Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

ninaamini chadema wamepata funzo tosha toka kwa huyu kichaa,wakiendelea kupokea watu kutoka ccm ndio matokeo yakenafikiri mabadiliko yeu yatachukua safari ndefu zaidi
Hamkujua kuwa kandambuili sio kiatu! Unajua mliposhangilia kupokea mapumba kutoka ccm hamkujua kuwa zipo za mahidi "slaa" atlist zitalika na nyingine ni za mchele. Hii analysis itawafurahisha sana vijana.
 
Hii dhana ya kusaidia watu ndo imetufikisha hapa! Yaani wananchi wameshafikirishwa kua kazi ya mbunge ni kutoa misaada! Hata wabunge wenyewe hajui kazi zao ndo maana kina Shibuda wanataka waongezewe posho!
 
Shibuda anajialibia yeye mwenyewe kwa wananchi,huwezi kuwa na akili timamu ukasema posho iwe laki tano.
 
Shibuda anajialibia yeye mwenyewe kwa wananchi,huwezi kuwa na akili timamu ukasema posho iwe laki tano.
Kweri amejialibia sana angejifunza kwa lafiki yake sraa au rabda akikosa ubunge atakuwa deleva wa daradara msamvu mjini pale mologolo!
 
Ndio maana yake ukiangalia hoja yake ana point maana anasema kuna wabunge wafanyabiashara "kinambowe and co" kisha wapo wabunge hohehahe wanaowatumikia wananchi hohehahe ukifuta hizo posho watashindwa hata kusaidia majimboni kutoka mifukoni mwao na ikiwezekana iongezwe. Hivi we unadhani wabunge kama Sugu zikifutwa hizi posho watapata wapi za kuongezea? Hao kina Mbowe na Zitto mbona hawajakataa allowances wanazozipata kwenye KUB na uenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya umma? Pro CDM ni vipofu!

This is very low! Kwani ni jukumu la mbunge kuwapa wananchi wake pesa za matumizi ya kila siku? Huo ni uongo ulio wazi kujaribu kuwatumia maskini kama njia ya kujiongezea kipato kwa kujifanya eti wanawasaidia wakati ukweli ni kwamba kila mtu anakufa kivyake. Unaweza kuthibitisha kwamba wabunge wanawapa wananchi pesa za matumizi? Haya ndio majukumu ya mbunge? Huu ni uongo kama ule aliotoa Pinda siku ile akisema eti wananchi wanakuja kuwaomba wabunge wao nauli hapo bungeni, yaani huyu mwananchi anafikaje hapo Dodoma akitoka Sumbawanga kuja kuomba nauli tu na kurudi??!! Mbona mnawafanya watanzania kama watoto wadogo??!!!!!!!!!!!!
 
Shibuda anajialibia yeye mwenyewe kwa wananchi,huwezi kuwa na akili timamu ukasema posho iwe laki tano.
kwa mwendo huu iko siku bungeni zitapigwa huyu jamaa kasema ilikuwa kuwa kera CDM..chama chako kina zungumzia kufuta wewe unazungumzia3 kuongezea zaidi ya mara 10...
 
Shibuda mara nyingi ukimsikiliza juu juu si rahisi kumuelewa hata kidogo, ni mtu ambaye haongei lugha rahisi hata siku moja.
 
Shibuda mara nyingi ukimsikiliza juu juu si rahisi kumuelewa hata kidogo, ni mtu ambaye haongei lugha rahisi hata siku moja.
Wasukuma ndio tulivyo unaweza kusema vijisenti watu wakakutafsiri ndivyo sivyo!
 
cdm hamjaamka, kwanini shibuda alihamia cdm? Ni kwa sababu ya kutafuta ubunge baada ya kukosa ccm. So unafikiri anapenda upinzani? Huyo ni mtafuta pesa thru politics.
 
Simshangai Shibuda nawashangaa wananchi waliomchagua
hawa watu wa maswa hawamfahamu huyu Shibuda/posho ?
kwa Chadema hakuna wanachoweza kupoteza wamepata kiti cha ubunge na wameoneza kura za urais= ongezeko la ruzuku

KwA CHADEMA HIYO ndio demokrasia kwenye msafara wa mamba kenge wapo..........
 
Ndio maana yake ukiangalia hoja yake ana point maana anasema kuna wabunge wafanyabiashara "kinambowe and co" kisha wapo wabunge hohehahe wanaowatumikia wananchi hohehahe ukifuta hizo posho watashindwa hata kusaidia majimboni kutoka mifukoni mwao na ikiwezekana iongezwe. Hivi we unadhani wabunge kama Sugu zikifutwa hizi posho watapata wapi za kuongezea? Hao kina Mbowe na Zitto mbona hawajakataa allowances wanazozipata kwenye KUB na uenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya umma? Pro CDM ni vipofu!

Hapo kwenye red: Dewji unamwelezeaje? Na yule mwenye mabasi yanayouwa watu kila kukicha? We've had enough preaching from you!
 
Leo Bungeni nimeshangaa kumuona Shibuda akitaka ongezeko la posho.
Nashindwa kuelewa lengo lake hasa ni nini au ndo kusema hajaachana na ugamba wake?
 
Tulivumilie vuvuzela la Maswa kwani kwenye msafara wa mamba na makenge yamo! Huyo Shibuda amesahau kuwa ana pesa za mfuko wa jimbo! Pia anaweza kuthibitisha kuwa pesa anazo wagawia watu wake zimeondoa umasikini kiasi gani kwa watu wake?

Shibuda is hopeless, we cannot trust him any more!
 
Shibuda mbona unapeleka gari mtoni!!!!inamaana madaraja hauyaoni madaraja au ni makusudi!!!?.Unatuchafulia chama"ndege wanaofanana huruka pamoja"wewe leo umegeuka na kuwa bundi au!!?.Hata Kama posho zilikuwapo toka enzi za ukoloni kama zama za leo zikiwa na athari kubwa kwa wananchi bado tuendelee kuzikumbatia!!!?
 
M
Mkuu cku nyingi nilishamshtukia huyu, ni Kilaza na yupo kwa maslah ya tumbo lake, bt mziki wa cdm hatauweza, amejimaliza mwenyewe!
 
Back
Top Bottom