanakosa goli la wazi hapa.
wanapata kona Azam inapigwa inakuwa butu.

45+4' Husein Kazi anapata kadi ya njano.
Azam wanapata free kick haileti shida.

Mapumziko.

Kipindi Cha Pili Kimeanza.

Sub. za Simba
Freddy Michael Out
Pa Omar Jobe Inn
Israel Mwenda Out
Shomari Kapombe Inn.

49' Mpira unaendelea...
Bado ni piga nikupige hapa.

51' Simba wanapata kona, inapigwa na Saidoo anaicheza kipa wa Azam.
Inakuwa kona nyingine.
Inapigwa Azam wanaondosha hapa.

53' Azam wanapata free kick nje kidogo ya Box la Simba .
Inapigwa ibabatiza ukuta wa Simba inakuwa kona.
Inachezwa unatolewa nje inakuwa kona tena.
Aitoa Ayoub.

58'Chama anapewa Yellow kadi.

62' Simba wanapiga kona wanakosa kosa hapa.
Mpira unaendelea.
66' Simba wanapata kona haina madhara inakuwa faulo baada ya Shomari kumsukuma mchezaji wa Azam

68' Pascal anapata kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kibu D.
Simba wanapata free kick nje kidogo ya boxi anapiga Saidoo haileti tabu.

70' Sub kwa Simba,
Ngoma Out
Mzamiru Inn.

71' Kibendera kimekatika hapa.

Simba wanapata free kick .
Inadakwa na Kipa wa Azam.

75'
Silla Out
Sidibe Inn

76' Sub kwa Simba.
Saido Out
Miquisonne Inn.

79' Azam wanafanya mabadiliko.
Lyanga Inn
Feisal Out

Dube Out
Navaro Inn

82' Simba wanapata kona, inapigwa haileti shida kwa Azam.

85' Miquisonne offside...

Mpira umesimama kwa muda Mlinda Mlango Azam anapatiwa matibabu hapa.

88' Mpira unaendelea hapa. Bado ni Moja Kwa Bila.

90' Amoua anapata kadi ya njano.
Simba wanapata free kick.

90+ 1' Goooooooooooal....
Chama Cloutas...

90+4' Azam wanapata kona.
Inapigwa na Sidibe inatoka nje.
Game On...
Chamaaaaa anakosaaa.

90+6' Pa Jobe anapata Kadi ya Njano hapa...

90+7' Full Time!!
Mpira umemalizika
20240209_182013.jpg
 
Back
Top Bottom