Serikali kujenga kiwanda kipya cha matairi, kuitosa General Tyre ya Arusha

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
genero.jpg


Serikali ya Tanzania inajinadaa kujenga kiwanda kipya cha matairi.
Katibu mkuu wa Wizara ya Viwanda, Boashara na uwekezaji Dr Adelhem Meru ameiambia kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwa kiwanda hicho kitatumia teknolojia mpya ya uzalishaji.

Amesema kiwanda hiki kitachukua nafasi ya General Tyre East Africa Limited (GTEA) na hatua hii itaipelekea serikali kuachana na mpango wake wa awali wa kuifufua Genera Tyre kwa kuwa mashine zake ni za kizamani sana na nyingi zimechakaa na zinatumia teknolojia ya zamani.
========================================================

The Tanzanian government is set to build a new tyre plant. According to local news reports, permanent secretary in the Ministry of Industry, Trade and Investment Dr Adelhem Meru, told the Public Accounts Committee (PAC) the new factory will be based on new technology -- tyrepress.com notes.

He also said the new factory would new replace General Tyre East Africa Limited (GTEA) and that there are no plans to revamp General Tyre because of the relatively old-fashioned machinery used there.

In 2012 Tanzanian ministers pledged US$20 million to kick-start General Tyre, but the plans never materialised. GTEA ended production in 2009. AllAfrica.com reports that the government re-purchased 26 per cent if GTEA shares worth 2.1 billion shillings (£728,000; 849,000 euros; $961,000) from Continental AG last year (2015).

This would value GTEA at around £3 million in total – less than the $20 million the government pledged to re-start production and far less than is required to build a new factory.

Source: Tanzania to build new tyre factory - wavuti
 
Kwani hutuwezi kubadili tekinolojia iliyotumiwa na General tyre kwa kuiboresha na kufanya iwe ya kisasa kama anavyotaka? Kuna haja gani ya kuanza kujenga kiwanda kipya Wakati tayari tunacho kingine kinachohitaji uboreshaji tu?kila tunapoukaribia ukweli serikali inajitokeza na kupindisha! Kwa nini? Kwa faida ya nani?
 
Kwani hutuwezi kubadili tekinolojia iliyotumiwa na General tyre kwa kuiboresha na kufanya iwe ya kisasa kama anavyotaka? Kuna haja gani ya kuanza kujenga kiwanda kipya Wakati tayari tunacho kingine kinachohitaji uboreshaji tu?kila tunapoukaribia ukweli serikali inajitokeza na kupindisha! Kwa nini? Kwa faida ya nani?

Haya ndiyo maajabu ya viongozi wetu!! Yaani badala ya kufikiria kukiboresha wao wanakomalia kujenga kipya - kwani wamejaribu kuzungumza na GT wakawambia hiyo haiwezekani au ndiyo wanataka kutafuta wawekezaji wapya waje kutuzalishia substandard tyres? Mambo yenyewe kama ndiyo haya basi kiwanda hicho kitabaki kwenye makaratasi na visingizio chungu mzima.
 
Hivi kinachotakiwa si ni kubadilisha mashine maana kujenga na kuweka mashine mpya ni ghali kuliko kuendeleza na kuweka mashine mpya
Structure ya kuendana na mashine mpya, rewiring, re plumbing na ku repair majengo kuanzia roof mpaka milango, security systems inaweza kuwa ni busara kuanza kujenga majengo mapya.

Lakini itakuwa ni busara zaidi kama watajenga hapo hapo yalipo ya zamani, kuyabomoa ya zamani na kujenga mapya.
 
njia nzuri ingekuwa ni kubadirisha mitambo badala ya kujenga kipya. kwani hata hiyo mitambo kiongozi mzalendo mmoja aliikuta inabadirishwa huko usa na wakaingia ubia wa kuanzisha kiwanda tz kutumia mitambo hiyo.
 
Mambo ya kitaalam waachie wataalam nyinyi mnachoweza ni kulundika comments za matusi mitandaoni.
Ungekua ni gentle man ungefafanua hayo mambo ya kitaalamu...umeshawahi kuona ninamtukana mtu? halafu umezungumzia nyinyi nyini ni akina nani hao wengine?
 
Haya ndiyo maajabu ya viongozi wetu!! Yaani badala ya kufikiria kukiboresha wao wanakomalia kujenga kipya - kwani wamejaribu kuzungumza na GT wakawambia hiyo haiwezekani au ndiyo wanataka kutafuta wawekezaji wapya waje kutuzalishia substandard tyres? Mambo yenyewe kama ndiyo haya basi kiwanda hicho kitabaki kwenye makaratasi na visingizio chungu mzima.
Kufanya repairing ni ghali sana kuliko kujenga kitu kipya,siasa tu zimepovusha lakini uhalisia bora kujenga kitu kipya
 
Kile ni cha kizamani, mashine ni chakavu, teknolojia iliyopitwa na wakati kabisa, uzalishaji mdogo, wafanyakazi wengi, garama za uendeshaji kubwa, umeme unatumika mwingi, ubora wa matairi questionable. Tufike sehemu tuanze kuendana na wakati tusije kusema tuna hiki tuna kile wakati uendeshaji wake kwa karne ya sasa haiwezekani. Tuanzishe viwanda vipya vyenye viwango vya kisasa.
 
Tungeachana na hii mipango ya kujenga matairi, coz hatutakuwa competitive na itatuchukua muda sana pia inawezekana tusipate kabisa faida. Initial costs zitakuwa kubwa sana halafu sidhani kama tutaweza ku match with competitors wenye technology kubwa na wapo kwenye economies of scale.. Unless tunataka kuchoma pesa za walipa kodi. (my opinion though)
 
Back
Top Bottom