Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

Mwenyekiti unasubiri nini kuwmfuta huyo ambaye ni mwiba kwetu? Mfute uanachama na uchaguzi uitishwe upya. I hate papeti kama huyu.
Huyu jamaa atakivuruga CDM kwa kweli, inatakiwa umakini wa hali ya juu ili ku-deal na mtu kama huyu!
 
jamaa anaonekana jeuri sana,issue ni kwamba hata akifukuzwa kwenye chama anaweza kurudi ccm na akashinda tena ubunge
bonge la mtego
 
Snitch fisadi huyu mzee!! Nafikiri watu wameshaona ni mtu wa aina gani..anaishushia heshima chadema
 
jamaa anaonekana jeuri sana,issue ni kwamba hata akifukuzwa kwenye chama anaweza kurudi ccm na akashinda tena ubungebonge la mtego
Inatakiwa umakini sana.....eti anasema posho zilikuwepo tangu wakati wa ukoloni!
 
una maana gani kusema watu wa kanda ya ziwa hawaaminiki?? Kwani watu wa wapi ndio wanaaminika??
 
Nimepigwa butwaa na huyu mgeni wetu! Nikuwa najua kama cdm wanamuonea kumbe washamuona kwenye rada!!
 
jamaa anaonekana jeuri sana,issue ni kwamba hata akifukuzwa kwenye chama anaweza kurudi ccm na akashinda tena ubungebonge la mtego
Nakubaliana na wewe inahitaji umakini sana. Lakini saivi hajifichi....either kapandikizwa ndani ya chama au ndo wale watu waliojitoa akili zao wakaingiza za kukopa.
 
Huyu jamaa atakivuruga CDM kwa kweli, inatakiwa umakini wa hali ya juu ili ku-deal na mtu kama huyu!
Kweli chadema viazi! Kila mtu analeta vurugu! Alianza Zito, akafuata Mbowe, then Lema sasa na Shibuda naye! Hebu tujiulize, hawa watu wanastahili kupewa nchi waitawale?
 
jamani watu wa upinzani,shibuda si mwenzenu.cdm wanapinga posho lakini yeye anataka posho na anaomba iongezwe hadi laki tano kwa siku.eti wasiotaka posho ni wafanyabiashara wanaotegemea pesa kutoka kwingine.akaongeza posho itasaidia watakapositafu wasiaibike kwa ugumu wa maisha kama walivyo wazee wastafu waliokuwa waminifu kwa serikali.chadema na shibuda ni mafuta na maji.
 
Kweli chadema viazi! Kila mtu analeta vurugu! Alianza Zito, akafuata Mbowe, then Lema sasa na Shibuda naye! Hebu tujiulize, hawa watu wanastahili kupewa nchi waitawale?

Kwani li lazima uchangie kila post? Hebu toa upumbavu wako
 
Nani... Shibuda??

Ningeshangaa sana kama angekuja na msimamo tofauti na huu anaouonyesha sasa!
 
Shibuda anaongea na kutenda ili kuwafurahisha CCM.Wabunge wa ccm nao wanaongea na kutenda ili kuifurahisha serikali. Wabunge wa CHADEMA wanaonge na kutenda ili kuwafurahisha watanzania wapiga kura. 2015 justice will be delivered maana tofauti na huko nyuma siku hizi kila kitu kiko wazi, DVD zitamwagwa kila kona.

Kama wabunge wa ccm wanafikiri kwa wingi wao bungeni wanashinda wakae wakijuwa wanajidanganya. Everyman and woman will have to fend for him/herself nje ya bungeni. Na huku hawatakuwa na Speaker au mwenyikiti wa kuwatetea. Endeleeni.

About Shibuda - don't mind him oooo. atatafuta pa kutokea.
 
Back
Top Bottom