Serikali kujenga kiwanda kipya cha matairi, kuitosa General Tyre ya Arusha

genero.jpg


Serikali ya Tanzania inajinadaa kujenga kiwanda kipya cha matairi.
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda, Boashara na uwekezaji Dr Adelhem Meru ameiambia kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwa kiwanda hicho kitatumia teknolojia mpya ya uzalishaji.

Amesema kiwanda hiki kitachukua nafasi ya General Tyre East Africa Limited (GTEA) na hatua hii itaipelekea serikali kuachana na mpango wake wa awali wa kuifufua Genera Tyre kwa kuwa mashine zake ni za kizamani sana na nyingi zimechakaa na zinatumia teknolojia ya zamani.
========================================================

The Tanzanian government is set to build a new tyre plant. According to local news reports, permanent secretary in the Ministry of Industry, Trade and Investment Dr Adelhem Meru, told the Public Accounts Committee (PAC) the new factory will be based on new technology -- tyrepress.com notes.

He also said the new factory would new replace General Tyre East Africa Limited (GTEA) and that there are no plans to revamp General Tyre because of the relatively old-fashioned machinery used there.

In 2012 Tanzanian ministers pledged US$20 million to kick-start General Tyre, but the plans never materialised. GTEA ended production in 2009. AllAfrica.com reports that the government re-purchased 26 per cent if GTEA shares worth 2.1 billion shillings (£728,000; 849,000 euros; $961,000) from Continental AG last year (2015).

This would value GTEA at around £3 million in total – less than the $20 million the government pledged to re-start production and far less than is required to build a new factory.

Source: Tanzania to build new tyre factory - wavuti
Hizi tunatarajia tutaziona nyingi sana awamu hii
 
genero.jpg

Serikali ya Tanzania inajinadaa kujenga kiwanda kipya cha matairi.
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda, Boashara na uwekezaji Dr Adelhem Meru ameiambia kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwa kiwanda hicho kitatumia teknolojia mpya ya uzalishaji.
...
General Tyre waliitangaza kwa mbwembwe sana Okt 2015,
Mliambiwa na mliombwa hiki kiwanda mkifanyie maombi kwa mungu mligoma au mlipuuza sasa kiranja aliyekabidhiwa shamba la bibi ameamua kukitumbua.
 
Kile ni cha kizamani, mashine ni chakavu, teknolojia iliyopitwa na wakati kabisa, uzalishaji mdogo, wafanyakazi wengi, garama za uendeshaji kubwa, umeme unatumika mwingi, ubora wa matairi questionable. Tufike sehemu tuanze kuendana na wakati tusije kusema tuna hiki tuna kile wakati uendeshaji wake kwa karne ya sasa haiwezekani. Tuanzishe viwanda vipya vyenye viwango vya kisasa.
Shauri wafanye nn instead...kuliko kukaa tu bila kitu.
Tungeachana na hii mipango ya kujenga matairi, coz hatutakuwa competitive na itatuchukua muda sana pia inawezekana tusipate kabisa faida. Initial costs zitakuwa kubwa sana halafu sidhani kama tutaweza ku match with competitors wenye technology kubwa na wapo kwenye economies of scale.. Unless tunataka kuchoma pesa za walipa kodi. (my opinion though)
 
Structure ya kuendana na mashine mpya, rewiring, re plumbing na ku repair majengo kuanzia roof mpaka milango, security systems inaweza kuwa ni busara kuanza kujenga majengo mapya.

Lakini itakuwa ni busara zaidi kama watajenga hapo hapo yalipo ya zamani, kuyabomoa ya zamani na kujenga mapya.
Hakuna kipya wala cha zaman, kwa budget ipi !?? Tuanzie hapo, hizi ni danadana tu,
 
Hivi kinachotakiwa si ni kubadilisha mashine maana kujenga na kuweka mashine mpya ni ghali kuliko kuendeleza na kuweka mashine mpya
compare/contrast: ownership structures of new factory vs. EAGT
 
Mliambiwa na mliombwa hiki kiwanda mkifanyie maombi kwa mungu mligoma au mlipuuza sasa kiranja aliyekabidhiwa shamba la bibi ameamua kukitumbua.
Ndugu yangu,watanzania tuna mambo yetu binafsi kibao,kila siku tunaombwa tuwaombee wao,kwani wanatulipa?Hao wachina hata dini hawazijui wanakwenda tu,mi sina muda wa kuombea ombea watu kwakweli:)
 
Mambo ya kitaalam waachie wataalam nyinyi mnachoweza ni kulundika comments za matusi mitandaoni.


Hui ndio utaalam hapo nafasi yaani kiwanja miuundo mbinu.umee maji line za simu jengo tutaokoa pesa nyingi. ..Kiwanja tu..ni billions

Kwa taarifa tu mipango ilikuwepo kuna jengo Jengo jipya kabisa
 
i wish i could see Tanzania industrialization strategy, the way i see it we have the government which believes the the govt can do each and everything without involving the private sector. i suppose we have no plan in place
 
Tungeachana na hii mipango ya kujenga matairi, coz hatutakuwa competitive na itatuchukua muda sana pia inawezekana tusipate kabisa faida. Initial costs zitakuwa kubwa sana halafu sidhani kama tutaweza ku match with competitors wenye technology kubwa na wapo kwenye economies of scale.. Unless tunataka kuchoma pesa za walipa kodi. (my opinion though)

You have a very good opinion.
 
kufufua ni kipaji adimu,heri kutafuta mwenza mfyatue kitu kipya!!!!!
 
Kwani hutuwezi kubadili tekinolojia iliyotumiwa na General tyre kwa kuiboresha na kufanya iwe ya kisasa kama anavyotaka? Kuna haja gani ya kuanza kujenga kiwanda kipya Wakati tayari tunacho kingine kinachohitaji uboreshaji tu?kila tunapoukaribia ukweli serikali inajitokeza na kupindisha! Kwa nini? Kwa faida ya nani?

Mkuu
Nakubaliana na wewe, kwa kuongezea tu, je hicho kiwanda kingekuwa kinafanya kazi, wangekifunga na kujenga kingine eti kwa sababu ya teknologia ya kizamani.
 
Back
Top Bottom