Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,692
- 26,208
Unataka kijengwe wapi?Kitajengewa chato ama?
Unataka kijengwe wapi?Kitajengewa chato ama?
HaswaaKwani hutuwezi kubadili tekinolojia iliyotumiwa na General tyre kwa kuiboresha na kufanya iwe ya kisasa kama anavyotaka? Kuna haja gani ya kuanza kujenga kiwanda kipya Wakati tayari tunacho kingine kinachohitaji uboreshaji tu?kila tunapoukaribia ukweli serikali inajitokeza na kupindisha! Kwa nini? Kwa faida ya nani?
Hakuna ubaya.Huwenda hicho kiwanda kipya kikajengwa Chato
Ni sound za siasa hakuna kipya wala GTStructure ya kuendana na mashine mpya, rewiring, re plumbing na ku repair majengo kuanzia roof mpaka milango, security systems inaweza kuwa ni busara kuanza kujenga majengo mapya.
Lakini itakuwa ni busara zaidi kama watajenga hapo hapo yalipo ya zamani, kuyabomoa ya zamani na kujenga mapya.
Wewe unashauri nini...tuanze na kipi na tuache kipi?Tungeachana na hii mipango ya kujenga matairi, coz hatutakuwa competitive na itatuchukua muda sana pia inawezekana tusipate kabisa faida. Initial costs zitakuwa kubwa sana halafu sidhani kama tutaweza ku match with competitors wenye technology kubwa na wapo kwenye economies of scale.. Unless tunataka kuchoma pesa za walipa kodi. (my opinion though)
Viwanda vinajengwa kwa mdomo mpaka sasa....Mambo ya kitaalam waachie wataalam nyinyi mnachoweza ni kulundika comments za matusi mitandaoni.
Rais anaendeleza ubaguzi wa kisiasa
Kitajengewa chato ama?
Nahisi una hoja nzuri ila je unashauri hiyo hela ielekezwe wapi kwingine?Tungeachana na hii mipango ya kujenga matairi, coz hatutakuwa competitive na itatuchukua muda sana pia inawezekana tusipate kabisa faida. Initial costs zitakuwa kubwa sana halafu sidhani kama tutaweza ku match with competitors wenye technology kubwa na wapo kwenye economies of scale.. Unless tunataka kuchoma pesa za walipa kodi. (my opinion though)
Yalipokuwa yanatengenezwa walikuwa wanatumia gesi?Hivi mnajua matairi yanavyotengenezwa? Huko arusha gesi itatoka wapi? Inabidi kijengwe dar au mtwara
kiwanda kimejengwa machalie wa arusha hamjazaliwa. lazima ni teknolojia ya kale. ngoja tuone kama kitajengwa A town.Rais anaendeleza ubaguzi wa kisiasa
ataicha hii nchi pabaya mno atakapomaliza muda wake.Hii kitu ni mbaya mno.
pengine ni MbeyaKitajengewa chato ama?
Hapo kuna 10% ya wakubwa!Kwani hutuwezi kubadili tekinolojia iliyotumiwa na General tyre kwa kuiboresha na kufanya iwe ya kisasa kama anavyotaka? Kuna haja gani ya kuanza kujenga kiwanda kipya Wakati tayari tunacho kingine kinachohitaji uboreshaji tu?kila tunapoukaribia ukweli serikali inajitokeza na kupindisha! Kwa nini? Kwa faida ya nani?
Umesahau waliambiwa watapewa ajira na mikopo....leo wanaambiwa wavivu hawataki kufanya kazi wanashinda kwenye pool! Walishawahi kupewa hizo kazi wakakataa? Wanaambiwa wakalime! Hivi unaanzaje kulima tu! Kilimo cha aina gani cha kisasa cha umwagiliaji au cha kusubiri neema mvua!! Kipindi kuandaa mashamba hadi kuvuna unaishije huko shambani?? Hakuna mpango wowote kuwasaidia hao vijana kupata mashamba kuandaa kulima mbegu bore mbolea hadi utaalam! Wanasema tu hawataki kazi! Tutajuta!!General Tyre waliitangaza kwa mbwembwe sana Okt 2015,
Sawa ila Arusha ni kubwa sana, ndani ya Arusha si kuna nje ya mji? Mfano kule kilipoamia kiwanda cha A to ZUwe na akiba ya maneno Ndugu,Ubaguzi gani uko hapo? Imetamkwa kinajengwa wapi? Arusha unaifahamu vizuri au unaongea tu..! Mhe Lema aliishauri serikali kwamba mahali kilipo Kiwanda si salama kwa sasa kulingana na mazingira ya sasa ya Jiji kukua na kupanuka, kwamba Eneo hilo lenye makazi ya watu kwa sasa likipimwa viwanja na kuuzwa Serikali itajipatia Fedha, na kama una uelewa wa Mambo viwanda hujengwa nje ya mji sio katikati yaliko makazi ya watu, Usitangulize chuki kwa kila jambo inalofanya serikali.