Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

wakuu mnaangalia kwene comp zenu au? mnatisha mana mi niko kwenye tv lakini kila akimaliza kusema naiona jf. com. yangu iko pembeni any way, safi sana

Duh! mkuu hata mimi nilidhani natoa breaking news nikpost ze posho hapo juu kushuka chini nakuta mkuu mmoja keshaniwahi!. Safi sana hii inaonyesha kuwa kila mtz ni mbunge sasa, hakuna kuangalia manchester na liverpool sasa ni kufuatilia bunge kwa kwenda mbele.

Tumechoka kuongopewa na hawa watu wengine wapo mjengoni kabla hatujazaliwa ban!!
 
Hili ri-Shibuda CDM walilipokea la nini. Si ringebakiaga hukohuko kwenye CCM yake yaani lile ri chama la Magamba????
Ri-Shibuda linaongeaga pumba kabisa ng'wanawane halinaga hata ka-point kamoja. Yaani wajameni mimi rinaniajaga hoi kabisa kabisa.
Jitu rinaongea kam vile rimekuwa yale ma-mwanaume sijui wanayaitaga MASHIOGA au MASHANGINGI kama yale magari ya Wabunge vile sijui. Wajameni hiri lijamaa naona hata halikusomaga sawasawa kabisa. Ndiyo maana linaongea mapumba kabisa.

Yaani hiri rijamaa halifai kabisa kuwa CDM. Yaani rimeacha hoja za msingi kabisa kama kuzungumzia madini yaliyoko kule kwao Shinyanga kama yale Ma-ALMASI ya Mwadui na ma-DHAHABU ya Kahama yanavyoibiwaga na yale Mazungu yanachimbaga madini. Ni aibu kabisa!!!
Naomba Baba Ng'wana-MBOWE na Baba Ng'wana SLAA mlifukuzilie mbali kabisa kabisa maana kwa kweri linatuaibisha kichama.

Ng'wabeja sana banamhala na bagikulu.
 
jamani watu wa upinzani,shibuda si mwenzenu.cdm wanapinga posho lakini yeye anataka posho na anaomba iongezwe hadi laki tano kwa siku.eti wasiotaka posho ni wafanyabiashara wanaotegemea pesa kutoka kwingine.akaongeza posho itasaidia watakapositafu wasiaibike kwa ugumu wa maisha kama walivyo wazee wastafu waliokuwa waminifu kwa serikali.chadema na shibuda ni mafuta na maji.
Ndio utamu wa demokrasia huo. Enzi ya zidumu fikra fulani zimepita. Nafurahi kuona watu ktk chama wanatofautiana mitazamo na misimamo lakini hawakosani. Huko ndio kukomaa kisiasa. Nawachukia watu wanafiki ambao huburuzwa kufuata mambo wasiyo yaamini lakini hawawezi kukataa wala kuonyesha misimamo yao kwa kuogopa lawama.
 
Kazi kweli kweli JF ipo juu sana
Hili ri-Shibuda CDM walilipokea la nini. Si ringebakiaga hukohuko kwenye CCM yake yaani lile ri chama la Magamba????Ri-Shibuda linaongeaga pumba kabisa ng'wanawane halinaga hata ka-point kamoja. Yaani wajameni mimi rinaniajaga hoi kabisa kabisa.Jitu rinaongea kam vile rimekuwa yale ma-mwanaume sijui wanayaitaga MASHIOGA au MASHANGINGI kama yale magari ya Wabunge vile sijui. Wajameni hiri lijamaa naona hata halikusomaga sawasawa kabisa. Ndiyo maana linaongea mapumba kabisa.Yaani hiri rijamaa halifai kabisa kuwa CDM. Yaani rimeacha hoja za msingi kabisa kama kuzungumzia madini yaliyoko kule kwao Shinyanga kama yale Ma-ALMASI ya Mwadui na ma-DHAHABU ya Kahama yanavyoibiwaga na yale Mazungu yanachimbaga madini. Ni aibu kabisa!!!Naomba Baba Ng'wana-MBOWE na Baba Ng'wana SLAA mlifukuzilie mbali kabisa kabisa maana kwa kweri linatuaibisha kichama.Ng'wabeja sana banamhala na bagikulu.
 
Kuna kaukweli kidogo the the the read btn the lines esp kwenye hii thread halafu utaona maamuzi ya chama yatazingatia hoja za hapa jf.

Kila anayetetea maslahi ya wananchi siku hizi ni CHADEMA? Kama ni hivyo, basi ni sahihi kusema JF ni ya CHADEMA
 
Punguza ukali wa maneno yako ndugu au humjui Invisible? Atakuban..!!
 
Mbunge Shibuda ataka posho ziongezwe kwani zilizopo sasa ni ndogo ziongezwe kufikia japo laki tano, anasema wengine ni wafanyabiashara wana namna nyingine ya kupata mshiko! amesema hii inaitwa ujila wa mwiha.

Kwa nini huu 'ujira wa mwiha' usilipwe pia kwa waalimu kila wanaposhika chaki, au kwa wauguzi kila wanapomhudumia mgonjwa, au kila mkulima kila anaponyanyua jembe?

Ni mufilisi wa morals na politcal maneuvers kama Shibuda ndio wanaweza kupiga makofi kwa hoja hii ya kijambazi. In his right mind Shibuda anaweza kufikiri kuwa anawakomoa CHADEMA, na hata CCM nao wanaweza wakawa wanajifariji kuwa wana-mamluki wa kuvuruga CHADEMA. Lakini mshindi wa kweli hapa ni CHADEMA maana kwao Shibuda ni kama karai la kubebea zege.

Tukumbuke ruzuku za vyama hutolewa kuendana na percentage ya kura za urais. Kwa kumpata au niseme kwa umakengeza wa ccm Shibuda atakuwa kawaletea kura nyingi CHADEMA maana waliompigia kura yeye Shibuda wengi wao walimpigia mgombea wa urais kupitia CHADEMA na hivyo kuchangia kuongezeka kwa financial capital ya chadema. Remember statistically population ya wasukuma ni kubwa na hivo Shibuba amekuwa karai zuri kabisa la kuengeza percentage ya kura za urais.

Maadam, zege limeisha kwa maana jimbo kwenda chadema na kura za uraisi kusaidia kuengeza impact kwenye ruzuku threashold basi CHADEMA waanze mkakati wa kutupa hili karai ili 2015 nyumba iwe na mandhari mazuri. karai kwa wakati huo litaonekana uchafu. Wawape CCM maana mle ni kama dodoki.
 
Inatakiwa umakini sana.....eti anasema posho zilikuwepo tangu wakati wa ukoloni!
Ndiyo maana walimwondoa hata kwenye kamati...inaamana kama vitu vilikuwepo hata kipindi cha mkoloni kina paswa kiwepo...halafu anataka iongezwe eti ifike 50000 hili zee senge sana hili...chadema tuwe makini na haya makapi, Wenje alisha ilita lirafiki likachukia lakini huo ndiyo ukweli ni lirafi...
 
anasema mwanasiasa akistaafu anakuwa hohehae..so serikali iwaangalie!..anasema huo ujira wa mwiha uwepo ili wachangie misiba,kuchangia majeneza,harusi etc.. anasema posho iongezwe na isifutwe ikiwezekana iwe laki tano

Mbunge Shibuda anasema posho ni haki ya mbunge na inaitwa "UJIRA WA MWIHA" na anasema hautoshi na uongezwe hadi laki tano, kuna mbunge kapiga vigelegele kushangilia..

Yuko serious au anatania?! Hizo laki tano ni posho ipi, ya vikao (sitting allowance) au ipi hiyo?
 
Shibuda, pamoja na matatizo yake, ana haki ya kusema anachodhani ni sahihi. Msimamo wake si lazima uwe sawa na wabunge wengine wa CDM! Na ni kutokumtendea haki kumzomea kisa tu "anapenda posho"! Si sawa kumtukana eti kwa sababu kasema kinyume na ulivyoka wewe maana mwisho wa siku kama kujiharibia anakuwa kajiharibia mwenyewe.
 
Kwa nini huu 'ujira wa mwiha' usilipwe pia kwa waalimu kila wanaposhika chaki, au kwa wauguzi kila wanapomhudumia mgonjwa, au kila mkulima kila anaponyanyua jembe?

Ni mufilisi wa morals na politcal maneuvers kama Shibuda ndio wanaweza kupiga makofi kwa hoja hii ya kijambazi. In his right mind Shibuda anaweza kufikiri kuwa anawakomoa CHADEMA, na hata CCM nao wanaweza wakawa wanajifariji kuwa wana-mamluki wa kuvuruga CHADEMA. Lakini mshindi wa kweli hapa ni CHADEMA maana kwao Shibuda ni kama karai la kubebea zege.

Tukumbuke ruzuku za vyama hutolewa kuendana na percentage ya kura za urais. Kwa kumpata au niseme kwa umakengeza wa ccm Shibuda atakuwa kawaletea kura nyingi CHADEMA maana waliompigia kura yeye Shibuda wengi wao walimpigia mgombea wa urais kupitia CHADEMA na hivyo kuchangia kuongezeka kwa financial capital ya chadema. Remember statistically population ya wasukuma ni kubwa na hivo Shibuba amekuwa karai zuri kabisa la kuengeza percentage ya kura za urais.

Maadam, zege limeisha kwa maana jimbo kwenda chadema na kura za uraisi kusaidia kuengeza impact kwenye ruzuku threashold basi CHADEMA waanze mkakati wa kutupa hili karai ili 2015 nyumba iwe na mandhari mazuri. karai kwa wakati huo litaonekana uchafu. Wawape CCM maana mle ni kama dodoki.

ninaamini chadema wamepata funzo tosha toka kwa huyu kichaa,
wakiendelea kupokea watu kutoka ccm ndio matokeo yake
nafikiri mabadiliko yeu yatachukua safari ndefu zaidi
 
Yuko serious au anatania?! Hizo laki tano ni posho ipi, ya vikao (sitting allowance) au ipi hiyo?
Ndio maana yake ukiangalia hoja yake ana point maana anasema kuna wabunge wafanyabiashara "kinambowe and co" kisha wapo wabunge hohehahe wanaowatumikia wananchi hohehahe ukifuta hizo posho watashindwa hata kusaidia majimboni kutoka mifukoni mwao na ikiwezekana iongezwe. Hivi we unadhani wabunge kama Sugu zikifutwa hizi posho watapata wapi za kuongezea? Hao kina Mbowe na Zitto mbona hawajakataa allowances wanazozipata kwenye KUB na uenyekiti wa mahesabu ya mashirika ya umma? Pro CDM ni vipofu!
 
Back
Top Bottom