Serikali kujenga kiwanda kipya cha matairi, kuitosa General Tyre ya Arusha

Viwanda vinajengwa kwa mdomo
Watu wanagusa hapa, wanaacha,
wanagusa paleeee wanakimbia,
wanashika huku wanaondoka.
Jamani miaka inakimbia hiii mjue....maana Biotech Product pale Kibaha imedoda,General Tyre inaoza,leo wanakuja na lingine......
 
Sawa ila Arusha ni kubwa sana, ndani ya Arusha si kuna nje ya mji? Mfano kule kilipoamia kiwanda cha A to Z

Hayo ni mambo ya mipango miji sio tu ili mradi kuna pori Jenga kiwanda, Arusha yenyewe sehemu kubwa haijapimwa.!
 
Ubaguzi "Victor wa happy, post: 17363000, member: 138519"]Rais anaendeleza ubaguzi wa kisiasa[/QUOTE]
Ubaguzi gani?
 
Nahisi una hoja nzuri ila je unashauri hiyo hela ielekezwe wapi kwingine?
Kuna mengi ya kufanya sana mkuu na hiyo pesa. Bado hatujawa na umeme wa kutosha, miundo mbinu ya kijamii nk nadhani huko ni kwa umuhimu sana kuliko kuwekeza kwenye kiwanda cha matairi. Halafu hata wataalam wa kufanya kazi huko hawapo, so hata hoja ya kuleta ajira haipo
 
Wewe unashauri nini...tuanze na kipi na tuache kipi?
Kuna mengi ya kufanya sana mkuu na hiyo pesa. Bado hatujawa na umeme wa kutosha, miundo mbinu ya kijamii nk nadhani huko ni kwa umuhimu sana kuliko kuwekeza kwenye kiwanda cha matairi. Halafu hata wataalam wa kufanya kazi huko hawapo, so hata hoja ya kuleta ajira haipo
 
genero.jpg


Serikali ya Tanzania inajinadaa kujenga kiwanda kipya cha matairi.
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda, Boashara na uwekezaji Dr Adelhem Meru ameiambia kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwa kiwanda hicho kitatumia teknolojia mpya ya uzalishaji.

Amesema kiwanda hiki kitachukua nafasi ya General Tyre East Africa Limited (GTEA) na hatua hii itaipelekea serikali kuachana na mpango wake wa awali wa kuifufua Genera Tyre kwa kuwa mashine zake ni za kizamani sana na nyingi zimechakaa na zinatumia teknolojia ya zamani.
========================================================

The Tanzanian government is set to build a new tyre plant. According to local news reports, permanent secretary in the Ministry of Industry, Trade and Investment Dr Adelhem Meru, told the Public Accounts Committee (PAC) the new factory will be based on new technology -- tyrepress.com notes.

He also said the new factory would new replace General Tyre East Africa Limited (GTEA) and that there are no plans to revamp General Tyre because of the relatively old-fashioned machinery used there.

In 2012 Tanzanian ministers pledged US$20 million to kick-start General Tyre, but the plans never materialised. GTEA ended production in 2009. AllAfrica.com reports that the government re-purchased 26 per cent if GTEA shares worth 2.1 billion shillings (£728,000; 849,000 euros; $961,000) from Continental AG last year (2015).

This would value GTEA at around £3 million in total – less than the $20 million the government pledged to re-start production and far less than is required to build a new factory.

Source: Tanzania to build new tyre factory - wavuti
Nashauri kijengwe kanda ya ziwa , mkoa wa geita .
 
Haya ndiyo maajabu ya viongozi wetu!! Yaani badala ya kufikiria kukiboresha wao wanakomalia kujenga kipya - kwani wamejaribu kuzungumza na GT wakawambia hiyo haiwezekani au ndiyo wanataka kutafuta wawekezaji wapya waje kutuzalishia substandard tyres? Mambo yenyewe kama ndiyo haya basi kiwanda hicho kitabaki kwenye makaratasi na visingizio chungu mzima.
Hayo ni majibu kwa Kamati ya Bunge, yasikupe hofu kazi yake ni "to get out of these politicians" mwakani kamati hiyo itaambiwa maneno mengine tofauti.
 
Back
Top Bottom