Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

To Hell SHIBUDA. Huyu aliingia CDM kupata ubunge tu lakini damu yake si ya kimapinduzi ila ya kinyang'anyi na ulaji kama wabunge wa CCM. Nimemsikia akilalamika kuwa hapewi ushirikiano kwa kuwa yuko upinzani. Huyu hakujiandaa kabisa na mikiki ya upinzani. Huyu ni wa kumwacha tu hakuna kitu CDM itaongeza kwa kumuondoa ila ni liability kubwa kwa wapenda maendeleo wa nchi hii. Kibaraka vile!!!
 
Shibuda anacheza na akili za kisasa, CDM si ya kuchezewa, amulize Zitto, siku hizi ananidhamu kwani aliona anaweza kupoteza maana nje ya CDM. Shibuda akirudi CCM hawezi kushinda kama nafikiri hivyo anajidanganya.
 
Sijui CDM walikoitoa hii taka taka.Ni afadhali CDM wangelikosa hili jimbo la Shibuda kuliko kuwa na mpuuzi kama huyu!Wasipochukua hatua za kumwondoa mapema atawa-cost sana!
 
Puppet wa ccm huyu mzee, Ndio maana wenje alimwambia ni mlafi wa nyama...Chadema inabidi wa mteme.
Unajua tatizo sana kuwa na watu wenye fikra sawa kumbukeni vidole havilingani na hata ukiwa na watoto hawatalingana tabia jifunzeni kuishi na kila aina ya watu msipende kina ndio mzee ili chama kipate ustawi
 
Umefikiria kweli! Ama umeamua kuandika tu
 
Kweli wewe ni sokomoko haswa.
 
Umefikiria kweli! Ama umeamua kuandika tu
Unajua kuna kaugonjwa ka uzuzu humu jf yaani mtu anasema malaya kapiga vigelegele huyu mtu kafikiri kabla ya kuandika? Ila mie ndio sijafikiri kweli upofu sio wa macho na kupenda kubaya sana fungueni macho mpo ulimwengu gani nyie?
 
Mbunge Shibuda ataka posho ziongezwe kwani zilizopo sasa ni ndogo ziongezwe kufikia japo laki tano, anasema wengine ni wafanyabiashara wana namna nyingine ya kupata mshiko! amesema hii inaitwa ujila wa mwiha.
 
Shibuda anacheza na akili za kisasa, CDM si ya kuchezewa, amulize Zitto, siku hizi ananidhamu kwani aliona anaweza kupoteza maana nje ya CDM. Shibuda akirudi CCM hawezi kushinda kama nafikiri hivyo anajidanganya.

lazima tukubali chadema ilikosea kumkubali shibuda agombee ubunge,sijui nini kinaendelea kwenye vikao vya chama,
lakini nahisi huyu shibuda analeta matatizo makubwa,nafikiri kazi ni nzito na hekima inahitajika
 
Shibuda ni kada wa CCM hata leo, ameingia CDM baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya CCM. Naamini ni msaliti mkuu wa CDM kila wanachopanga kinafika CCM mapema iwezekanavyo. Kama hawezi kukubali msimamo wa chama hana sifa za kuendelea kuwa mwanachama wa CDM, afukuzwe mithili ya UDP ilivyo wapiga OUT akina Danhi Makhanga na wenzake.
 
conclusion yake ipoje? au mantiki yake ipo wapi? tujaribuu kuujua msingi sidhjani kama ni maana hii hasa aliyonayo!
 
Kina Kiranga waliyasema haya mapemaa pale wimbi la wanachama wa ccm kuhamia CDM kwa mbwembwe ndo tunaanza kuona madhara yake sasa
 
Back
Top Bottom